Tamko la UVCCM Arusha juu ya Husein Bashe na Lema

Tamko la UVCCM Arusha juu ya Husein Bashe na Lema

Ccm arusha imebaki historia,hata viongozi wake ni makanjanja.
Ha ha.naam umenena.baada ya milya na wengine kuondoka aliokuja vigezo ni upo kambi gani ya ccm.

Chama kilichokosa katibu mkuu wa taifa kitapa ta wapi wengine.
 
Nyie kweli mapopo,waachieni watu wapost sasa nibora ungesema vijana wa lumumba tuko pamoja nawe sababu nahamini hakuna kijana arusha yupo pamoja na ccm popo wakubwa mtafune kodi zetu alafu tuwepamoja uwo mgawo wa kodi zetu na vyeo vyakupeana mbona hatukumbukani chama mmekigeuza cha familiaaa.nyooo tutawanyonya kamasi mwaka huu.
Nani kakwambia kubwa jinga yaonekwanza ndugu ccm tumewachoka arusha ujinga wenu ukouko ila si A town .nenda mkarukeruke na mikoa mingine na si arusha.
Kubwa jinga
 
Hizo ndio products za shule za kata, hao ndio akina Lusinde wa miaka ijayo.

Computer yake sijui alitumia typewriter haina punctuation marks.

Halafu usiseme vijana wa Arusha, sema vigamba vidogo vya arusha.

Washaurini wawahi kujiandikisha kurudia mtihani kabla muda haujaisha pengine watakuwa na weledi wa kujenga hoja.

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
Yaani hawa vijana wa ccm wamenibowa kamaningekuwa na uwezo ningeufuta huu ukumbe wao sababu nikichefuchefu na wewe saidi wejifanye chambo .
 
UVCCM-Arusha-mjini-kuhusu-Bashe-na-kukamatwa-kwa-Godbless-Lema-April-29-2013.png

UVCCM-Arusha-mjini-kuhusu-Bashe-na-kukamatwa-kwa-Godbless-Lema-April-29-2013-2.png

.
UVCCM-Arusha-mjini-kuhusu-Bashe-na-kukamatwa-kwa-Godbless-Lema-April-29-2013-3.png
Akili za UVCCM bana!!! Anyway, tengenezeni video yenu basi, maana ile tunayoiona haisemi ukweli...
 
Wana JF kweli nimekubali, hakuna awaye yeyote mwenye akili timamu ndani ya CCM.
 
Yaani CCM ni aibu sanaa, mbona wanateteea mambo ambayo yapo public na yanaonekana??Hivi wakati LEMA anahutubia pembeni yake alikuwa na wa kina nani peke yake au nani??Hakukuwa na Askari pale na watu wengine??ina maana kama angekuwa anafanya vibaya wale watu wangekuwepo pale, CCM wote kumejaa vilaza tu mnaboa sana kwa kugeuzwa maboya, wenzenu wanafaidi nyinyi mnakulika.
 

nina wasiwasi karma umetumia kichwa kufikiri kuandika haya. kung uwezekano mkubwa alyeandika statement hii akawa ama aliugua ghafla wakati akiendelea kuandika au alipatwa na kichaaa chi kushtukiza....me binafsi nampa pole
a



wa
 

Tamko limejaa ujinga na kupotosha ukweli kwanza ningependa kumueleza bwana Said kuwa Lema ni mtuhumiwa na si mhalifu hii inaonyesha ni jinsi gani CCM imejaza vilaza na wako tayari kuongoza akili kubwa, pili Magesa Mulongo hana sifa za uongozi katika nyanja zote ukiangalia body language yake na facial expression wakati yuko chuoni pale utajua ni jitu lililopewa madaraka bila kuwa na sifa za uongozi. na hii inadhirisha tena kwa watanzania kwamba most Tanzanian leaders get there through nepotism, favoritism, cronyism and huyu ni mwenzetu rather than merits, intellect, intergrity and professionalism. I'm calling for people's popular uprising to take back our country from CCM
 
hawa jamaa waliambiwa watoe tamko hawajakusudia wamekurupushwa ila pale arusha watabaki kujivunia JENGO KUBWA NA UWANJA WA SHEIKH AMRI ABEID AMBAYO PIA LAZIMA ITAIFISHWE KWA MASLAHI YA TAIFA 2015.
 
CCM kweli imekwisha....hiki ndio cha kuandika kama hoja ya maana! ptu!
 
