MWALLA
JF-Expert Member
- Dec 12, 2006
- 16,992
- 10,497
Anaepiga kelele anakujulisha kelele zake ndio Zimetujulisha uozo wa majambawazi ya Lumumba uliotufikisha hapaUmpongeze aliyepiga kelele au anayetenda
Anaepiga kelele anakujulisha kelele zake ndio Zimetujulisha uozo wa majambawazi ya Lumumba uliotufikisha hapaUmpongeze aliyepiga kelele au anayetenda
Anajiita injinia huyo, wanajifanyaga hawajui communication skills hao.
Mm ndo sifaham, hebu nieleweshe ni kwa wakati gan, mtu anatakiwa kuitwa Engineer?Hujawahi kusoma Chuo?
Jamaa katudhalilisha mno.Huu ndio muandiko wa chuo kikuu? SMFH
Jamaa ni kilaza kwenye ishu nyingi mno ukisoma andiko lake alilolipa jina Tamko.Andiko murua kutoka Kwa wanaojiita wasomi!
Ni kweli kwamba watu hao mnaowaeleza kuwa wapingaji hawakustahili kupata hilo li digrii la hicho chuo, kwani ni aibu kupata hilo li digrii katika chuo chenye wasomi wa aina hii, tena wanaowakilisha wanachuo wenzao.
Kama viongozi ndio mko hivi, hao wengine wakoje?
Duh, wasomi wasiofahamu historia ya taifa Lao, wako wapi na tunatakiwa kwenda wapi!
Eti karume aliongoza mapinduzi matukufu ya Zanzibar ya 1964!
Kuwa Na wasomi wa aina ya kupongeza na kusifia vitu bila utafiti ni heri kuwa na kundi la watoto wa chekechea ambao watauliza na kudadisi kabla ya kutoa mtazamo wao kama hawa wasomi.
Poleni wana habari, nafikiri nisingevumilia kusikiliza utumbo huu hata kama ninaandikia gazeti la Uhuru
Jamaa katudhalilisha huku.Anajiita injinia huyo, wanajifanyaga hawajui communication skills hao. Na sijui CL ya kadege kama haija/ta mla kichwa
Hahahaah! So engineer kaingia chumbani katoka na tamko...duhHili tamko nimeliona mahali limekanushwa na wanaDARUSO wakidai si lao ni la mtoaji binafsi.Wamedai hawajashirikishwa na hawezi kutoa tamko dhaifu kiasi hicho. Wanasema raise wa DARUSO alijifungia chumbani na kuandika aliyoyaandika kwa maslahi binafsi ya kutafuta ajira au cheo serikalini au huko CCM!
Wamekuchefua! Umeangalia siku zako?Ninyi daruso wa kupaka kama jam kwenye kipande cha mkate ziepukeni siasa za kina kibajaji na ndugai! Kama kweli mnaongozwa kwa historia ya wapigania raslimali za taifa mngewataja kina mnyika, lissu,lema na zitto. Kinyume chake ni kujiongoza na kufikiri kwa matumbo yenu ili muajiriwe kwenye mfumo mnaoutetea leo!
Rejesheni kumbukumbu zenu nyuma kidogo mkumbuke juu ya dowans, lugumi, escrow, sheeia za madini na ile ya gesi iliyoptishwa usiku wa manane na kupingwa na haohao mnaowita yuda escariot hadi kufikia hatua za kukamatwa na kushtakiwa na dola. Mtuambie, ni kwanini maazimio ya bunge juu ya dowans na escrow hayajatekelezwa na serikali hadi leo? Kile alichokiona Lissu kule bulyankulu juu ya kufukiwa kwa wachimbaji wadogo waliogomea kuondolewa kwa nguvu ni kwanini hakuna aliyewajibika hadi sasa?
Msifikri kuwa hatuna kumbukumbu na hatuitambui michango ya wabunge wetu wazalendo kina Lissu et al katika kuzitetea raslimali na kwa jinsi walivyo na wanavyoshiriki kuishauri ccm mbinu na njia sahihi za kuzikataa mbinu chafu za hao mabwana zenu mliowapa raslimali za nchi hii bure bwerere! Kwa uroho wenu mkajitia upofu na uziwi na eti leo mnakuja kama yule kipofu aliyeponywa na Yesu kwa kupakwa tope! Oneni aibu kujiita wazalendo na ni bora mkajiita wanafiki na waroho waliotopea! Eti daruso! Bora mjiite rubbish daruso mlio na akili za makinikia. Mnachefua.
Unafiki wenu wa kuzaliwa nao / inborn trait au wa kuambukizwa na viongozi wenu wanafiki?Umpongeze aliyepiga kelele au anayetenda
Na sio kugraduate tu ili aitwe engineer lazima asajiriwe na board ya wahandisi, ni.kosa kujiita engineer huku hutambuliki katika usajiriDuuh keel hii ni Tz ya viwonder, Yaaan dent bado hata hajagraduate anajiita Engineer