muandishi wa tamko hili la uvccm hajatulia ,kimsingi kama unaona uwepo wa lema pale uhasibu ulikuwa ni kinyume na 7/65+7ar/atibu tunaamini pia hata uwepo wa mulongo ulikuwa batili ,hakukuwa na haja ya kuagiza vipaza sauti kwa ajili ya nini , na kama tatizo ni sauti yake mulongo aliteuliwa kwa vigezo gani ,amekosa sifa ya kuwa kiongozi na ukweli unabaki pale pale .na endapo mtaendelea kumbeba kwa staili hii ya uvccm tamko hamfiki mbali ,huyu anastahili adhabu na si matamko kumbuka chuo kimefungwa ,wanafunzi wamepigwa ndani ya fensi na sio nje ya fensi polisi wameiba vitu vyao haoni gharama inayoambatana na vitu hivyo ambavyo kimsingi ilitakiwa busara kidogotu .