Tamko la CHADEMA kuhusu Mabomu ya Gongo la Mboto

Ukisikia viongozi hawana dira ndio hawa ,yaani baada ya kuitisha uchunguzi unakurupuka na kusema nani na nani wajiuzulu,basi huyo msemaji nae ajiuzulu ,wacheni uhuni,yaani unarukia watu wajiuzulu wakati hujui ni nini chanzo cha tukio.

Wandugu mkisikia watu wanajiuzulu huko majuu msifikiri wanakurupuka tu na kuachia ngazi kuna stage mbalimbali hupitwa na ndio kufikia ni nani wa kujiuzulu.

Mi nilifikiri katika taarifa hiyo CDM wamefanya uchunguzi na kugundua chanzo na sababu ni ya wakuu flaniflani ,kumbe hamna kitu ni mazungumzo baada ya habari.
Kwa ufupi tahadharini na habari za mitaani na kuzivalia njuga ,mtakuja kuumbuka baadae,embu wekeni kitengo cha uchunguzi na muwe mnazifanyia uchunguzi habari kabla hamjazitilia ubavu, yaani mkiulizwa suali la papo kwa papo kwa nini hao wajiuzulu sijui mtajibu dudu gani ? Zaidi mtasema ni uzembe ,mkiulizwa uzembe gani mtaanza kutafuna kucha.
WaCDM wacheni hizo karata za magarasa tumieni turufu ,natumai nimeeleweka.

:msela:We nae sisiem nini...mbona unawastetea sana. acha uhuni na wewe..walivoona ya mbagala kwanini hawaku-take precaution? huu ni uzembe wa waziwazi...wajiuzulu tu....wanakalia viti ambavyo hawaviwezi.....
 
Pili kumfukuza mtu wakati hatujajua kosa sio sahihi ninavyoona mie. Kuna mtu amesema ni uwajibikaji lakini uwajibika wakati hujajua kama kuna makosa au uzembe umefanyika ni sahihi?. Hatujajua nini kimetokea mbagala tunakimbilia kuwaambia jamaa wajiuzulu niwaulize wajiuzulu kwa lipi??? Pia ikija ikagundulika akina Dr Hussein Mwinyi walifanya kazi yao ila ukata umesababisha hizo solution kutekelezeka mtasemaje? Au pengine zilitekelezwa but kuna watu wanafanya hujuma kuleta hofu nchini mtasemaje?? Bado sikubaliani nanyi kwa hilo I am very sorry.
Hivi unakumbuka kuna ndege za kivita ilianguka wakati wa mazoezi/maonyesho sikumbuki nchi na kuua rai, then mkuu wao akajiuzulu?
hii ndo inaitwa political responsibility kama kitu kinatokea chini yako na umeshindwa kusimamia jiuzulu tu!!
 
Huna hasira ww ni mnafiki tena ww ndio ungekuwa wa kwanza kufa hujui nn maana viongozi wahusika kujiuzuli maana yake ni kupisha uchunguzi huru acha upumbavu ww watanzania hawaburuzwi sasa hivi
 
We unayejiita mwiba haujapata tatizo au ndugu yako hajakumbwa na tatizo kumbuka kutenda kosa si kosa ila kurudia kosa ni kosa hivi hii serikali tushaiachia mambo mangapi wayafanyie uchunguzi na mpaka leo hakuna kinachoendelea?acha bana watu wamekufa lazima viongozi wawajibike hakuna kupisha uchunguzi badala yake huwa wanajiuzulu na kupisha uchunguzi ikibainika hawajahusika wanaweza fikiriwa kurudia nafasi zao.
 
Soothing words of concerns but what if they had formed a government, would the people therein also have resigned?Maybe their shadow minister should also resign as a gesture of sincerity to the party and a strong message to CCM!

Secondly Chadema should not use this incident to create an overall ridicule the government as they too could have suffered a similar fate in the given time frame todate.

Demographics plays a part since proximity of the army to secure Dar and its ports for any possible attacks may have lead them to create the base.One must perhaps recall that the base was built before houses and people encroached the area(?)

If indeed the concerns are having a base with ammunitions and bombs, than there remains a dire need to build solid storage facilities..

To the people who lost their loved ones, we offer our prayers and condolences.
 
Henge,

Mkuu mie sikatai ila kwanza tujue chanzo nini maana kuna maeneo mengi, Upanga, Kigamboni, Lugalo, Kawe, Kunduchi, na kwengineko sasa tuambiwe chanzo nini au kama vp wahamishe makambi yao kwenda huko mbali na makazi ya watu. Kukimbilia kuwaambia mawaziri wastaafu sio sahihi mkuu kwani kama hakuhusika kwanini ajiuzulu, ila kama amehusika then ni sahihi na yeye ajiuzulu. Kwasasa hivi tunataka kwanza an emergency plan watu wamepoteza baba zao na mama zao huku, watu wamepoteza watoto wao, nyumba, biashara, marafiki, wangelichukua pesa wanazogawana bungeni kuwasaidia hawa jamaa kwanza kuwapoza hasira. Then ikaanza utafiti wa nini chanzo na kutafuta solution ya moja kwa moja. Sio kukimbilia kufukuza watu kama mapunda wakati chanzo hujakijua wakikuambia kuwa mhusika ndio yule uliyemfukuza utasemaje???

