Mbona ghali hvy.? Naweza kupata wa jero mbili.?
Zali la mentali
hapa umenibamba
Mbona huirudishi? Au kesho bado?Ipo kesho ntakurudishia uione
Uzi upi huo?mods pekee wa uwezo wa kufuta nyuzi
Naona dogo GT introvert asiye na self esteem wala confidence keshafanya yakeKapika mtaalamu huko mtandaoni. Dogo ushatamani menu hio