.... ndugu Dennis Msacky ni rafiki yangu wa karibu sana. Ninaamini kabisa kwamba katika suala hili Dennis Msacky ni victim......
Hofu yangu kubwa ni kwamba isijekuwa kiongozi wa CHADEMA anayetajwa kila siku na Mwigulu Nchemba kwamba yupo tayari kutoa ushahidi mahakamani ukawa ni wewe! Haiwezekani Msacky ashiriki kwenye propaganda hii ya kukiua chama halafu wewe usijue? Msacky alikuwa ana agenda gani na Ludovick? Sisi tunasubiri kiongozi wa CHADEMA ambaye Mwigulu atakwenda naye mahakamani. Kama utakuwa wewe, basi tutathibitisha kwa dhati kabisa kwamba wewe si mwenzetu.Ndugu zangu wana JF
Namba hiyo iliyotajwa hapo juu imewahi kuwa namba yangu ya Simu. Namba hii nimeacha kuitumia toka mwezi Juni/Julai mwaka 2012. Hata hivyo namba hii bado inaonekana kwenye businesscard yangu na kwenye email zangu sehemu ya anuani. Namba hii haijawahi kuwa ya Zoka. Imewahi kuwa ya Zitto Zuberi Kabwe peke yake. Namba hii haitumiki toka katikati ya mwaka 2012.
Kama JF inataka kuthibitisha hili waunde jopo la wanaJF watakaopata taarifa za namba hii popote wanapoweza kupata.
Mambo 2, ama namba hii imewekwa kwa bahati mbaya kwenye tamko tajwa au imewekwa makusudi kwa sababu maalumu zenye lengo la kutoa ujumbe fulani kwa watu.
Kwa namna namba hii ilivyochomekwa kwenye tamko hili au hapa JF au vyote kwa pamoja, ni dhahiri kuna juhudi za kunihusisha na upuuzi huu wa ugaidi na unyama dhidi ya binaadamu.
Napenda kusisitiza kwamba, sihusiki kwa namna yeyote ile katika kuwaza, kupanga au kutekeleza mipango yeyote ya kudhuru mtu ama kwa njia za kigaidi au za kijinai. Sihusiki kwa namna yeyote ile kupanga mpango wowote ule wenye lengo la kuhusisha chama changu na vitendo vyovyote vya kigaidi au kudhuru mtu yeyote yule. Juhudi zozote zinazofanywa na maadui wa chama changu za kunihusisha na mambo haya zitashindwa kwani siku zote ukweli huwa bayana.
Napenda kuweka wazi kwamba Mhariri wa Mwananchi ndugu Dennis Msacky ni rafiki yangu wa karibu sana. Ninaamini kabisa kwamba katika suala hili Dennis Msacky ni victim. Juhudi zozote zile za kutaka kumgeuza 'victim' kuwa mtuhumiwa lazima zitashindwa tu kwani siku zote HAKI hutamalaki.
Mtu yeyote anayetaka kutumia urafiki wangu na Dennis Msacky kutaka kujifurahisha kisiasa ajue kuwa furaha yake hiyo itakuwa ni ya muda mfupi sana maana ukweli ukidhihiri atapata aibu kubwa sana.
Ni muhimu sasa mambo haya tuiachie mahakama itende haki.
Jamani hivi mtu unaponunua simu unapangiwa mtu wa kuwasiliana naye?. Usalama wa taifa ni watu kama watu wengine. Wana ndugu na marafiki wa kila namna, kwani hawaruhusiwi kuwasiliana na ndugu/marafiki zao?.
Mawasiliano ya simu kati ya waliotajwa hapo juu kwangu mimi sioni tatizo, bali itakuwa tatizo kama yakipatikana maneno yalikuwa yanasemwa kwenye hayo mawasiliano na kama yatakuwa yanahusika na huo ugaidi unaosemwa.
La mwisho naomba tuelewe kwamba siasa si uhasama bali ni kuwa na mtizamo tofauti wa kiitikadi. Ni sawa na upenzi wa timu za mpira wa miguu, mimi nikipenda Yanga na mke wangu akipenda Simba bado tutaishi pamoja ila utani ndani ya nyumba utakuwepo na hasa siku za mechi. Mwigulu Nchemba kuwasiliana na Joseph Ludovick bado si tatizo kwani inawezekana ni marafiki na tofauti za kiitikadi haziwezi kuwatenganisha. Jamani ebu tusione uvivu kufikiria, hivi ina maana Mbowe hana namba ya simu ya Kikwete?, je hawezi kuwasiliana na Kikwete kama anataka kufanya hivyo?. Mimi na Baba yangu tuna itikadi tofauti za kisiasa, je ni vibaya kwa mimi kuwasiliana na Baba yangu?.
Sipendi Chama chochote cha siasa ama genge lolote liendeshe ugaidi, ila ninachosema ni kwamba mawasiliano ya simu yaliyokuwepo si kigezo kwamba CCM na serikali yake inafanya ugaidi. Kwa umakini zaidi kinatakiwa kilichokuwa kinasemwa katika mawasiliano hayo.
Habari za usiku wanabodi.
Mimi natoa yaliyo moyoni kwa mawazo yangu HURU.
Mimi DONYONGIJAPE, mzawa wa SIMANJIRO, naamini kabisa kwamba mtu mbaya kwa CHADEMA ni LWAKATARE. Inaonekana kabisa amefanya lile Tukio akijua kabisa anarekodiwa, na ndio maana akaongea hayo aliyoongea eili kuiharibia CHADEMA. NDIYO, ana uwezo huo, tena inaonekana alijipanga kabisa kuongea hayo yeye na huyo Ludovick. Ndio maana walikuwa wakipeana leading Questions.
