Nisaidie kujua status ya huyu candidateHabari wakuu,Kama unamwanao hajachaguliwa chuo au advance usiwaze sana jibu ni nactevet .fanya maombi ya kupitia nactevet naamini atapata kozi nzuri aliyohitaji ,dirisha linafunguliwa keshokutwa trh15
Mkuu, hapa naona kama tena unawachanganya wazazi/walezi.Habari wakuu,Kama unamwanao hajachaguliwa chuo au advance usiwaze sana jibu ni nactevet .fanya maombi ya kupitia nactevet naamini atapata kozi nzuri aliyohitaji ,dirisha linafunguliwa keshokutwa trh15
Lete jina la mtoto, shule, mkoa na wilaya nikuangalizie chapNisaidie kujua status ya huyu candidate
View attachment 2222482
kwangu hizo nafasi candidate name, sex age hazijaziki.. nimejaribu ku search kwa namba pekeake imegoma
Lete jina lake ,shule,wilaya na mkoaNisaidie kujua status ya huyu candidate
View attachment 2222482
kwangu hizo nafasi candidate name, sex age hazijaziki.. nimejaribu ku search kwa namba pekeake imegoma
Ni sawa lkn mi naongelea wale ambao hawajapangiwa chuo Wala advanceMkuu, hapa naona kama tena unawachanganya wazazi/walezi.
Hiyo nactevet unafanya maombi kwa kupitia wapi..??
Maana mie hapa kesho nafunga safari to Tamisemi, nataka nikafanye utaratibu wa mwanangu mmoja kuhamishwa kutoka chuo cha ualimu ili aende kwenye fani nyingine.
Lete jina lake ,shule,wilaya na mkoa
Zabron Bwiyere ChachaLete jina la mtoto, shule, mkoa na wilaya nikuangalizie chap
Angalia jina lake chini mwisho kabisa hapoZabron Bwiyere Chacha
mkoa wa Mara
wilaya serengeti
Manchira secondary school
Sawa mkuu, hao inakuaje ili kupata??Ni sawa lkn mi naongelea wale ambao hawajapangiwa chuo Wala advance
Sina uhakika shida nini, lakini nahisi yaweza kua aina ya browser unayo tumia kuingia ama network kwa mahala ulipo ama link unayo tumia kufungua.Nashukuru sana mkuu wangu.
naomba kujua kwanini kwangu inafeli kuleta taarifa jamili?
natumia google chrome.Sina uhakika shida nini, lakini nahisi yaweza kua aina ya browser unayo tumia kuingia ama network kwa mahala ulipo ama link unayo tumia kufungua.
Hapa ni mfano unaweza kuta mwanafunzi ana division 4 kakosa kupangiwa chuo Wala advance na kwenye masomo yake ana pass nzuri tu znazomwezesha kutimiza ndoto yake hivyo Kama kokosa kupangiwa na tamisemi ,anaweza fanya maombi ya vyuo vya Kati chini ya nactevet na kupata chuo husika hivyo kuendelea na masomo yakeSawa mkuu, hao inakuaje ili kupata??
Ebu weka namna hapa kwa faida ya wazazi/walezi wengine mkuu.
Mkuu, niutaratibu upi unafanyika maana na mm pia na mdogo wangu kachaguliwa chuo badala ya advance anataka kwenda advance au fani za afya.Mkuu, hapa naona kama tena unawachanganya wazazi/walezi.
Hiyo nactevet unafanya maombi kwa kupitia wapi..??
Maana mie hapa kesho nafunga safari to Tamisemi, nataka nikafanye utaratibu wa mwanangu mmoja kuhamishwa kutoka chuo cha ualimu ili aende kwenye fani nyingine.
Safi sana..mtoe huyo mtoto kwenye jera la maisha..ualimu bongo ni laana.Mkuu, hapa naona kama tena unawachanganya wazazi/walezi.
Hiyo nactevet unafanya maombi kwa kupitia wapi..??
Maana mie hapa kesho nafunga safari to Tamisemi, nataka nikafanye utaratibu wa mwanangu mmoja kuhamishwa kutoka chuo cha ualimu ili aende kwenye fani nyingine.
Sina uhakika mkuu, minimeamua kufunga safari kabisa ili kikaeleweke hukohuko Tamisemi makao makuu.Mkuu, niutaratibu upi unafanyika maana na mm pia na mdogo wangu kachaguliwa chuo badala ya advance anataka kwenda advance au fani za afya.
asee ngoja na mm nifanye hivyoSina uhakika mkuu, minimeamua kufunga safari kabisa ili kikaeleweke hukohuko Tamisemi makao makuu.
kwenye namba yake ya mtihani mwishoni unaweka mwaka aliohitimunatumia google chrome.
link naitoa mitandaoni tu tofauti na necta
Yan huko kupata unavyotaka ni ngumu na unaweza fika uko ukapigwa kalenda so wew ukienda kila la heri lakn Kama dogo anaufaulu mzuri wa masomo ya sayansi mwombee chuo kupitia nacte kabla ya Mambo hayajawa mengiMkuu, niutaratibu upi unafanyika maana na mm pia na mdogo wangu kachaguliwa chuo badala ya advance anataka kwenda advance au fani za afya.