Tamko la Rais kuhusu benki ya walimu kuyumba ni hatari kwa ustawi wa benki

Unazungumzia kuhusu bank ya walimu kuyumba , then ishu ya mke wake imeingiaje hapo!
Ujinga bado unatusumbua watanzania wengi kama hata kueleza hoja yako umeshindwa.
Una wivu kutajwa mke wa rais roho inakuuma. Au na ww ni mshirika?
 
Kama uko timamu ungekubali pale hapakuwa platfom ya kuongelea, angeacha BOT wafanye mkakati kui stabilize, kitakachotokea ni wsteja kukimbia hivyo ku accelerate kulelekea kufa, nchi hii imekuwa na marais wanne kabla ya huyu hawskuwahi kuwa waropokaji kwa vitu vilivyo na impact mbaya ktk maendeleo,
Ndo maana nauliza alimaanisha nn huyu bwana
MZALENDO WA KWELI ALISHASEMA "TUNA RAIS WA AJABU HAIJAWAHI KUTOKEA"
 
KWANI MAMBO YA YEYE NA MKE WAKE YANAKUJAE HADHARANI?.
Mambo ya yeye na mkewe, mfalme hajayaleta yeye hadharani... Kuna wadaku walisema kuwa first lady hakai na mfalme na kuwa ametimuliwa Magogoni... Sasa naona mfalme aliichomekea hii hoja kiaina kujibu mapigo kuwa yeye ma mkewe mahaba teletele yamejaa kama vile mnara wa Nokia ya tochi...
 
au mdomo ulimteleza kama alivyoteleza pale aliposema yeye na mkewe wanajua namna ya kumalizana hadi mkewe akaangalia chini kwa aibu.
Mwanamke kuona aibu ndiyo haiba yao... So far so good kwani hujui wanandoa huwa wanafanyaga nini wakiwa faragha? Alafu it was a proper place kuijibu hoja iliyokuwa imesambazwa na wadaku kuwa first lady hakai na mfalme Magogoni.. Hoja yake inajibu mapigo ya wazandiki kuwa bado wako fresh na wana maelewano mazuri kama wanandoa.
 
ule ulikuwa mkutano mkuu wa chama cha walimu alikuwa anawakumbusha wajadili mambo kama hayo haiingii akilini chama cha walimumkinawakata walimu ada wapende wasipende kila mwezi halafu wanashindwa kusimamia pesa zao alikuwa yuko sahihi
 
Hii ni Benki binafsi tena imeorodheshwa katika soko la hisa. Rais sio Gavana wa Benki Kuu. Washauri wa Rais wamweleze Rais kuwa aache kauli za kuingilia taratibu ilhali kuna regulators wa masoko hayo. Benki ya Walimu imeanza vizuri sana. Rais asitie mikono, sio Benki ya Serikali AzamTV on Twitter
 
We ni mwehu maneno yote aliyaongea siku hyo nahoji alijisahau kwa yote maneno mawli, ya benk na yake na mkewe?
We ni bwege kumbe wew!
Umeleta hoja aliyozungumza kuhusu kutofanya vizuri kwa bank ya walimu hivyo kuelekea kufikisika.
ishu ya maneno ya mke wake imeingiaje kwenye agenda ya kufilisika kwa Bank
Akili zako pumba usiyoelewa kuwa umeleta hoja mbili kwenye Uzi wako bora ukae kimya!
 
KWANI MAMBO YA YEYE NA MKE WAKE YANAKUJAE HADHARANI?
HOJA YA MSINGI AANGELIE KAULI ZAKE NA MAHALI PA KUZITAMKA.
Kwahiyo ishu ya mke wake ndio yenye mashiko zaidi kuliko hotuba nzima kuhusu walimu na bank yao??
 
Una wivu kutajwa mke wa rais roho inakuuma. Au na ww ni mshirika?
Mkuu ishu iko hivi..
Uzi umeletwa tuone ni kwa namna gani kauli aliyotoa raisi ina weza kuleta negative impacts kwa bank kuhusu uwezekano wa Ku undergo bankrupt... Sasa ndani ya hoja kuna mambo ambayo hayana uhusino na anachotaka tukidiscuss mleta mada..utani wa kumtaja mke wake una impacts gani kwa uchumi au bank ya walimu???
 
Haina maana labda ndiyo style yake ya kuwakilisha ujumbe. Potezea
 
Mambo ya yeye na mkewe, mfalme hajayaleta yeye hadharani... Kuna wadaku walisema kuwa first lady hakai na mfalme na kuwa ametimuliwa Magogoni... Sasa naona mfalme aliichomekea hii hoja kiaina kujibu mapigo kuwa yeye ma mkewe mahaba teletele yamejaa kama vile mnara wa Nokia ya tochi...
NIMEKUSOMA MKUU WANGU.
 
We ni bwege kumbe wew!
Umeleta hoja aliyozungumza kuhusu kutofanya vizuri kwa bank ya walimu hivyo kuelekea kufikisika.
ishu ya maneno ya mke wake imeingiaje kwenye agenda ya kufilisika kwa Bank
Akili zako pumba usiyoelewa kuwa umeleta hoja mbili kwenye Uzi wako bora ukae kimya!

Tondo sina haja na wewe
 
Kwahiyo ishu ya mke wake ndio yenye mashiko zaidi kuliko hotuba nzima kuhusu walimu na bank yao??
HAPANA MKUU ISHU NI NAMNA MFALME ALIVYO MROPOKAJI BILA KUJALI NINI MADHARA YA KAULI HIZO.
 
We ni bwege kumbe wew!
Umeleta hoja aliyozungumza kuhusu kutofanya vizuri kwa bank ya walimu hivyo kuelekea kufikisika.
ishu ya maneno ya mke wake imeingiaje kwenye agenda ya kufilisika kwa Bank
Akili zako pumba usiyoelewa kuwa umeleta hoja mbili kwenye Uzi wako bora ukae kimya!
MKUU PUNGUZA MUNKALI JAPO AMEKUANZA,TUBISHANE KWA HOJA.
 
We
UNGEFUNGUA UZI MBILI TOFAUTI MKUU MOJA YA MKEWE NA YA BANK,kama ulimsikiliza kwa makini alisema kutokana na taarifa alizozipata toka BOT hyo bank iko shakani inaweza kufutwa na akalaumu mikopo wanakua hawapewi mikopo wanakopa wasio walimu na wameshindwa rejeshabank iko taabani sasa ni kosa la nani, unataka nchi ndo iweke pesa pale ama kufutwa?
We boya swala la mkewe nimeliingiza kama mfano, nimesema ni bahati mbaya kama alivyoteleza kuelezea ishu yake na mkewe au alikusudia
 
Back
Top Bottom