Tamko la UVCCM Arusha juu ya Husein Bashe na Lema

Tamko la UVCCM Arusha juu ya Husein Bashe na Lema

Kama kweli aliyeandika taarifa hii ni kiongozi wa uvccm basi hafai hata kuwa kiongozi kwenye ccm yenyewe maana mwenye macho haambiwi tazama, kila mmoja ameona wewe (nyie) magamba. Tumesema hivi; mmetugambalaiz vya kutosha bila ridhaa yetu....sasa itakula kwenu.
 
Statistically there is no significant difference between Mulongo and Mulugo in terms of mental capability and capacity. Hata majina yao yanalandana na kusadifu ukweli huo. Nashangaa ni kwa nini hawa vijana wa Arusha wanahangaika na mawe yaliyowekwa pembeni na waashi? After all, UVCCM Arusha ilikuwa enzi ya akina Ally Bananga, hii ya sasa ni ile ya kusema 'no alternative' ndiyo maana alikosekana hata mtu wa ku-edit hili tamko lao. Tamko halina mtiririko wa mantiki, hakuna koma wala nukta kiasi cha kushindwa kujua mwanzo na mwisho wa sentensi. Tamko gani hili?
 
Yaani kabisa ninyi wanaume mmekaa na mkatoka na huo upumbavu,maneno mepesi kabisa,na propaganda,kwanza jiulize iwapo bashe anachuki unafikiri ni za nini?,anajua CCM mmehusika na uteswaji wa Kibanda alafu mnaleta propaganda,na mpaka arusha mnaendeleza huu upuuzi wenu,badilikeni hii sasa ni tanzania nyingine.
 
Nyie vijogoo vidogo vya UVCCM Arusha mnalikumbuka tamko la Bagamoyo lakini? Labda niwakumbushe linasema "Rais ajaye kamwe hatatoka kaskazini na anayemjua ni Rais Kikwete".

Mnakumbuka mlivyosambaratishwa na polisi mlipotaka kufungua matawi yenu mkiongozwa na Benno Malisa? Wenzenu wenye akili kina Ally Bananga, James Ole Millya na Diwani wa Sombetini bwana Mawazo walishajiondoa muda mrefu. Kwanza Mary Chatanda kawashinda mtamuweza Lema nyie vilaza?
 
Umh? Kumbe arusha nako kuna uvccm?? Ila hawa watakuwa wanaisha kule longido-samunge kwa babu wamekunywa kikombe cha babu afu wanaandika matapishi by the way whats uvccm? Still living in this era? Hell to ccm
 
teh teh teh Macho yangu mimi Arusha CCM watashinda kata zote nne na hiyo iko wazi, mbona kama vile wanamdanganya mtoto alale?
 
Mulungo habebeki, labda kwa wale ambao hawakuona video za vurugu chuo cha uhasibu.

Video haina ushahihi wakutosha... kwa maana inawezekana kukawa na editing ama coverage ndogo kwa tukio... hivi niulize Lema alitumia muda gani hapo cho cha uhasibu.. na hiyo vodeo ni yadakika ngapi... ..... pili kwamfano wewe ni mkuu wa chuo... wakati wakati tatizo hili limepamba moto.... ghafla mnamuona muheshimiwa bila hodi yupo jukwaani anaongea na wanafunzi... kisha baada ya hapo ni vurugu chuo hakikaliki..
.. unachukuliaji hili kama mkuu wa chuo..?
 
video haina ushahihi wakutosha... Kwa maana inawezekana kukawa na editing ama coverage ndogo kwa tukio... Hivi niulize lema alitumia muda gani hapo cho cha uhasibu.. Na hiyo vodeo ni yadakika ngapi... ..... Pili kwamfano wewe ni mkuu wa chuo... Wakati wakati tatizo hili limepamba moto.... Ghafla mnamuona muheshimiwa bila hodi yupo jukwaani anaongea na wanafunzi... Kisha baada ya hapo ni vurugu chuo hakikaliki..
.. Unachukuliaji hili kama mkuu wa chuo..?
una uhakika na unacho kinena?
 
