Ciril
JF-Expert Member
- Jan 10, 2011
- 8,558
- 7,156
Hao vijana si wanaCCM bali ni wafuasi wa CDM, P'se CDM msiivuruge CCM yetu, mungu ibariki CCM mungu mbariki Chatanda, japo aliwatukana watumishi wa mungu
ccm ilishakufa siku nyingi muda uliobaki tunapanga kwenda kuizika baharini,koma kabisa kuihusisha Chadema na ccm