Tamko la Chama Cha Walimu(CWT)

Tamko la Chama Cha Walimu(CWT)

mkoba ni mnafiki mno.
Walimu wanatumika kuzima madai ya madaktari
At first i took you to be intelligent, truly i was wrong! You are deadly a selfish imbecile i have never come across. Kwa hiyo kwako wewe wanao stahili kudai haki zao kutoka kwa muajili ni madaktari tu, Walimu hawana matatizo kuliko madaktari! kweli kwa mijitu ya nmna yenu hamstahili heshima yoyote. Na ndio maana mulihujumu hata madai halali ya watumishi waadilifu wa afya kwa ulafi na tamaa zenu!
 
Tamuchungu

Rudi ujibu swali la mgawanyo wa mshahara wa kima cha chini kwa mwalimu. Nimekuuliza tangu asubuhi umeingia mitini

Tatizo kabobo nyingi na magumashi kutetea serikali dhalimu na yakifisadi ya ccm.

Kutetea upuuzi kwa hoja za kipuuzi ni upuuzi unaofanywa na wapuuzi kwa kutumia akili zao kipuuzi.

Watoto wa maskin wanakosa elimu bora na kubaki mitaani kama wapagazi wa matajiri ambao watoto wao wapo shule za elimu za private elimu bora kwa sababu walimu wanathaminiwa na malipo ni mazuri.

Hivyo walimu wathaminiwe walipwe vizuri ili shule za umma watoto wa maskin wapate elimu bora.

Nijukum letu watanzania kutetea maslahi bora, kuwajengea ari na uwezo walim waweze kutoa elimu bora na yenye tija kwa watoto wa walalahoi.
 
Hivi mbona CWT hawatupatii gawio linalotokana na vitega uchumi vilivyotokana na michango yetu?
 
Hivi mbona CWT hawatupatii gawio linalotokana na vitega uchumi vilivyotokana na michango yetu?


I could appreciate much if teacher's salaries and other benefits could be increased, because will add value significantly to the quality of education to be delivered.
 
serikali haijui kitakachotokea walimu wakifanya mngomo baridi serikali itaumia sana kuliko usanii wanaoufanya wanaona wamefaulu kuzima mgomo
 
Walimu waliunga mkono mgomo huu lakini viongozi wao wamewaangusha, tena wamechangia sana kufanya mgomo ushindwa. Siamini kama viongozi wa cww hawakujua taratibu za kufuata au walishirikiana na serikali kukiuka kanuni makusudi ili mgomo ushindwa. Si ajabu JK alivyoongelea suala lao juzi alikuwa mpole vile?

Je, walimu bado mna imani na viongozi wa ccw katika kutetea maslahi yaenu? Mkoba anasema mgomo umefanikiwa; je, walimu wamepata yale waliyokuwa wanapigania au mmeishia kuwakosesha masomo watoto wetu?

Mkoba inabidi ataueleze iwapo walimu waendelee kumwamini kuandaa mgomo mwingine!
 
Mukoba1.jpg

Rais Chama cha Walimu nchini (CWT) Mwl. Gratian Mukoba akitoa taarifa ya chama hicho
--
UONGOZI wa Chama Cha Walimu Tanzania (CWT), umesitisha mgomo uliokuwa unaendelea nchini, hivyo kuwataka walimu kurejea kazini.

Rais wa chama hicho, Mukoba amesema wameamua kusitisha mgomo, baada ya kuingiwa na hofu ya viongozi wao wa juu kuhofiwa kukamatwa.
 
Pamoja na kwamba mgomo umesitishwa na mahakama tunaiomba seriklai itekeze madai ya walimu kwani imeyasikia
 
Ni kutii amri ya mahakama wakati tunafuatilia rufaa!
 
Duuuuuuh! Kweli uoga ni kitu kibaya!
 
Asante Mkoba kwa kumaintain deginity ya walimu machoni pa umma.. Huu mgomo umesitishwa kwenye vyombo vya habari lakini MASHULENI MGOMO UKO PALEPALE

MAJIBU KWA WAKOSOAJI WETU MTAYAPATA KWA WATOTO WENU
 
Mkoba kawauza wenzake!! Endeleeni kuomba omba wandugu!!!

Mmeshindwa kudai haki yenu...
 
That`s what expected, For now retreat is the only solution, ili tujipange upya na shule zikifunguliwa tunarudi kudai chetu hadi kielewekeHatuwezi kukubali katika familia moja ya baba na mama mmoja watoto wanapata distingushed service lazima kitaeleweka

TUNAFIKIRI PART 1 IMESHASOMEKA LENGO LILIKUWA NI KUWA ALERT KUWA SISI WALIMU TUKIAMUA TUTANAWEZA NA HAKUNA WA KUTUZUIA SASA BASI HII PART 2 ITAKAYOFIKA BAADA YA KUFUNGUA SHULE HAKUNA KINACHOWEZA KUTUSTOPISHA KWANI HATA HUKO WANAKOTEGEMEA KUKIMBILIA TUTAKUWA TAYARI KWA LOLOTE.

MY FELLOW TEACHERS THIS IS JUST A BEGNING THE REALLY PICTURE IS SOON TO COME NO BODY CAN STOP ITBIG UP MUKOBA WE WILL FIGHT TOGETHER UNTIL THEN
 
lazima msitishe mgomo! yaani mnataka VIJIPOSHO VYA WAHESHIMIWA WABUNGE Vilipie mishahara yenu? yaani nyie wapuuzi mnataka vibilioni 15 vya viJisambusa vyetu viingie kwenye posho zenu za eti ualimu wa sayansi! nyie washenzi mnataka vile vi-tax holiday vinavyotujengea angalau vijumba vya uzeeni tuvidai ili mlipwe eti posho za mazingira magumu! Nyooooo! Mnataka vijisenti vyetu vya epa? Pumbavu nyie na msingesitisha mgomo TUNGEWAULIMBOKA DABODABO!!!!

Nimeipenda hii. Hawana dili hawa waalimu. Kwanza ni watu ambao serikali haiwapendi kabisa na inaweza kuwafukuza any time!!
 
Nilijua tu hakutakuwa na msimamo ni km kupima kasi ya upepo tu
 
Tena nimeamua sasa kwamba hata wakiongeza, moyo wa ufundishaji ukiniingia nautoa nje ya kichwa changu.
 
Back
Top Bottom