said a. Said nafikiri umekurupushwa utoe hili tamko ila ulichofanya ni mwendelezo wa sarakasi ambazo zinazidi kuwacha uchi! Wakati lema anaongea na wanachua wa iaa alikuwa na uongozi wa chuo yaan makamu mkuu wa chuo bw. kasidi,dean of student bw. nanyaro,bi. Hellen na raisi wa serikali ya wanafunzi.na maongezi ya lema na wanachuo pamoja na uongozi wa chuo ulizaa matunda ya wanafunzi kutoandamana.kuhusu la bashe ni mtizamo tu ili hali nyie uvccm hofu ikiwa isijekuwa ni wewe pekee yako siyo wote mnaona magesa ni mchapakazi ila kwasababu safari imeanza time will tell.

asante kwa maelezo mazuri. Picha ya video inaonyesha kuwa mwakilishi wa makamu mkuu wa chuo alikuwepo wakati lema anahutubia. Pili, mbunge naye ni kiongozi akiwa katika eneo lake, anapohitaji kuwaona watu wake hahitaji kibali toka kwa mkuu wa mkoa, au kwa vile ni wa chadema? Tatu, watanzania wana akili inayojitosheleza, hawaamui mambo kwa kauli zenu za kijinga (uvccm), usahihi wa kauli za bashe dhidi ya ufisadi na matumizi mabaya ya madaraka kwa rc wa arusha watanzania wameelewa.
 
Sasa wamponde wakamatwe kama Lema? Lazima wajikombe kwa raisi wa mkoa
 
UVCCM-Arusha-mjini-kuhusu-Bashe-na-kukamatwa-kwa-Godbless-Lema-April-29-2013.png

Hivi unatumia ma-sa-bu-ri kufikiri?.. Mulongo yeye alipitia kwa nani kabla ya kuonana na wanafunzi?... Lema ni MBUNGE anahaki ya kufika mahali popote na kushiriki kutatua matatizo yanayoibuka kila mahali ktk jimbo lake.
 
Kiruu..
Rekebisha Post we kinyangarika ..Arusha hakuna Ccm tena ukome
 
Hivi unatumia ma-sa-bu-ri kufikiri?.. Mulongo yeye alipitia kwa nani kabla ya kuonana na wanafunzi?... Lema ni MBUNGE anahaki ya kufika mahali popote na kushiriki kutatua matatizo yanayoibuka kila mahali ktk jimbo lake.

Huyo uvccm ni zao la vyuo vya kata
 
una uhakika na unacho kinena?

Hakika 100% we tumia akili ndogo tu hiyi video ni ya dakika ngapi nayeye ametumia mdagani hapo ihasibu... mbaya zaidi kaingia bila kuonana na wenye nyumba kwanza...
 
Yaani CCM ni aibu sanaa, mbona wanateteea mambo ambayo yapo public na yanaonekana??Hivi wakati LEMA anahutubia pembeni yake alikuwa na wa kina nani peke yake au nani??Hakukuwa na Askari pale na watu wengine??ina maana kama angekuwa anafanya vibaya wale watu wangekuwepo pale, CCM wote kumejaa vilaza tu mnaboa sana kwa kugeuzwa maboya, wenzenu wanafaidi nyinyi mnakulika.
Hivi kuna siku Ccm na watendaji wao waliwahi kusema kweli???? Wako kipropaganda zaidi hawa jamaa. Yaani kitu kiko wazi wao wanasema kinyume chake. Shame on you uvmagmba
 
Ulishikiwa mtutu wa bunduki kuwa andika hivi....? mbona halina mashiko na maneno yake ni mepesi mno kama ya eneo lililo karibu na Kivikoni?
 
Walioandika hiyo taarifa wamesukumwa na hofu tu, hawajui wakikaa kimya kutatokea nini.wanatumiwa tu kama mpira wa kivulana
Hahahahaaaaa! Samahani Mkuu, hapo kwenye bluu ulikuwa na maana football, chandimu, au mpira wa soksi?
 
​naona vijana wametekeleza agizo la mulongo.........just to cover t up,WAT A POOR EXPLANATION
 
Back
Top Bottom