Katibu wa mkoa bw Eddo Makatta.anatoa tamko la chama,kwanza anaanza kwa kusema kuwa kuna maandamo tarehe 16 yatakayoongozwa na mh Freeman Mbowe,kupinga mswada wa katiba,kuhusu Shitambala anasema amepata taarifa kupitia vyombo vya habari,mpaka sasa hajaleta taarifa kwenye chama,anakanusha kuwa yeye hakwenda na shitambala.anasema ni haki yake kikatiba,kuchagua chama anachotaka,mpaka sasa cdm taifa bado walikuwa kwenye uchunguzi,anasema Shitambala amekimbia kabla ya uchunguzi,anamtakia harakati njema za kukipasua chama cha mapinduzi,anasema Cdm haina haja ya kujib wala kugombana naye,na wala cdm haijayumba wala haitayumba,

Huyo shitambala kweli alikuwa nukusi kwa Chadema, amehamia ccm chini ya saa 24 tayari mitafaruku inatokea huko. His move is probably the greatest favor he could do to Chadema!
Safi saana....maneno mazito hayo...point 100 kwa CDM na point 0 kwa ShitambalaKatibu wa mkoa bw Eddo Makatta.anatoa tamko la chama,kwanza anaanza kwa kusema kuwa kuna maandamo tarehe 16 yatakayoongozwa na mh Freeman Mbowe,kupinga mswada wa katiba,kuhusu Shitambala anasema amepata taarifa kupitia vyombo vya habari,mpaka sasa hajaleta taarifa kwenye chama,anakanusha kuwa yeye hakwenda na shitambala.anasema ni haki yake kikatiba,kuchagua chama anachotaka,mpaka sasa cdm taifa bado walikuwa kwenye uchunguzi,anasema Shitambala amekimbia kabla ya uchunguzi,anamtakia harakati njema za kukipasua chama cha mapinduzi,anasema Cdm haina haja ya kujib wala kugombana naye,na wala cdm haijayumba wala haitayumba,
shitambala sishangazwi nae kuhama cdm..kwanza alikuwa mwanajeshi yule ..akaenda soma LLM england..aliporudi akaacha jeshi nadhan akiwa kama captain na kuingia kwenye siasa..hana mke mpaka saiv..hajawahi kuoa..lkn amezaa zaa hovyo hovyo kama bata...anaish tabata pale na watoto wake wote..inawezekana ni mamluki tu huyu..aliuza ubunge wa cdm mby vjjni kwa kupokea rushwa kwa kingunge..no-wonder karudi kwa wala rushwa na mafisadi wenzake