Alfan issa
JF-Expert Member
- Dec 26, 2015
- 2,291
- 900
Kasheshe
Mnajulikana kwa porojoDiallo alivyo sikia Kikwete akimsisitiza magufuli amkumbuke, basi ndo kagoma kulipia kodi tangu baada ya uchaguzi.
Embu isome nambaa kidogoo
chombo gani cha kubenea kimepigwa faini .Bora hivyo
Mwambie na kubenea alete wake
Poa endelea kutowapenda maana Sahara hawapo kwaniaba ya kufurahisha WapumbavuWafungiwe tu nilikuwa nawapenda lakini kampeni zilivyoanza niliichilukia sana na hata matangazo ya biashara yangu nilihamisha.walikuwa hawabalance mambo kama wenziye itv
, lkn pia mjue kufungiwa kwenu hakuto hathiri watumiaji wa tv
Na kwataarifa yako star tv wapo na wataendelea kuwapoIngefungiwa ITV chagadema wangeandamana kuwa wanahujumiwa
Kosa lipo wapiWacheni na nyinyi muisome namba.
Hivi kituo chenu cha Star TV si ndiyo kilikuwa kikijifanya kimbelembele kwa kutoa 'ofa' ya kurusha mikutano yake yote ya Magufuli aliyokuwa akiifanya mikoani?
Hata hivyo nimeamini kweli Magufuli hasomeki, nakumbuka alipofanya mkutano wa kufunga dimba kampeni zake pale jijini Mwanza, Magufuli alimwita jukwaani mmiliki wa Sahara Media Anthony Diallo na kumwahidi pale jukwaani kuwa kutokana na kazi kubwa ya 'kumbeba' iliyofanywa na vyombo vyake vya habari, akamuahidi pale pale uwanjani kuwa pindi atakapoingia Ikulu, hatamsahau kwenye 'ufalme' wake.
Kumbe Magufuli kumkumbuka kwake kwenye ufalme wake alikomuahidi Diallo kumbe ndicho hicho kibano cha TCRA?!
Dada yangu hadi ww unaangalia futuhi??Futuhi tutatoa wapi.........?.....
Dada yangu hadi ww unaangalia futuhi??
Naanza kukuondolea heshima sasa
Kujitetea ni hulka ya Kiasili ya mwanadamu hata kama kakamatwa na kidhibiti mkononiTamko Sahara Media Group kuhusu kufungiwa vyombo vyake.
Jan 17th, 2016
Manejimenti ya sahara media group ikizungumzia juu ya taarifa hizo imesema haijapata barua au taarifa rasmi yeyote kutoka mamlaka ya mawasilano Tanzania TCRA ya kutakiwa kufunga vyombo vyake,
Imesema wameshtushwa na taarifa hiyo ikizingatiwa kwamba wamekuwa wakilipia leseni ada zake na ada za masafa kwa kiasi cha zaidi ya shilingi milioni miatano hadi kufikia mwezi October 2015.
Wamesema yamekuwapo mawasiliano ya mara kwa mara kati ya TCRA akanda ya Mwanza, makao makuu na sahara media group limited nakukubaliana juu ya utaratibu wa malipo ya ada husika.
lakini menejimenti imeshangazwa na hatua hiyo ya TCRA kutanagaza kuvifungia vituo vyake kupitia kutano wa vyombo vya habari bila kujali athari zakufungia vyombo vya kitaifa kwa walaji na watoa huduma.
Sahara media group limited imekuwa ikilalamikia utozwaji wa ada kwa dola za kimarekani jambo ambalo limekuwa likipandisha ada hizo kila mara na kufanya ulipwaji wa ada hizo kibajeti kukwama kwama.
Menejimenti pia imelaani kwa taarifa hiyo kutolewa mwishoni wa wiki nakuvipa vituo husika siku mbili tu kukamilisha ulipaji ada wakijua dhahiri jumamosi na jumapili sio siku za kazi.
Menejimenti ya star tv inawaondoa wasiwasi watazamaji na wasikilizaji wake, hatua thabiti zitachukuliwa ili kumaliza tatizo hili kwa sahara media group limited na TCRA Kwa Kufuata Misingi Ya Sheria, Kanuni Na Maridhiano.
Ni ndogo au?Ada ya masafa na leseni ni shilingi milioni mia tano kwa mwaka?
seriously?
Mbona unajitekenya?Anaepaswa kufungiwa ni kubenea na Vi Toilet paper vyake
Star TV nalizeni malipo mapema bwana