jiwe angavu
JF-Expert Member
- Aug 28, 2015
- 22,589
- 43,671
Tarehe 15 mwezi huu.Hv nacte wamefungua dirisha la maombi wadau!!???
#MaendeleoHayanaChama
Sent using Jamii Forums mobile app
Tarehe 15 mwezi huu.Hv nacte wamefungua dirisha la maombi wadau!!???
Hii inahusiana nanii mkuuu tupe maelekezo
Kwl mkuu hapa ni upigaji tu wa helaSerikali kuiubganisha Nacte na veta Kam part moja kweny kuprocess wanafunzi ni maamuzi suddenly kukurupuka
😃😃😃Tuendelee kunywa supu nyama tutazikuta chiniKwl mkuu hapa ni upigaji tu wa hela
Tangu jana nashangaa Nacte haifungukiLeo tar 15 lakn nacte haifunguki mdau mwenye link ya nactevet atusaidie.
Bro, kuna mdogo wangu namuangalizia. Yeye amepangiwa shule ya boarding huko Kigoma ila inaonyesha ni college yani shule ni boarding ila wameandika ni college. Halafu ukiingia kwenye hiyo shule hakuna jina lake kuonyesha anatakiwa kuwepo huko shule ila kwenye mfumo wa tamisemi jina lipo ila imeandikwa ni college
Leta jina la dogo, shule, wilaya na mkoa nilifanyie kazi hapa chap alafu nikupe jibuBro, kuna mdogo wangu namuangalizia. Yeye amepangiwa shule ya boarding huko Kigoma ila inaonyesha ni college yani shule ni boarding ila wameandika ni college. Halafu ukiingia kwenye hiyo shule hakuna jina lake kuonyesha anatakiwa kuwepo huko shule ila kwenye mfumo wa tamisemi jina lipo ila imeandikwa ni college
Mimi bintiangu anataka kubadili Combi mkuu kutoka HGK kwenda CBG lkn shule hyo hyoLeta jina la dogo, shule, wilaya na mkoa nilifanyie kazi hapa chap alafu nikupe jibu
Hii ni rahisi sana mkuu, siku utakapo mpeleka kuripoti ongea na mkuu wa shule (ongea nae vizuri)Mimi bintiangu anataka kubadili Combi mkuu kutoka HGK kwenda CBG lkn shule hyo hyo
sawa mkuuHii ni rahisi sana mkuu, siku utakapo mpeleka kuripoti ongea na mkuu wa shule (ongea nae vizuri)
Sijui ni kw nn lkn Leo ndo dirisha limefunguliwaTangu jana nashangaa Nacte haifunguki
Fatna Ayubu abasiLeta jina la dogo, shule, wilaya na mkoa nilifanyie kazi hapa chap alafu nikupe jibu
Mkuu naomba kuuliza pia kama nataka kubadilisha combination na shule hiyo inakuwaje,naomba nisaidie sana mkuuHii ni rahisi sana mkuu, siku utakapo mpeleka kuripoti ongea na mkuu wa shule (ongea nae vizuri)
Hili lipo ndani ya mkuu wa chule na academicMkuu naomba kuuliza pia kama nataka kubadilisha combination na shule hiyo inakuwaje,naomba nisaidie sana mkuu
Hili lipo ndani ya mkuu wa chule na academic