Mdondoaji, simple analysis-kama uliwahi kufikishwa mahkamani kwa kosa la wizi na ulikiri kisha kuachiwa kwa shart la kutorudia tena kuiba, then ikithibitika kwamba umeiba tena je mahkama ina haja ya kuuliza sababu/chanzo cha kuiba kwako? Firing tu!
 
Ukisikia viongozi hawana dira ndio hawa ,yaani baada ya kuitisha uchunguzi unakurupuka na kusema nani na nani wajiuzulu,basi huyo msemaji nae ajiuzulu ,wacheni uhuni,yaani unarukia watu wajiuzulu wakati hujui ni nini chanzo cha tukio.

Wandugu mkisikia watu wanajiuzulu huko majuu msifikiri wanakurupuka tu na kuachia ngazi kuna stage mbalimbali hupitwa na ndio kufikia ni nani wa kujiuzulu.

Mi nilifikiri katika taarifa hiyo CDM wamefanya uchunguzi na kugundua chanzo na sababu ni ya wakuu flaniflani ,kumbe hamna kitu ni mazungumzo baada ya habari.
Kwa ufupi tahadharini na habari za mitaani na kuzivalia njuga ,mtakuja kuumbuka baadae,embu wekeni kitengo cha uchunguzi na muwe mnazifanyia uchunguzi habari kabla hamjazitilia ubavu, yaani mkiulizwa suali la papo kwa papo kwa nini hao wajiuzulu sijui mtajibu dudu gani ? Zaidi mtasema ni uzembe ,mkiulizwa uzembe gani mtaanza kutafuna kucha.
WaCDM wacheni hizo karata za magarasa tumieni turufu ,natumai nimeeleweka.

Nikiongea nitarudia ya kwako!uko sawa MKUU,humu propaganda tu mpaka Blog nzima ya JF imegeuka CHADEMA.Acheni porojo za U-CCM na U-CHADEMA tunaumizwa sana na kufariki/kujeruiwa kwa wenzetu tunaomba serikali ikabiliane na yaliyojiri kisha tujadili kulingana na uchunguzi wa tukio.Hapa watakaobainika kama ni uzembe wa JWTZ ama GVT ni wakati wa kuchukua hatua.
 
subutu..yaani uzembe ufanywe na kina shimbo, mwamu na dr mwinyi mie nkachangie? kwanza waseme shilingi 411 wanayokata kwa kodi kila lita ya fuel inakwenda wapi......

wajiuzulu kwanza ndio sie tukachangie...mashetani wakubwa hawa!
 
Henge,

Mkuu mie sikatai ila kwanza tujue chanzo nini maana kuna maeneo mengi, Upanga, Kigamboni, Lugalo, Kawe, Kunduchi, na kwengineko sasa tuambiwe chanzo nini au kama vp wahamishe makambi yao kwenda huko mbali na makazi ya watu. Kukimbilia kuwaambia mawaziri wastaafu sio sahihi mkuu kwani kama hakuhusika kwanini ajiuzulu, ila kama amehusika then ni sahihi na yeye ajiuzulu. Kwasasa hivi tunataka kwanza an emergency plan watu wamepoteza baba zao na mama zao huku, watu wamepoteza watoto wao, nyumba, biashara, marafiki, wangelichukua pesa wanazogawana bungeni kuwasaidia hawa jamaa kwanza kuwapoza hasira. Then ikaanza utafiti wa nini chanzo na kutafuta solution ya moja kwa moja. Sio kukimbilia kufukuza watu kama mapunda wakati chanzo hujakijua wakikuambia kuwa mhusika ndio yule uliyemfukuza utasemaje???

umekaa kinafiki zaidi

huwezi kufanya uchunguzi ulio huru na haki wakati waziri wa Ulinzi na KJT na mkuu wa majeshi ndiyo watuhumiwa wa kwanza wa milipuko hiyo iliyotokea katika kambi ya jeshi .... linapotokea janga au maafa kujiuzulu kwa kutekeleza responsibility/accountability ndiyo cost ya kuwa kiongozi bora sio lazima uchunguzi ufanyike kwanza .... anyways i know why you commented specifically on this thread.., without hitting around the bush i smell smoke and you belong to KAFU.....
 
Tunasubiri kwa hamu tamko la kujiuzulu kwa waziri wa ulinzi. Huo ndio uwajibikaji wenyewe.
 
Ukisikia viongozi hawana dira ndio hawa ,yaani baada ya kuitisha uchunguzi unakurupuka na kusema nani na nani wajiuzulu,basi huyo msemaji nae ajiuzulu ,wacheni uhuni,yaani unarukia watu wajiuzulu wakati hujui ni nini chanzo cha tukio.

