mkoba mnafiki, walimu wenyewe sio wanafiki? hivi unajua kama idadi kubwa ya walimu wanaenda kazini kama kawa?
mkoba ni mnafiki mno.
Walimu wanatumika kuzima madai ya madaktari
na wewe mwanao anasoma huko?Watakata rufaa na watarudi kazini ila wtajua wao nini cha kufanya......
Mkuu huyo alisoma nje kwa kodi zetu ndiyo maana anaona Wlimu si muhimupumba......walimu nao ni watu muhimu usifikiri ni madaktari tu ndio wanastaili kulipwa vizuri acha dharau .
kwanza madai ya madaktari yamezimwa na madaktari wenyewe kwa usaliti wao kwa ulimboka...trust me madokta baada ya kumsaliti ulimboka na wale madogo waliofukuzwa wamenitoka kabisa.
mkoba mnafiki, walimu wenyewe sio wanafiki? hivi unajua kama idadi kubwa ya walimu wanaenda kazini kama kawa?
Inawezekana akawa mnafiki. Lakini hebu tupe mchanganuo wa matumizi kwa mshahara wa 300,000/= kwa mfano, mwezi, familia ya baba, mama, watoto 4, nyumba ya kupanga vyumba vitatu, umeme, maji, chakula, matibabu na usafiri.
natamani wasiache kugoma ili nione plan B ya serikali
Mgomo baridi ulishaanza siku nyingi, labda watauongezea nguvu. Madhara ya mgomo huu baridi utakuja jidhihirisha mmiaka mingi ijayo ambapo watawala waliyoyasababisha haya hawatakuwepo madarakani, hivyo si athari mbaya ama taadhari kwao kwa sasa. Imefikia mahali Wizara na vyombo husika walishusha viwango vya ufaulu katika madaraja mbalimbali ya sekondari na hata kuingia vyuo vikuu vyetu (nafikiri sasa ni 2.5 point, Mfano E E S anachaguliwa huyo). Nahisi sasa itafikia mahali kuingia chuo kikuu itakuwa kwa idadi, atakayewahi foleni anachaguliwa kuingia moja kwa moja.
Inawezekana akawa mnafiki. Lakini hebu tupe mchanganuo wa matumizi kwa mshahara wa 300,000/= kwa mfano, mwezi, familia ya baba, mama, watoto 4, nyumba ya kupanga vyumba vitatu, umeme, maji, chakula, matibabu na usafiri.
Wanafiki ni
1. Serikali, fedha hakuna kilasiku wanafanya utalii ughaibuni, wanatoa misamaha ya kodi kwa mafisadi, wanatutoza payee kubwa zinatumika wapi? hatujui. Sasa wanahamia kuchukua akiba zetu kwa kisingizio cha miaka 55 nk.
2. Wanafiki ni ccm kwa kuwadanganya wtz kwa misha bora, kihalisia ni maisha duni zaid kwa wananchi na wafanyakazi wa kawaida.
3. Wanafiki ni mahakama zinazotoa hukumu kutoka maelekezo ya ikulu inataka nin.
4. Wanafiki ni polisi, wanaacha sheria na kukandamiza uma.
5. Wanafiki ni takukuru kwa kushindwa kukabili tuhuma za rada, epa, richmond nk pia rushwa iliyokithili kila kona.
Hawawezi kuwa wanafiki walimu na mkoba kwa kudai kihalali haki zao za msingi. Kama nilivoeleza wanafiki ni kikwete na serikali yake, ccm, mahakama, polisi na takukuru.
wewe ndio mnafiki mkubwa kwa kujitahidi kupandikiza chuki kwa wananchi.CWT inakula pesa za walim kwa kuwakata mishahara yao kila mwezi tena wengine bila ridhaa yao.huo nao ni ufisadi mkubwa.
Kumbuka pia kipato cha walimu ni kidogo sna na juzi walitishiwa hawatalipwa mishahara kama wataendelea na mgomo....lakini kama wangekuwa na kipato kizuri wakawa na akiba angalau miezi mitatu wangeliendeleza kwasasa acha waendelee na mgomo baridi mpaka mwaka 2015. waakuwa na mchango mkubwa sana kuiondoa serikali hii ya kibabe....Nilazima warudi kazini kwanza ili kutii amri ya mahakama. Swala la rufaa ni kutetea haki yao maana hawajaridhika na hukumu. Mbona ipo wazi sana na wala sio kwamba wana surrender!?
Chama kimesema kitatoa tamko leo saa 4:00 asubuhi. Tamko hilo litaeleza kama chama kimeridhika na hukumu au wanakata rufaa. Taarifa hiyo haijaweka wazi kama walimu warejee kazini ama laa. Mtoa taarifa amewataka walimu kufuatilia vyombo vya habari saa 4 asubuhi.