Tamko la Rais kuhusu benki ya walimu kuyumba ni hatari kwa ustawi wa benki

Ni majuzi akiongea na walimu huko dodoma alisema benki ya walimu inayumba..
Najiuliza hivi alidhamiria kutoa hilo tamko au bahati mbaya. Anajua athari zake kwa benk kwa yale matamshi au mdomo ulimteleza kama alivyoteleza pale aliposema yeye na mkewe wanajua namna ya kumalizana hadi mkewe akaangalia chini kwa aibu.

Kimsingi ile kauli ni moja ya mwanzo wa kuyumba kwa ile benk kwani wateja watakosa imani na kukimbilia kuchukua hela zao.

Hivi ni lini atajifunza aseme nini wapi na wakati gani,

A shameful statements ...
Ile ni bank ya biashara so Rais Magufuli kutupa tahadhari kwa wananchi ni jambo sahihi kabisa tusisubiri yatukute ya Meridian bank!
 
Benki ya waalimu ikifa Watanzania wengi sana waliowekeza hisa zao wataathirika.

Kwanza kabisa, Soko la hisa lilifanya makosa kuruhusu benki ambayo ilikuwa haijaanza kufanya kazi kujiandikisha katika soko la hisa.

Serikali wakati huo haikusema lo lote; wakati walijua kabisa kuwa taratibu zilikiukwa.

Sasa hivi ndiyo serikali inaona kuwa benki inayumba..!
Mkulu anasahihisha makosa ya watangulizi wake kwa hiyo hakuna tatizo.
 
Tuna tatizo kwenye uchumi, badala ya serikal kutafuta mbinu kuinua Bank zinazoelekea kubaya, ndio kwanza inafurahia na kutangaza kuzifungia.
 
Benk hii bora life
Tu , CWT inawanyonya waalimu sana.. Serkali iingilie kati unyonyaj huu
 
Benk hii bora life
Tu , CWT inawanyonya waalimu sana.. Serkali iingilie kati unyonyaj huu
Sio CWT tu ndio inafanya hivyo. Vipi kuhusu tucta yenyewe inapata wapi michango yake. Hivyo angevisema vyama vyote.
 
We
Ni majuzi akiongea na walimu huko dodoma alisema benki ya walimu inayumba..
Najiuliza hivi alidhamiria kutoa hilo tamko au bahati mbaya. Anajua athari zake kwa benk kwa yale matamshi au mdomo ulimteleza kama alivyoteleza pale aliposema yeye na mkewe wanajua namna ya kumalizana hadi mkewe akaangalia chini kwa aibu.

Kimsingi ile kauli ni moja ya mwanzo wa kuyumba kwa ile benk kwani wateja watakosa imani na kukimbilia kuchukua hela zao.

Hivi ni lini atajifunza aseme nini wapi na wakati gani,

A shameful statements ...
wewe ni mjinga,Rais analijua alilolisema,na mh Rais alikuwa sawa 100%, wewe hujui hiyo Bank,ni wizi mtupu.na itakufa soon.walimu wameibiwa vya kutosha,Sasa umefika wakati rais anawakomboa
 
Back
Top Bottom