Tamko la Mwakyembe juu ya mgao wa umeme | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tamko la Mwakyembe juu ya mgao wa umeme

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Game Theory, Oct 15, 2009.

 1. G

  Game Theory JF-Expert Member

  #1
  Oct 15, 2009
  Joined: Sep 5, 2006
  Messages: 8,571
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 0
  [​IMG]

  Huyu mheshimiwa aliwahi kusema kuwa "hatokosa usingizi na hatojali kama taifa letu tukufu likiingia kwenye giza kwa kukosa umeme"

  Nadhani its about time na yeye aje atoe tamko lake kwa nini yeye anaona ni sawa kwa waTanzania na baadhi yao wapiga kuwa wake kuendelea kukosa umeme na huduma zingine muhimu.

  Mashabiki wake ambao wanajiita wapiganaji waliopo USA,ULAYA na CANADA najua watakuja kumtetea lakini nadhani itakuwa si vibaya kwa huyu bwana Mwakyembe akaja kutoa tamko ili tujue maoni yake kuhusu hii adha, je imebadilika au la?
   
 2. Consultant

  Consultant JF-Expert Member

  #2
  Oct 15, 2009
  Joined: Jun 15, 2008
  Messages: 5,801
  Likes Received: 6,311
  Trophy Points: 280
  Mods, mnaweza kubadilisha title ya thread hii?

  Nilijua jamaa tayari katoa tamko, kumbe waaaaaaaaapi!
   
 3. Tumain

  Tumain JF-Expert Member

  #3
  Oct 15, 2009
  Joined: Jun 28, 2009
  Messages: 3,158
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Tusubiri mpaka lile dili lake la umeme wa upepo kule singida litakapokubaliwa na Tanesco na kuingia naye mkataba wa kifisadi na wizara ili apate mshiko that is what he wanted, otherwise atapiga domo...utafikiri ameng'atwa hana jipya "opportunistic na fisadi"
   
 4. G

  Game Theory JF-Expert Member

  #4
  Oct 15, 2009
  Joined: Sep 5, 2006
  Messages: 8,571
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 0
  wewe inaelekea eidha umelalaau ndio habari za ndani aka nyeti hujazipata

  walewa Korea wameamua kupunguza shares za mwakyembe and Co kwani wao walitaka kufanya mambo kama wafanya biashara akina MWAS waliamua kuplay politics ...ilifika point jamaa hadi kuwaona wahemishiwa ilikuwa ngumu na haliilitengemaa baada ya kumwomba Ban awasaidie kwenye ile party iliyofanyoka NY mwezi wa 4

  mienasubiri kwahamu sana tamko lake huyu MWA
   
 5. Tumain

  Tumain JF-Expert Member

  #5
  Oct 15, 2009
  Joined: Jun 28, 2009
  Messages: 3,158
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Kama mambo yako hivo atakuja kutamka nini zaidi kukaa kimya...atakuwa hana maslahi...kwasababu ukiona anapiga kelele ujue ana maslahi...au kuna watu wanataka kuchukua kikombe chake.
   
 6. G

  Game Theory JF-Expert Member

  #6
  Oct 15, 2009
  Joined: Sep 5, 2006
  Messages: 8,571
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 0
  swadakta


  sasa hii ya kuja na sura ya eti ohhh wapiganaji mara ohh sijui hatutaki umeme wa Dowans wao wanajua...mtego wenyewe ni upi na kwa jinsi ulivyokaa nadhani hawana namna sasa hivi inabidi waanze kurekebisha na kutengeneza allies
   
 7. Tumain

  Tumain JF-Expert Member

  #7
  Oct 15, 2009
  Joined: Jun 28, 2009
  Messages: 3,158
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Kutengeneza allies ili wote watengeneze umeme? Hapo atakuwa jasiri kifisadi....anything can happen..kama alitaka kuwa business man nafikiri anaweza kuendelea kutafuta allies wengine pengine usishangae "Chinese company ika side na MWA
   
 8. G

  Game Theory JF-Expert Member

  #8
  Oct 15, 2009
  Joined: Sep 5, 2006
  Messages: 8,571
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 0
  huko nyuma the subject allielezewa hivi:
  sasa kilichobaki naona baada ya waKorea kumbadilikia ameamua kutauta upande wa pili ..btw kuna habari Mwakipesile keshajoin jf!
   
 9. Bluray

  Bluray JF-Expert Member

  #9
  Oct 15, 2009
  Joined: Mar 25, 2008
  Messages: 3,446
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 135
  This senseless polarization cannot pass unprotested.

  there are people in those named regions who root for Mwakyembe, equally, there are those in these very places who despise him.

