Tamthilia za Azam tv zina Udini

Status
Not open for further replies.
Mpumbavu kweli yaani kwakuwa anafanya Biashara na wateja wanataka Nguruwe auze nguruwe. Kila mtu na soko kama unaona haikufit unaacha unaenda Agape. Hyo ndio market segmentation
Naona we nguruwe poli unajipendekeza.Mwambie Huyo lofa hazingatie mahitaji ya wateja wake Kama ameamua kufanya Biashara.Na ulivyo Juha uelewi watu wanacholalamika unafikiri watu wanataka ukristo kama unavyofikiri wewe Juha?Tunataka burudani sio Dini.Kwanza mnanitafutia Ban.
 
Ushasema mtu binafsi, ingekuwa ya umma sawa. Hapo ni mwenyewe anapanga cha kufanya, hakuna anayemtolea fungu la kumpa kwenye biashara zake hadi uje ulalamike. Hata hiyo hoteli ni hivyohivyo, ushasema ni binafsi.

Hizo ni kama shule za kidini za kikristo, hakuna anayewapangia cha kufanya maana ni binafsi. Mabinti hata wa kiislamu wakiingia wanaambiwa hakuna hijabu na wawe kichwa wazi, hakuna mwislamu aliyewahi kuja kulalama hilo. Nazo ni za mtu binafsi ameweka udini kwenye biashara. Mbona hamsemi?

Hoteli uliyoitaja ina sheria za kiislamu, kama zilivyo shule zenu na baadhi ya taasisi kuwa na sheria za kikristo na hazilalamikiwi.
Mkuu haya majitu majingaaa yanachuki tu na uislamu.
 
Nadhani ndugu kapitiwatu. Anatakiwa atambue yuko kwenye soko la watu wengi na kila mtu ana imani yake.

chamsingi azingatie kwamba hii ni biashara na sio chombo cha kueneza udini.

kama kuna vitu vyenye chembe za udini basi katika kingamuzi kuna station zinazo hubiri habari za Mungu tamthilia hizo ni bora zika hamishiwa huko. Ili kuwa fair kwa wateja wa imani tofauti.

kama mtu atataka kutazama tamthilia hizo basi atakwenda kwenye station hizo za dini na watapata huduma zenye maudhui ya dini flani.
 
Mtoa mada kasema hata Azam ni timu ya kiislam ndo maana haishiriki Mashindano ya Kinywaji cha bia
 
Nadhani ndugu kapitiwatu. Anatakiwa atambue yuko kwenye soko la watu wengi na kila mtu ana imani yake.

chamsingi azingatie kwamba hii ni biashara na sio chombo cha kueneza udini.

kama kuna vitu vyenye chembe za udini basi katika kingamuzi kuna station zinazo hubiri habari za Mungu tamthilia hizo ni bora zika hamishiwa huko. Ili kuwa fair kwa wateja wa imani tofauti.

kama mtu atataka kutazama tamthilia hizo basi atakwenda kwenye station hizo za dini na watapata huduma zenye maudhui ya dini flani.
hapo kaka umenena vyema.kwani waumini wamepungua mpaka atuoneshe wote
 
atapata thawabu inshaalah watu tukibadilika
Mzee, ile sio TBC ya kulazimishwa nini cha kuonesha na wananchi wake.

Bakhresa ni Mfanyabiashara(yupo kwa ajili ya faida) ni yeye ndio anaamua kipi cha kuonesha na kipi kisioneshwe kwa lengo la kukuza biashara yake na kupata faida.

Hulipii kodi ili Azam iruke hewani, Halafu ni rahisi tu NUNUA kisimbuzi ambacho ni favourite kwako achana na biashara za watu.
 