Ninachokiona ni kwamba, Bw. Lwakatare amekula njama na Mwigulu, Ludo, Zoka, Zitto etc ili waichafue CHADEMA. Huyu siyo mtu wa kutetea kabisa katika sakata hili. Ni mtu aliyekuwa anafanya kile anachojua na ni MSALITI.
CHADEMA isipoteze nguvu na MUDA kumtetea huyu MSALITI, kwa maana mwisho wa siku ATAKIRI na CHADEMA itashindwa kesi kwa KISHINDO na NDIO itakuwa MWISHO WAKE.
Mwigulu amewaambia msitafute mchawi, hamjamsikia kumbe
Ni ujinga ku quote habari yote halafu unaandika sentensi moja tu, wewe wa wapi?
Ndugu zangu wana JF
Namba hiyo iliyotajwa hapo juu imewahi kuwa namba yangu ya Simu. Namba hii nimeacha kuitumia toka mwezi Juni/Julai mwaka 2012. Hata hivyo namba hii bado inaonekana kwenye businesscard yangu na kwenye email zangu sehemu ya anuani. Namba hii haijawahi kuwa ya Zoka. Imewahi kuwa ya Zitto Zuberi Kabwe peke yake. Namba hii haitumiki toka katikati ya mwaka 2012.
Kama JF inataka kuthibitisha hili waunde jopo la wanaJF watakaopata taarifa za namba hii popote wanapoweza kupata.
Mambo 2, ama namba hii imewekwa kwa bahati mbaya kwenye tamko tajwa au imewekwa makusudi kwa sababu maalumu zenye lengo la kutoa ujumbe fulani kwa watu.
Kwa namna namba hii ilivyochomekwa kwenye tamko hili au hapa JF au vyote kwa pamoja, ni dhahiri kuna juhudi za kunihusisha na upuuzi huu wa ugaidi na unyama dhidi ya binaadamu.
Napenda kusisitiza kwamba, sihusiki kwa namna yeyote ile katika kuwaza, kupanga au kutekeleza mipango yeyote ya kudhuru mtu ama kwa njia za kigaidi au za kijinai. Sihusiki kwa namna yeyote ile kupanga mpango wowote ule wenye lengo la kuhusisha chama changu na vitendo vyovyote vya kigaidi au kudhuru mtu yeyote yule. Juhudi zozote zinazofanywa na maadui wa chama changu za kunihusisha na mambo haya zitashindwa kwani siku zote ukweli huwa bayana.
Napenda kuweka wazi kwamba Mhariri wa Mwananchi ndugu Dennis Msacky ni rafiki yangu wa karibu sana. Ninaamini kabisa kwamba katika suala hili Dennis Msacky ni victim. Juhudi zozote zile za kutaka kumgeuza 'victim' kuwa mtuhumiwa lazima zitashindwa tu kwani siku zote HAKI hutamalaki.
Mtu yeyote anayetaka kutumia urafiki wangu na Dennis Msacky kutaka kujifurahisha kisiasa ajue kuwa furaha yake hiyo itakuwa ni ya muda mfupi sana maana ukweli ukidhihiri atapata aibu kubwa sana.
Ni muhimu sasa mambo haya tuiachie mahakama itende haki.
Comment moja ilitosha kuonyesha msimamo wako,unavyoendelea kuandika unaleta picha dhahiri mlivyo uchi baada ya tamko
sasa subiri mvua ya matusi kutoka kwa vijana wa kinondoni mtaa wa manhattan karibu na pale makaburini
Mkuu Nyakageni, pole sana, na wengine wote mnaokereka na "bonafide genuine" pia poleni sana ila huu ndio ukweli halisi!, huu ni ukweli mchungu ambao piga ua galagaza, lazima muumeze!.ulinikera sana na 'bonafide genuine'
mbowe na slaa ndo madereva katika hili na lazima wajumuishwe ndo maana wanahaha kila kukicha kuibua sinema mbalimbali kwa lengo la kupotosha ila wasipohonga mahakamani hawatoki ila kwa vile kunazile hela walizopewa na wadernmark watazipeleka zote kuhonga mahakama ili wapendelewe make ndo zao kuhonga.
Hapa Marando kawatega UwT na nadhani hii kesi itaishia kufutwa maana mawasiliano ya maafisa usalama hayawezi kuwekwa hadharani. Kawakamata vizuri sana. Hii ni kesi ya kisiasa, lazima iende kisiasa!Nitoeni haya mashaka niliyo nayo; Je, mahakama haiwezi kukataa ombi la Chadema kutaka kutoa kibali cha makampuni ya simu kutoa taarifa za Namba hzo za simu? Ikiwa mahakama itaridhia ombi la Chadema, je haya makampuni ya simu hayawezi kurubuniwa na kuchakachua hizo taarifa za namba za simu za hao wahusika 10? Please naomba nijuzwe kuhusu hayo maswali yangu!
Hofu yangu kubwa ni kwamba isijekuwa kiongozi wa CHADEMA anayetajwa kila siku na Mwigulu Nchemba kwamba yupo tayari kutoa ushahidi mahakamani ukawa ni wewe! Haiwezekani Msacky ashiriki kwenye propaganda hii ya kukiua chama halafu wewe usijue? Msacky alikuwa ana agenda gani na Ludovick? Tulia ndugu yangu.