  Conversely, there are people in Tanzania who root for the MP, as well as those in Tanzania who do not like him.

  So why the senseless and baseless polarization? Wewe kama umeamua kurudi bongo au umerudishwa au whatever the case is that is your issue, kwa nini kuwa pigeonhole an entire mass of Tanzanians just based on where they are?

  This just exposes your shallow thinking and lack of honesty where you can do much better to elevate the level of discourse on these fora.
   
 10. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #10
  Oct 15, 2009
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  mwakyembe bana kumbe kelel zote zile na wewe una kampuni lako la umeme wa upepo..hahaaaaaaaaa
   
 11. Lunyungu

  Lunyungu JF-Expert Member

  #11
  Oct 15, 2009
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,836
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145

  Mbona hii habari ina habari sana ndani yake ? Kuna mtu yuko bongo sasa anaugulia ama ?Haya wacha niendelee kusoma hili bandiko
   
 12. Bluray

  Bluray JF-Expert Member

  #12
  Oct 15, 2009
  Joined: Mar 25, 2008
  Messages: 3,446
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 135
  LOL! Unashtukia?
   
 13. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #13
  Oct 16, 2009
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160

  GT unafuka moshi sana!
   
 14. Gudboy

  Gudboy JF-Expert Member

  #14
  Oct 16, 2009
  Joined: Aug 14, 2009
  Messages: 799
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 33
  jamaa hana tamko
   
 15. Robweme

  Robweme Senior Member

  #15
  Oct 16, 2009
  Joined: May 20, 2009
  Messages: 178
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  "we fisadi nini?, tamko la nini hujasikia matamko anaongelea kuhusu richmond?, au ndo wale wale.
   
 16. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #16
  Oct 16, 2009
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  Hii thread ina input yeyote? Km vp Mods iwahisheni kunakohusika (dust bin)
   
 17. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #17
  Oct 16, 2009
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,286
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  hehehe!rafiki yangu gt naona amejichanganya
   
 18. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #18
  Oct 16, 2009
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 543
  Trophy Points: 280
  kumbe na yeye alikuwa anagombea masilahi lol nchi hii ina viongozi wa ajabu sana
  wenye uchungu na nchi ni kina nani ??
   
 19. Lekanjobe Kubinika

  Lekanjobe Kubinika JF-Expert Member

  #19
  Oct 16, 2009
  Joined: Dec 6, 2006
  Messages: 3,067
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Vita nzuri ni ile ambayo pande zote zinapata majeruhi au maafa sawia. Timu zinapokuwa uwanjani haipendezi moja kufungwa magoli 20 kwa bila, ni kama Tyson kupigana na Karubandike mchunga mbuzi.

  Ufisadi ndiyo hasa vita iliyopo. Mafisadi yana nguvu sana kwa jeuri ya pesa yao, lakini sauti ya watu ni sauti ya Mungu. Wewe unataka kuingia kupigana vita halafu ukijeruhiwa kidogo tu unalalama hivyo? Mgawo wa umeme ni silaha ya mafisadi, acha Mwakyembe na wenzake wakiungwa mkono na wananchi waendelee kupiga vita ufisadi dhahir, ipo siku Tanzania itaendelea bila jeuri ya mafisadi. Sasa tununue marapurapu ya dowans kwa bei ambayo ingeweza kuleta mashine mpya kama zilezile, kwa sababu tu kuna mafisadi fulani wameahidiwa 50%?

  Songa mbele Mwakyembe, unao watu kibao nyuma yako. Tukubali kuwa masikini jeuri ili kujikomboa.

  Leka
   
 20. Mponjoli

  Mponjoli JF-Expert Member

  #20
  Oct 16, 2009
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 668
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 35
  Tutende haki jamani,kazi ya kuzalisha umeme na kuweka mikakati ya umeme endelevu ni ya TANESCO kwani tunalipa kodi zetu na umeme pia tunaulipia. Mwakyembe alitekeleza majukumu yake.

  Kila mtu akitekeleza majukumu yake haya mambo yatabaki kuwa historia.Pia, Biashara na siasa haviendi pamoja,kila mtu anaingia kwenye siasa kwa maslahi ya kibiashara. Inapotokea mtu anatakiwa kuchukua maamuzi magumu anashindwa kwani ataharibu maslahi yake ya kibiashara.

  Kila mtu atekeleze wajibu wake,kama mwanasiasa fanya kazi yako,watumishi wa TANESCO fanyeni kazi yenu, wanasheria wafanye kazi zao,kila kitu kitaenda sawa. Kama kuna watu wanafanya kazi zao na wengine wanafanya kuturudisha nyuma hatutafika popote.

  MUNGU IBARIKI TANZANIA.
   
Loading...