Wandugu mkisikia watu wanajiuzulu huko majuu msifikiri wanakurupuka tu na kuachia ngazi kuna stage mbalimbali hupitwa na ndio kufikia ni nani wa kujiuzulu.

Mi nilifikiri katika taarifa hiyo CDM wamefanya uchunguzi na kugundua chanzo na sababu ni ya wakuu flaniflani ,kumbe hamna kitu ni mazungumzo baada ya habari.
Kwa ufupi tahadharini na habari za mitaani na kuzivalia njuga ,mtakuja kuumbuka baadae,embu wekeni kitengo cha uchunguzi na muwe mnazifanyia uchunguzi habari kabla hamjazitilia ubavu, yaani mkiulizwa suali la papo kwa papo kwa nini hao wajiuzulu sijui mtajibu dudu gani ? Zaidi mtasema ni uzembe ,mkiulizwa uzembe gani mtaanza kutafuna kucha.
WaCDM wacheni hizo karata za magarasa tumieni turufu ,natumai nimeeleweka.

Mimi nimekuelewa vizuri, umeandika pumba tu hapa. Watu wameshakufa kwa milipuko ya mabomu kwenye kambi za jeshi. Jeshi liko chini ya waziri wa ulinzi na jeshi la kujenga Taifa pamoja na Mkuu wa majeshi ya Ulinzi na Kujenga Taifa. Na hii ni mara ya pili janga kama hili limetokea chini ya watu hawa hawa, mara ya kwanza walisema haitatokea tena, sasa limitokea. Hii ina maana baada ya tukio la kwanza hawakuchukua hatua na kama walichukua hazikuwa hatua sahihi. Hivyo basi wameshindwa kazi. Wewe unatarajia nini zaidi kama sio wao kuwajibika au kuwajibishwa.
 
Eee waunde tume huru siyo kuendelea kulindana, na wajiuzulu mara moja wasijifanye ndo wako busy wanashuhulikia tatizo. Waachie wengine wafanye hiyo kazi

Ni kweli kuanda tume ni kupoteza fedha za walipa kodi na namna ya kulindana tu kinachotakiwa ni kujiuzulu kwa Amiri Jeshi mkuu (Jakaya Kikwete), Waziri wa ulinzi (Dr. Hussein Mwinyi), Mkuu wa Majeshi (General D. Mwamunyange) na mnadhimu mkuu wa JWTZ (Kishimbo aka mwanasiasa fisadi). Kama hawataki kujiuzulu, tuwaondoe tu kwa nguvu ya umma!!
 
subutu..yaani uzembe ufanywe na kina shimbo, mwamu na dr mwinyi mie nkachangie? kwanza waseme shilingi 411 wanayokata kwa kodi kila lita ya fuel inakwenda wapi......

wajiuzulu kwanza ndio sie tukachangie...mashetani wakubwa hawa!

Eti mkuu, kodi zetu watafune halafu majanga yakitokea watuambie tuchangie. Watu tulichangia maafa ya mbagala wakala na wahanga wakadhulumiwa hadi leo. Mafuriko ya Kilosa watu walijitajirisha na wahanga wakabaki wanahangaika

Hata kama ni kuchanga pesa hizo na misaada zisiratibiwe na serikali kwa sababu ni wezi. Sasa hivi wanajipanga tayari wanashukuru mungu dili lingine limekuja. Hivi bado Lukuvi ndiye mkuu wa mkoa wa Dar?
 
Hivi nchi hii inanini? mbona matatizo hayaheshi? leo hili kesho lile.
Yaani matukio ya kurudisha nyuma Taifa letu yaongezeka kila kukicha utasema
tumelogwa au tunalaana vile. Husein mwinyi na mwamunyange mnangoja nini?
Hivi mnaona raha gani kukaria hivyo viti vyenu wakati makumi ya raia wenu wamekufa?
mujifunze kuajibika jamani! lol!
 
Tunategemea kuona hao waliotajwa wanawajibika/wajibishwa na pia isitumike siasa katika jambo hili, maisha ya Binadamu ni kitu cha thamani kubwa sana! tutashangaa kuwaona wakiwa kimya na Boss wao akiendelea kulifumbia macho hili kama lile la Mbagala!
Mapambano bado safari ni ndefu!!

PEOPLES POWER!!!!!!!!!!!11
 
soothing words of concerns but what if they had formed a government, would the people therein also have resigned?maybe their shadow minister should also resign as a gesture of sincerity to the party and a strong message to ccm!

secondly chadema should not use this incident to create an overall ridicule the government as they too could have suffered a similar fate in the given time frame todate.

demographics plays a part since proximity of the army to secure dar and its ports for any possible attacks may have lead them to create the base.one must perhaps recall that the base was built before houses and people encroached the area(?)

if indeed the concerns are having a base with ammunitions and bombs, than there remains a dire need to build solid storage facilities..

To the people who lost their loved ones, we offer our prayers and condolences.
mnashindwa hata kuwatetea mafisadi na wauaji hawa!
 
Back
Top Bottom