Tamko la Umoja wa Kizazi cha kuhoji Tanzania (UTG) kuhusu suala Ben Saanane kutojulikana alipo

CDM mmesha kosa ya maana ya kufanya!

Mnajiteka wenyewe na kuanza kupima upepo, wananchi
Hili tukio watali chuliaje yaani mnafanya mambo ya kitoto sana ili mradi tu rais aonekane anabana uhuru wa kuogea!

Wananchi sasa tumesha wachoka

Mnacho kifanya ni upupu
Acha upuuzi wewe jambazi mkubwa wewe ngoja siku yakukute utajua maumivu yake yalivyo makubwa.kama halijakugusa kwa nini usikae kimyaaa?
 
Sio lazima utumia Polisi kupata mawasiliano bana, nyie vipi? mnakuwa kama wa kuja. Mjni hapa unapatachochote kile kama unakitaka. Mmeshaonyesha mnatuhumu vyombo vya usalama sasa mnategemea nini? Ni frustration period. Mlipaswa kwenda extra mile yaani tumieni vijana kwa kampuni za simu na kuzimwaga data kabla ya vyombo havija zikamata. Sasa mnawatuma waka DELETE.
 
Kila kona sasa B. SANANE ndyo habari ya mjini. Wengine hata tulikuwa hatumjui. Tunaomba mwenye picha zake anandike hapa ili tumtambue inawezekana tukawa tunapishana naye mitahani bila kumtambua.
 
Ndugu wanajukwaa nimefuatilia sana suala hili suala na hatma yake nimeshindwa kuelewa kabisa je ben yu bukheri wa afya au la?
kasapatikana au la ?
najiuliza haya kwa sababu sisikii chama wala serikali wakilijadili hili sasa najiuliza hii manake nini au ile taarifa ya ben kuibuka ilikuwa kweli inaandaa umma kukaa mkao wa kumuona na kumpotezea?
na kama alionekana mbona hatuoni taarifa kaonekana wapi na alipatwa na nini kipindi chote hicho? mwenye taarifa mawazo tafadhari
 
Afadhali umeuliza maana mimi mwenyewe nilikuwa najiuliza sana, wiki nzima sikuweza ingia mtandaoni
 
Ndugu wanajukwaa nimefuatilia sana suala hili suala na hatma yake nimeshindwa kuelewa kabisa je ben yu bukheri wa afya au la?
kasapatikana au la ?
najiuliza haya kwa sababu sisikii chama wala serikali wakilijadili hili sasa najiuliza hii manake nini au ile taarifa ya ben kuibuka ilikuwa kweli inaandaa umma kukaa mkao wa kumuona na kumpotezea?
na kama alionekana mbona hatuoni taarifa kaonekana wapi na alipatwa na nini kipindi chote hicho? mwenye taarifa mawazo tafadhari
Faru Saanane.
 
Mbowe huyu huku anakula bata tu Ghana, jamaa anacheka tu kila siku!
full_size_20170109203121-jpeg.457074
 
Ndugu wanajukwaa nimefuatilia sana suala hili suala na hatma yake nimeshindwa kuelewa kabisa je ben yu bukheri wa afya au la?
kasapatikana au la ?
najiuliza haya kwa sababu sisikii chama wala serikali wakilijadili hili sasa najiuliza hii manake nini au ile taarifa ya ben kuibuka ilikuwa kweli inaandaa umma kukaa mkao wa kumuona na kumpotezea?
na kama alionekana mbona hatuoni taarifa kaonekana wapi na alipatwa na nini kipindi chote hicho? mwenye taarifa mawazo tafadhari

Watoto wako wanasoma shule bora,wanapata balanced diet,Je wanatibiwa hospitali bora Na je yote hayo Ni endelevu??? Ya Ngoswe mwachie Ngoswe!!
 
Mbona ulimboka watu walikomaa mpaka wengine tumeujua msitu wa mambwepande iweje BEN SAA NANE apotezewe japo kuwa nae ni mwanaharakati
 
Ndugu wanajukwaa nimefuatilia sana suala hili suala na hatma yake nimeshindwa kuelewa kabisa je ben yu bukheri wa afya au la?
kasapatikana au la ?
najiuliza haya kwa sababu sisikii chama wala serikali wakilijadili hili sasa najiuliza hii manake nini au ile taarifa ya ben kuibuka ilikuwa kweli inaandaa umma kukaa mkao wa kumuona na kumpotezea?
na kama alionekana mbona hatuoni taarifa kaonekana wapi na alipatwa na nini kipindi chote hicho? mwenye taarifa mawazo tafadhari
Waulize CDM hasa Lissu!!
 
Back
Top Bottom