Unashangaa ya Kikwete, ya Slaa Je? Ana operesheni Sangara, operesheni ondoa Zitto, Operesheni susia Shibuda, Operesheni CCJ c/o Kubenea na mapacha watatu, Operesheni mke mdogo (Josephine) n.k.
Hi dear, nikuletee nini?
Unashangaa ya Kikwete, ya Slaa Je? Ana operesheni Sangara, operesheni ondoa Zitto, Operesheni susia Shibuda, Operesheni CCJ c/o Kubenea na mapacha watatu, Operesheni mke mdogo (Josephine) n.k.
Huu ni uchantanda utaahira! Hamna uongozi wa maneno ya matusi kama kwenye ripoti hii. Kweli uvccm ni genge la wauni na majambaka!
Hili tamko limetolewa na NAPE na si UVCCM Arusha
Ni kweli kabisa, tamthilia ya makundi bado inaendelea! Chitanda amebuni namna ya kutoka kivingine!
Well said mkuu
Chatanda atakuwa katoa rushwa ngono ili wamsafishe
Uvccm na ccm yenyewe wanazidi kujimaliza kabisa. Jambo la ajabu hakuna mtu mwenye hekima hata mmoja toka ccm anayefungua kinywa kukemea huu mchezo mbaya. Nadhani makamba alikuwa more effectivve than mukama ambaye yuko mum kabisa as if everything is okUVCCM ina uongozi kama watu wanasema bila kuwa na uongozi hilo ni genge tu. Kwa mantiki hiyo hayo maneno hayatoki kwa UVCCM kwani lazima ingetolewa na viongozi. Huwezi kusema CCM wamesema wakati hakuna hata kiongozi mmoja wa CCM aliyesema ama aliyenukuliwa. Huu ni utaahira wa mawazo na fikra.