Samahanini wakuu mnaiongelea azam tv ipi!? Binafsi mimi sio ustaadhi lakini naona kama watu wanakuza mambo tu.. sijaona program yeyote ile inayokuza udini au kuleta mtafaruku kiasi hicho..
Kwa mfano hiyo tamthilia ya sultan inajulikana wazi ni ya ottoman empire ya enzi hizo na mambo ya dini yalikua na nguvu sana kwa kipindi au miaka hiyo kwenye mambo ya siasa ya huko ulaya na mashariki ya kati.. na nadhani hata waandaji wa hiyo tamthilia waliliona hilo na walizingatia ndo maana huwezi ona yale mambo ya misimamo mikali humo sijui tuwaue makafiri na vitu kama hivyo,na hata vita vyao vilibase kwenye kujitanua na kulifanya taifa kuwa imara zaidi ila sio kueneza dini(ilikua na chaguzi ya mtu either aslimu au asislimu).. na nadhan ile ya umar ilihamishiwa zbc huko ambako kunajulikana ni special for dini..
Ila ishu tu ni kwamba ukiondoa ligi ya bongo azam hawana program nzuri.. wajikite kutafuta channel nzuri hasa muda huu ambao ligi zimesimama wawe wabunifu..
 
Mzee, ile sio TBC ya kulazimishwa nini cha kuonesha na wananchi wake.

Bakhresa ni Mfanyabiashara(yupo kwa ajili ya faida) ni yeye ndio anaamua kipi cha kuonesha na kipi kisioneshwe kwa lengo la kukuza biashara yake na kupata faida.

Hulipii kodi ili Azam iruke hewani, Halafu ni rahisi tu NUNUA kisimbuzi ambacho ni favourite kwako achana na biashara za watu.
Hivi una akili ya kuelewa unachoambiwa?
 
Hata mimi siuoni udini wowote kwenye Azam Kisimbusi.
Ila Nawashauri Azam wazitafiti channel zote zinazorushwa free to air zenye maadili mazuri na wazichukue na kuzirusha ili watazamaji tupate uwanja mpana wa kujidai.

Wasishangae watu kuilalamikia Azam TV, hiyo ni chaguo la Watanzania wengi kwa sasa.
 
Hivi hiki kituo cha Azam tv mbona kinarusha vipindi vinavyoeneza Dini moja kupitia lugha ya kiswahili.

Dini nyingine zipo kwenye kipengele cha other channels.

mfano hiyo tamthilia inayoitwa Uhuru imejaa udini na inaonesha kukandamiza dini nyingine.

tamthilia ya sultan iliyoisha vivyo hivyo.mie naamini nchi yetu haina udini.

Ombi;basi angalau kama nyie luninga yenu mnataka thawabu wekeni vipindi vya dini nyingine pia.

Msitumie channel zenu kukandamiza dini zingine kwani sio nyie tu mnalipia ving'amuzi.
Wamekulazimisha utazame vipindi vyao ?

Tanzania kuna Channel zaidi ya kumi. Kwanini usitazame vipindi vya channel nyingine visivyo na udini.

Tabia ya kulalamika lalamika inawafanya watanzania wenzangu mkose furaha maishani.
 
Yaani kuna watu watata jamani Adam kuonyesha tamthilia mbili tu imekua tata,nimeamini kuna watu walalamishi hivi kinawaogepesha nini...toka nakua ITV wanaonesha tamthilia zenye mrengo wa kidini ,movies za kinaijeria tunaona wachungaji wanaombea,watu wapo kimya jus Azam Sultan na bentehaa tu imekua taabu !

Wewe mtoa Uzi ni mnaafiki na una roho mbaya sana lengo lako halitafanikiwa na walokusapoti nao wapuuzi tu
 
Unajua ifike mahali tusiumize kichwa kwa vitu vidogo..kimsingi kuna maudhui ambayo kwa tamthilia wanazoonesha wanaona yanafaa kwa general audience..just imagine ndio waweke game of thrones au Empire..kuna inshu zingine usizichukulie serious sana.
Hapo sasa!halafu hawajalazimishwa basi kama vipi wannue vingine

Hawa watu sana roho mbaya tu
 
Mbona wakristo mnakerwa sana na mambo ya kiislamu?
Nyie si mna tv zenu kama agape,emanuele na zingine ambazo ziko kwenye azam upande wa other chanel?
Hivu wangekua wadini wangeziweka? Hivi kwenye agape kuna chanel za kiislam kama kwenye azam walivyoweka?
We mwandishi acha chuki,uwe mkweli,hiki ninachosema ni uongo?
Kama utathibitisha mimi ni muongo,tuma namba hata ya jirani yako nakurushia laki moja hapa hapa na muamala ntauweka hewani kila mtu asome.
Shukrani.
Thnx alot
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom