Tamko la CHADEMA kuhusu Mabomu ya Gongo la Mboto

Tamko la CHADEMA kuhusu Mabomu ya Gongo la Mboto

sasa hii ni reported speech au ndio tamko lenyewe, mie sijaelewa manake aya zingine unaonekana unatoa taarifa ya alichosema selasini na mwisho naona saini yake!

any way hata hivyo umeeleweka na ujumbe umefika.

poleni waathirika wote na RIP wenzetu mliotangulia mbele ya haki. hakika damu zenu zitaililia nchi hii hadi hapo itakapowatendea haki kwa kjali maisha ya watu. amen

tatizo hawa jamaa wanadhani kila jambo ni la kufanyia siasa hapa tuna msiba afu we unaleta siasa! kakojoe afu ukalale
 
Yaan hii nchi viongozi wote awafai kuanzia rais hadi mkuu wilaya rais kwny mambo muhimu yy kuchekacheka km zuzu,alipoenda kuangalia yangemlipukia yy kwanza acheke vizuri akuna uongozi mbovu kama wa awamu nne,wasipo jiuzuru tuandamane kama misri adi waondoke.
 
Soothing words of concerns but what if they had formed a government, would the people therein also have resigned?Maybe their shadow minister should also resign as a gesture of sincerity to the party and a strong message to CCM!

Secondly Chadema should not use this incident to create an overall ridicule the government as they too could have suffered a similar fate in the given time frame todate.

Demographics plays a part since proximity of the army to secure Dar and its ports for any possible attacks may have lead them to create the base.One must perhaps recall that the base was built before houses and people encroached the area(?)

If indeed the concerns are having a base with ammunitions and bombs, than there remains a dire need to build solid storage facilities..

To the people who lost their loved ones, we offer our prayers and condolences.

Huijui vizuri Tanzania ww? Naona Umeandika politiki tupu, Nyinyi si ndio mnajiita kisiwa cha amani sasa hiyo base mnayorundika masiraha namna hiyo ya nini? Uwajibikaji mmbovu, tuambie riporti ya mabomu ya mbagala inasemaje? kufunika funika mambo tumechoka! watu wanakufa mnaunda tume mpaka ukatike wewe miguu ndio utaelewa kwanini hao viongozi wanatakiwa wawajibike.
 
Lakini hao chadema nao wakiishia kwenye kauli peke yake hakuna litakalotokea. Hata mauaji ya arusha walitoa kauli, tena nzito!!!!

Ndio inabidi wasimamie matamko yao kwa ukamilifu.:clap2:
 
mbona uwajibikaji ni kitu kizuri tuu... hata baba yake mzee Ali Hassan Mwinyi na Augastin Lyatonga Mrema waliwajibika kule Shinyanga wakati mauaji ya wachawi yalipotokea miaka ile ..... taabu hapa ni sisiem kuonekana imeshindwa .... kipindi kile kulikua hamna upinzani
 
Ukisikia viongozi hawana dira ndio hawa ,yaani baada ya kuitisha uchunguzi unakurupuka na kusema nani na nani wajiuzulu,basi huyo msemaji nae ajiuzulu ,wacheni uhuni,yaani unarukia watu wajiuzulu wakati hujui ni nini chanzo cha tukio.

Wandugu mkisikia watu wanajiuzulu huko majuu msifikiri wanakurupuka tu na kuachia ngazi kuna stage mbalimbali hupitwa na ndio kufikia ni nani wa kujiuzulu.

Mi nilifikiri katika taarifa hiyo CDM wamefanya uchunguzi na kugundua chanzo na sababu ni ya wakuu flaniflani ,kumbe hamna kitu ni mazungumzo baada ya habari.
Kwa ufupi tahadharini na habari za mitaani na kuzivalia njuga ,mtakuja kuumbuka baadae,embu wekeni kitengo cha uchunguzi na muwe mnazifanyia uchunguzi habari kabla hamjazitilia ubavu, yaani mkiulizwa suali la papo kwa papo kwa nini hao wajiuzulu sijui mtajibu dudu gani ? Zaidi mtasema ni uzembe ,mkiulizwa uzembe gani mtaanza kutafuna kucha.
WaCDM wacheni hizo karata za magarasa tumieni turufu ,natumai nimeeleweka.

Mwiba acha porojo za kihuni hapa.

Walichosema CHADEMA hapa ni UKWELI tena KWELI TUPU. Hili mhe. Mwiba halihitaji hata chembe ya Uchunguzi. MABOMU YAMELIPUKA KWENYE MAENEO YA MAKAZI YA WANANCHI, UHAI WA WATU ZAIDI 20 UMEPOTOA,NYUMBA,MAKAZI NA MALI ZA WATU ZIMETEKETEA!! HILI SI TUKIO LA KWANZA. MBAGALA MILIPUKO ILITOKEA HAWAHAWA VIHIYO WA CCM WAKAKOMAA KUWA HAWAWEZI KUJIUZULU WAKIWAAHIDI WATANZANIA KUWA MILIPUKO HAITATOKEA TENA.WALIKUWA WANATUDANGANYA WATANZANIA????

KWA HIYO NHE. Mwiba safari hii hakuna cha MSALIE MTUME LAZIMA WANG'OKE.ENZI ZA KUWAHADAA WANANCHI UMESHAPITA.Historia inatufundisha kuwa viongozi wanaojiuzulu kwa kuwajibika mara nyingi wanajijengea heshima katika jamii. Mfano hai ni ALLI HASSAN MWINYI,Rais mstaafu wa Awamu ya 2 ambaye alijiuzulu miaka ya 70 alipokuwa Waziri wa Mambo ya Ndani enzi za Mwalimu baada ya UZEMBE ULIOSABABISHWA NA POLISI KUWAUA MAHABUSU WALIOTUHUMIWA KUWA WACHAWI NA WAGANGA WA KIENYEJI. Haikuhitajika uchunguzi wowote wala Mwinyi hakusubiri tukio kama hilo lijirudie ndipo ajiuzulu. ALIJIUZULU ON THE SPOT. Hii ilimjengea HESHIMA MZEE MWINYI ambaye baadaye alikuja kuwa Rais wa Zanzibar na hatimaye Rais wa JMT awamu ya 2. Kwa hiyo DR. MWINYI TUNATAKA AFUATE NYAYO ZA BABAKE.

Full list ya wanaotakiwa kujiuzulu ni kama ifuatavyo:

  1. AMIRI JESHI MKUU wa kwanza kuachia ngazi. Kama Amiri Jeshi ameshindwa kusimamia majeshi yake .- JK ambaye by Profession ni soldier awe
  2. DR.ALI MWINYI-Waziri wa Ulinzi, kwa kushindwa kuthibiti na kumaliza tatizo hili baada ya milipuko ya Mbagala na kwa kuwadanganya Watanzania.
  3. MWAMUNYANGE-Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi, kwa kushindwa kuthibiti na kumaliza tatizo hili baada ya milipuko ya Mbagala na kwa kuwadanganya Watanzania.
 
chadema walishatuonya wakati wa kampeni kuwa kuichagua ccm ni kuleta maafa katika nchi hii,sasa nimeelewa maana ya kauli ile. Maafa kama haya ya kizembe yataendelea kutokea siku hadi siku (nasi tutabaki kusema mungu aepushilie mbali) kwa vile hakuna wa kumwajibisha mwenzie ndani ya serikali hii. Wale wabunge wa chama kinachowakilisha watanzania kila wakisema yaliyo ya msingi wanaishia kuzomewa na hao wabunge maslahi.

nimeipenda hiyo, "wabunge maslahi"
 
Mwinyi na Mwamnyange jiuzuruni hakuna namna mnaweza kuepula lawama la hili tukio!sio vizuri kusubili kuondolewa kwa nguvu ya umma,ni vema kuondoka mapema.Ili kuepuka nguvu ya umma na kujivunjia heshima zenu!!
 
Inauma sana kila habari za uko zinapokuja masikioni mwetu....sasa hivi kuna habari kuwa katika hospitali zenye majeruhi kuna upungufu mkubwa wa damu hasa group O....Eee Mungu tuangalie waangalie waja wako wanaoteseka na kusaga meno
 
Nikiongea nitarudia ya kwako!uko sawa MKUU,humu propaganda tu mpaka Blog nzima ya JF imegeuka CHADEMA.Acheni porojo za U-CCM na U-CHADEMA tunaumizwa sana na kufariki/kujeruiwa kwa wenzetu tunaomba serikali ikabiliane na yaliyojiri kisha tujadili kulingana na uchunguzi wa tukio.Hapa watakaobainika kama ni uzembe wa JWTZ ama GVT ni wakati wa kuchukua hatua.

Utawajua tu wanafunzi wa 'chuo' ...
 
Nikiongea nitarudia ya kwako!uko sawa MKUU,humu propaganda tu mpaka Blog nzima ya JF imegeuka CHADEMA.Acheni porojo za U-CCM na U-CHADEMA tunaumizwa sana na kufariki/kujeruiwa kwa wenzetu tunaomba serikali ikabiliane na yaliyojiri kisha tujadili kulingana na uchunguzi wa tukio.Hapa watakaobainika kama ni uzembe wa JWTZ ama GVT ni wakati wa kuchukua hatua.

Weka Chadema pembeni, mimi ninataka kushiriki nguvu ya umma kuiondoa hii serikali madarakani. Kwa kuwa Chadema ndicho chama ambacho tunaamini kwamba hakijaolewa na ccm basi tunawaomba waraturatibu. Hiyo siyo siasa, ni maisha yangu
 
kikwete ni juha na hafai kuwa kiongozi........habari za ndani kabisa zinasema alipewa taarifa hizi ili asaini na hayo makombora yaharibiwe wiki moja imepita kabisa....badala yake hajasaini n matokeo ndio hayo.........

mi nawashauri ndugu zangu tujikusanye ili aondoke huyu mpuuzi hatufai kwa nafasi hiyo
 
Yaani rais wetu fara sana tena choko yeye na mawaziri wake wote,analeta siasa kwny maisha ya watu,jamani huu ni uzembe tuandamane jamani tuwatoe.....mambo aya hadi lini.
 
Inauma sana kila habari za uko zinapokuja masikioni mwetu....sasa hivi kuna habari kuwa katika hospitali zenye majeruhi kuna upungufu mkubwa wa damu hasa group O....Eee Mungu tuangalie waangalie waja wako wanaoteseka na kusaga meno

halafu mtu anasema eti kuitisha watu wajiuzulu ni siasa? pumbafu zao
 
Wanasiasa wengine ni wapumbavu! yes I said it, ni wapumbavu! Unaleta siaisa zako kwenye msiba?? Huna hata plans za kuwasaidia victims ila unaplans za kuunda tume! Disappointed disappointed disappointed!! Wanasiasa sometimes gotta think right, this now? Can not even wait for at least three days?

Please let us think of Humanitarian aid we could give first!
 
Mimi namwomba Mwinyi Sr (Mzee wa rukhsa) amshauri kijana wake aachie ngazi. Amwambie kuwa asiwe na wasi wasi kwa kufanya hivyo CV itapanda, na uwezekano wa kuukwaa u-rais angalau wa Zanzibar unaweza kuwa mkubwa. Mfano ukiwa yeye mwenyewe.

Pengine familia yao wameandikiwa kuwajibika kwanza kwa makosa ya walio chini yao ndipo ukubwa unakuja.
 
Wanasiasa wengine ni wapumbavu! yes I said it, ni wapumbavu! Unaleta siaisa zako kwenye msiba?? Huna hata plans za kuwasaidia victims ila unaplans za kuunda tume! Disappointed disappointed disappointed!! Wanasiasa sometimes gotta think right, this now? Can not even wait for at least three days?

Please let us think of Humanitarian aid we could give first!

Any criteria for three days? Zile tulichanga kwa watu wa Mbagala na Kilosa mkala sasa mnataka zingine, tutawachangia na kuwakabidhi wenyewe. Tayari mmeshachonga dili ee?
 
Any criteria for three days? Zile tulichanga kwa watu wa Mbagala na Kilosa mkala sasa mnataka zingine, tutawachangia na kuwakabidhi wenyewe. Tayari mmeshachonga dili ee?

Read my signature and see what it means!
 
Mwiba, hujaelewa soma ukielewa edit mawazo yako.
Kiukweli Waziri ni yule yule Mkuu wa ulinzi ni yule pia waliahidi mabomu kama Mbagala hayata tokea tena ila yametokea kwa nini wasiwajibishwe?
Inamaana hawakujifunza kitu kutokana Mabomu yaliyolipuka Gongo la Mboto baadae mbagala na leo tena Gongo la mboto?
Kujihuzuru ni haki yao ya msingi lazima waipate.
 
halafu mtu anasema eti kuitisha watu wajiuzulu ni siasa? pumbafu zao
Mkuu hata Tunisia na Egypti kulikuwa na vibaraka wa mafisadi na serikali kama hawa,lakini mwisho wa siku
walishindwa pa kuzipeleka sura zao na wote wameingia mitini. Historia itawahukumu tu
 
Back
Top Bottom