Azam kwa upande wa Channel za dini wameweka za kikristo nyingi tena zinaonyeshwa bure

kimsboy

JF-Expert Member
Oct 17, 2016
9,000
17,909
Huyu Azam kajitahidi sana Channels za dini za kikristo kaweka nyingi sana tena bure kabisa huna hata haja ya kulipia

Channel za kikristo ni nyingi kuliko hata za kiislam lakini bado kuna watu wanalalamika kisa mmiliki wa azam ni muslim mnataka awafanyie nini mridhike nyie watu?

Continental decoder hadi channel zao zote ni udini mtupu hadi channel zao za kisimbusi ni za kidini, na waislam hatukulalamika

Haya Zuku jee?Tumelalamika?

Vipi itv na Startv kunuka udini mtupu na mpaka watangazaji kulazimishwa kuvua hijabu au kitambaa wasitangaze wakiwa wamejistiri tulilalamika?

Nyie watu mtafanyiwa nini mrudhike?Mbona mambo mengine ni ya kawaida wala hamna haja ya kupanick?

Au ndo yaleyale kuwa hawatokua radhi na nyie hadi mfuate mila zao?Kingamuzi pekee ambacho wamejitahidi kubalance na kuepuka udini ni azam pekee na bado watu hamuoni

Startimes waislam wanalazimika kulipishwa hadi tv imani ndo waone lakini wakristo hadi wasipolipia machannel yote ya kilokole wanayapata free na bado hatujalalamika

Wacheni udini hauna faida yoyote kama vipi anzisha kampuni yako ya visimbusi......
 
Mmiliki wa hizo chaneli katika king'amuzi chake ni muislam, inapendeza sana kuweka chaneli za kikristo kwa wingi ili kubalansi imani yake. Na kwa kufanya hivyo atauza sana biashara zake
 
Chanel za kikrsto zinalipwa sio bure

Mfano Tumaini TV kila mwaka anamlipa Azam media zaidi ya milion miambili (200,000,000) kwa mwaka

Kumbuka chanel ya dini haizalishi chochote kwahiyo tumaini Tv mzigo wanaurudishwa kwa waamini wake


Ndio maana iman tv hali ulipokuwa ngumu azam humbeba tu kwasababu haizalishi chochote

Msiwe mbakurupuka kuanzisha maada km hamjui kitu
 
Usipolipia wewe unadhani hizo tv stations hazichangii chochote?
 
Huu ujinga utawatoka lini kulalamikia udini kila siku? Mmekosa mambo ya kujadili mazanfanta? 🤬
 
Back
Top Bottom