Mwana Mtoka Pabaya
JF-Expert Member
- Apr 22, 2012
- 15,117
- 16,506
Wanaridhika na uongozi wa bosi wao? Wanaridhika kwamba yupo yupo tu huku wanachuo wanauawa? Kweli kuwa CCM ni laana, hata mtu hajui anachoongea.
Kama huyo 'suka' ni bingwa wa kukamata wahalifu, na amkamate muuaji wa wanachuo.
Kama huyo 'suka' ni bingwa wa kukamata wahalifu, na amkamate muuaji wa wanachuo.