Tamko la Umoja wa Kizazi cha kuhoji Tanzania (UTG) kuhusu suala Ben Saanane kutojulikana alipo

Yule kijana wa Chadema Ben Saanane aliyepata Vitisho na Kisha Kupotea ameshapatikana? Au tuseme imeshajulikana hatma yake? Kama alihujumiwa Maisha kukaa kimnya baada ya muda mfupi ni motisha mkubwa kwa wanaotenda vitendo vya Kinyama. Ni motisha wa kuwafanya waone kuwa 1) Magic hiyo inawork 2) Wanaweza kuitumia kwa Wengine na Kuget away with it. Hii impunity itakuwa ni hatari kwa mnaokaa kimya!

Na Kama ni kweli kama lilivyovumisha Mwanahalisi kuwa huyu Kijana anaonekana mitaani, Kwa nini asikamatwe basi na kufuunguliwa Shitaka la Kusuumbua umma. Maana ukitoa Taarifa za uwongo za emergency ni kosa kubwa.
 
ngoja rafikiye Mwigulu Nchemba atupe updates maana alisema atalichukulia hili jambo kama rafikiye na pia kama kiongozi mwenye dhamana.
tunakuomba sana mkuu wetu fanya hima, nikifikiria hapa nilipo machozi yananilenga..
 
Muda si mrefu kuna mtu ataaibika sana kuhusu suala la kupotea kwa Saanane.
 
ngoja rafikiye Mwigulu Nchemba atupe updates maana alisema atalichukulia hili jambo kama rafikiye na pia kama kiongozi mwenye dhamana.
tunakuomba sana mkuu wetu fanya hima, nikifikiria hapa nilipo machozi yananilenga..
Mwigulu Nchemba kwa sasa atakuwa anapita mbali anasoma comments za watu, hawezi kujibu kwenye mtandao huu maana kesi ya Mello itakosa grounds. Nimeona last seen ni Yesterday,

Mwigulu Nchemba
Verified User
Profile Page Start a Conversation Follow Ignore
Member Since:
Feb 25, 2012
Messages:
315
Likes Received:
621
Trophy Points:
180
Liked:
1
Mwigulu Nchemba was last seen:
Yesterday at 2:13 PM
 
Wana jamvi salama...

Maskini siasa ya tanzania...kijana huyu tegemeo katika familia ya saa nane...

Maskin ben...kijana aliyekuwa dira ya Mbowe kisiasa na kijamii

Maskin ben...kijana msomi,uliyepaswa kulinufaisha taifa kupitia elimu bora...

Ama kweli chadema ni saccos ya wajanja...

Huwezi amin ben...tangu umepotea hakuna kiongozi hata mmoja ndani ya chama chako anayehangaika kujua uliko.

Tangu ututoke macho,viongozi wako wanakula tu bata.Ni mtindo tu wa kuzalisha t-shirt kwa ajili ya kupiga dili.

Safari za kila aina kwa kutumia ruzuku ya chama.Nashangaa kwa nn pesa hiyo wanayoitumbua,wasiitumie kukutafuta uliko?

Nimeanza kuamini kwamba...safari ya kisiasa ndani ya chadema ni kujitoa sadaka.

Nakushauri popote uliko,kama bado u-hai,usije tena kukubali kuitumikia chadema...

Kama huoni chama kingine cha kuhamia,bas ni bora ukaachana na siasa za vyama.

Pole sana ben,pole sana familia ya ben.
 
Tuna wapinzani Hewa mkuu..!
Sijui Magu anasubiri hili nalo liive hadi lijitumbukie lenyewe!
 
Mleta mada ulifikiri kweli kabla ya kuandika?
Wapinzani wana serikali ya kuweza ku access na kujua Ben alipo?
Mbona mnapenda Sana ushari na chuki isiyo na kichwa wala miguu?
Ingekuwa ni CHADEMA ndo ina serikali hapo sawa, CHADEMA ni Kama mimi na wewe tu hawana serikali.
Kuwa na pesa siyo kujua mtu aliyepotea alipo, serikali ina nyenzo na mkono mrefu wa kuweza kujua alipo Ben lakini haitaki Kwa Sababu inajua alipo na serikali ndo mtuhumiwa namba moja ktk ishu ya kupotea Kwa Ben.
Mtu anayeitwa Emmanuel Joseph alimwandikia Ben hivi "Unachokitaka kwenye hii serikali utakipata, Endelea kuandika lakini Nakuhakikishia kuwa hautaandika, andika tu mara ya mwisho ila hautaandika tena ".
Ushahidi wa ujumbe ule ukapelekwa police, hadi sasa police hawajatuambia kuwa waliishia wapi na uchunguzi wao.
Nyie watu acheni kutumika vibaya kisiasa, ccm haitatawala milele itaondoka tu ni suala la wakati, hakuna usiku usio na mchana.
Msijisahau kabisa hakuna aijuaye kesho, kila Siku mnakuja na mada za kusanifu kuhusu Ben wakati Kati yenu wengine ndo wauaji wake.
Mungu yupo atalipa Kwa wakati wake.
 
Ukiwa na mtu huwez ona umuhimu wake. Dr mihogo alikuwa mtu wa maana sana chadema. Dr Slaa alimfanya mbowe akang'aa..!! Leo manshinji anachoweza ni kutafuta safari za Nje tu.
Katibu mkuu wa chama butu..
Nasikia Mnyika - msukuma
Nasikia mashinji- msukuma

Kupotea kwa Ben na ukimya wa chadema kuna kitu cha kujifunza. Yaani wangeanzisha movement balaa nchi nzima. Hawa jamaa washukuru tu kwamba Tanzania ni Nchi ambayo maswali magumu hayaulizwi..mmekuwa butu km Giroud
 
Nimekuwa na waza kuhusu rafiki yangu wa mtandaoni wa muda mrefu Ben saa 8 hivi ni kweli amepotea na leo tnaakata miezi hajapatikana?

Wako wapi waliokuwa wanamzungumzia nakutoa matamko kwenye vyombo vya habari? Au walikuwa wanatafuta Coverage ya media?

Najiuliza hatape kwenye vile vijewe vya kahawa yule ndugu yake wa Itikadi alipo kuwa anamuona alishindwa kuwapeleka kuonyesha?

Mimi najua wanaweza kuwa wamesahau nawakumbusha.

Nakama wamempata waje watwambie tijue ndugu yetu amepatikana

Bila hivyo tutaamini ilikuwa ni maigizo

Au tulitaka kufanya biashara ya Tsheti .

TUNAMTAKA BEN
 
Si Mbowe, si Lowasa walioshtushwa na kupotea kwa Ben Saanane. Wanajua nini kinandelea
 
Back
Top Bottom