TANAPA hatimaye wameniita kwenye usaili


kobilo

kobilo

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2014
Messages
802
Points
1,000
kobilo

kobilo

JF-Expert Member
Joined Jan 5, 2014
802 1,000
Bora usiende mkuu, mimi niliendaga moja mwaka jana. Nilichoma nauli tu
 
faru john junior

faru john junior

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2016
Messages
1,383
Points
2,000
faru john junior

faru john junior

JF-Expert Member
Joined Dec 26, 2016
1,383 2,000
Aisee n kwel maana wengne tulifanya usahil mwaka jana mwez june,cjui kama hao waliomaliza mafunzo mlele n kada zote ziliitwa au baadh bado maana kila tuliekuwa nae ktk oral hana taarifa ya kuitwa kazin,still giza n nene
Wamemaliza mafunzo juzi na kupangiwa kituo cha kazi wamepewa 14days za kupumzika afu waende kazini
 
Andy Da Inc

Andy Da Inc

Senior Member
Joined
Mar 2, 2015
Messages
118
Points
250
Andy Da Inc

Andy Da Inc

Senior Member
Joined Mar 2, 2015
118 250
Wamemaliza mafunzo juzi na kupangiwa kituo cha kazi wamepewa 14days za kupumzika afu waende kazini
Waliita kada zote au baadh ya kada?,maana wenzangu tuliokuwa pamoja ktk oral wamenambia hawakuitwa na hawana taarifa ya kuitwa kada ya civil technician
 
willy ze great

willy ze great

JF-Expert Member
Joined
Apr 30, 2013
Messages
788
Points
500
willy ze great

willy ze great

JF-Expert Member
Joined Apr 30, 2013
788 500
Jamaan waliowahi kufanya interview Tanapa inachukua siku ngapi kutoa kuitwa kwenye oral
 
Terrible Teen

Terrible Teen

JF-Expert Member
Joined
May 1, 2017
Messages
358
Points
1,000
Terrible Teen

Terrible Teen

JF-Expert Member
Joined May 1, 2017
358 1,000
poa ngoja niende nikapate na uzoefu maana hii ndio itakua interview yangu ya kwanza.
Kama we ni KE ni PM nakuhakikishia Kazi umepata. Mimi na Makonda ndio tunakula raha kuliko watu wote hapa Tanzania
 
Mgeni wa Jiji

Mgeni wa Jiji

JF-Expert Member
Joined
Jul 27, 2017
Messages
2,699
Points
2,000
Mgeni wa Jiji

Mgeni wa Jiji

JF-Expert Member
Joined Jul 27, 2017
2,699 2,000
Mpaka sasa ndani ya uzi huu mpo wa 3 Kada moja na ndio page ya pili tu ya uzi
 
b5-click

b5-click

JF-Expert Member
Joined
Mar 21, 2012
Messages
2,019
Points
2,000
b5-click

b5-click

JF-Expert Member
Joined Mar 21, 2012
2,019 2,000
Hatimaye nimepata barua pepe ya usaili tarehe 20 mwezi huu toka mwaka jana mwezi wa kumi na mbili ila nasikitika sitokwenda kufanya nataka nijiajiri tu.

Usaili wa TANAPA siwezi haribu nauri wakati najua hata kupata field mpaka ujuane na mtu wa TANAPA.

Asanteni TANAPA ila sitokuja.
WENYE NIA NAWASHAURI NENDENI
 
Bhudagala

Bhudagala

Senior Member
Joined
Sep 17, 2014
Messages
165
Points
225
Bhudagala

Bhudagala

Senior Member
Joined Sep 17, 2014
165 225
Hapakuwa na haja ya kuja kuguambia, ungewajibu hukohuko kwenye imeili yao kuwa hautaenda kwenye usaili wao.
 
OS Cordis

OS Cordis

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2016
Messages
7,948
Points
2,000
OS Cordis

OS Cordis

JF-Expert Member
Joined Oct 7, 2016
7,948 2,000
Majina ya walioitwa kuanza kazi nayaona wapi
Walitumiwa ujumbe mfupi wa maandishi (SMS), kama ulifanya oral na hukuona ujumbe wa maandishi jua hukufanikiwa.

Ahsante
 
willy ze great

willy ze great

JF-Expert Member
Joined
Apr 30, 2013
Messages
788
Points
500
willy ze great

willy ze great

JF-Expert Member
Joined Apr 30, 2013
788 500
Tnpss c =410000 ni kweli?
 

Forum statistics

Threads 1,296,167
Members 498,559
Posts 31,237,004
Top