Bw. Said
Inaonekana kweli umekurupushwa kutoa hili tamko na huenda ikawa pia katika kulitoa ulikuwa na haraka za kuwahi shughuli zako nyingine muhimu kulikotangazo ambalo umeliweka bila hata wewe kuelewa mazingira ya tukio lenyewe maana maelezo yako yamejaa nadharia tupu.

Ndiyo Mkuu wa Mkoa wako kama kada wa CCM ni muhimu sana kwako kwa kuwa ukisema alikosea utakosa kula kwa hiyo kwako ni sahihi kuendelea kumtetea hadi hata kama watu watazidi kuuwawa hadi mbakai wewe na yeye na hatimaye na nyie mmoja amuuwe mwenzake.

Nilidhani andiko lako lingekuwa la msingi zaidi kama ungeeleza Mhe. Lema alifikaje AA nani alimjulisha kuhusu yaliyokuwa yanaendelea pale chuoni? Pili uongozi wa chuo ambao wewe ulitaka wakasalimiwe kwanza ulfanya jitihada gani kabla na baada ya Lema kufika? unajua kwa nini walikaa kimya kuacha wanafunzi wafanye maadamano? unaelewa kuwa walikuwa wanaunga mkono maandamano hayo?

Jiulize nani aliye mjulisha Mkuu wa Mkoa kuhusu yaliyokuwa yanajiri Arusha, ni kweli kuwa Serikali muda wote ilikuwa haina taarifa kuwa kuna mauaji yaliyotokea hadi Lema ampigie Mkuu wa Mkoa? nani aliyesadia maandamano yasiwepo?

Tukiendelea zaidi baada ya tukio hilo sasa ni karibu wiki mbili Je Mkuu wako Mtukufu wa Mkoa kama Mlinzi wa Usalama alifanya nini kuhusu mauaji ya wanachuo? kuna wauaji wangapi waliweza kutiwa nguvuni? aua hawajuliakani? je kabla ya kutoa tamka lako unataarifa za kutosha juu ya kilichopelekea mwanafunzi kuuwawa? Uliongea na Mulongo kabla ya kutoa tamko lako naye akaridhika kuwa uliyoandika ni sawa?

Nini tafsiri ya mwalifu, unataka umma uamini kuwa Lema kama Mbunge ambaye alifika eneo hilo na kuzuia maandamno ni adui zaidi kuliko wauaji? maana umeeleza yote yanauzito sawa, umetafakari hilo?

Lema alifika baada ya kujulishwa hali ilivyokuwa pale chuoni kufuatia kifo cha mwenzao, ni kwa nini polisi walitumia nguvu nyingi kumkamata mtu ambaye yupo siku zote anajulikana pa kumpata kuliko kutafuta wauaji wenyewe? Wapo wauaji wangapi ambao wewe na Mulongo (wazalendo) mumeweza kuwakamata au kusaidia kukamatwa kufuatia tukio hilo.

Kumbuka Tanzania inakoelekea sasa juu ya mauaji ya raia wasiokuwa na hatia hayatamuacha hata yule anayeshabikia, leo kwa mwingine, sijui utatoa kauli gani siku unapata taarifa kuwa mdogo wako ambaye yuko shule fulani amekutwa amekufa. Tafakari chukua hatua. Acha kukurupuka.
 
Mi narudi kulekule na kumsuport Mtaalamu mmoja aliwahi kusema nchi hii akili ndogo ndiyo inayotawala akili kubwa. Watawala wetu hawa wamegeuka miungu watu? Mkuu wa mkoa anafunga chuo kisa kazomewa kwa sababu ambazo zipo wazi? Huu ni upungufu mkubwa sana. Tena anataka wanafunzi wakampigie magoti ili afungue tena chuo. Ni utukufu wa namna gani huo? We are tired of Poorleadership like that.
 
Tulivyo wapumbavu tumeruhusu rasilimali zetu (wakiwemo wanyama) ziporwe kwa kiwango ambacho hata mkoloni, japo alijua Tanganyika si mali yake, hakuthubutu kufanya hivyo!

La kutia hasira na aibu zaidi ni kwamba wahusika wakuu wa haya maskendo na maujangili ama ni watendaji ndani ya serikali au chama tawala au ni maswahiba (makada) wa chama tawala. In short huwezi kuutenganisha uhalifu na uporaji wa rasilimali unaoendelea nchini na CCM. Nahisi vichwa vyetu vimejaa matope.
 
Inaamana hawa uvccm hawajaangalia hata ile video ya chuoni uhasibu??
Nina mashaka hili tamko litakuwa limetolewa na Mary Chatanda mwanamama katili.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom