Jeremy Bentham
Senior Member
- Apr 22, 2019
- 118
- 133
Ndio akiwemo ndg yangu wa karibu afu sababu eti inaonekana hajasoma General studies wakati vyuo vya Tanzania General studies inasomwa kama Development studies ni ni lazima chuoniMkuu kuna watu wamesitishiwa ajira zao???
Hamna that is why nimewashangaa TAMISEMI kumstishia ajira kwa sababu hio eti hajasomea General studies ilihali wanajua kabisa kuwa inatambulika kama DS chuoKwani kuna chuo kinafundisha General studies kama kozi badala ya DS hii Tanzania?
Au alifeli sana hiyo GS!?Hamna that is why nimewashangaa TAMISEMI kumstishia ajira kwa sababu hio eti hajasomea General studies ilihali wanajua kabisa kuwa inatambulika kama DS chuo
Barua ya kusitishwa ajira ndo imeandikwa hivyoSasa unasemaje wamemfutia ajira sababu hajasoma GS wakati kwenye cheti cha Six imo? Na chuoni Hakuna GS
Hajafeli hata hio GSAu alifeli sana hiyo GS!?
Awaandikie Barua ya kuwajulisha kwamba alisoma GS pamoja na vyeti vyake huku akiwaomba wamrudishie ajira yakeHajafeli hata hio GS
Kwa level ya chuo haiitwi GS inaitwa DSAwaandikie Barua ya kuwajulisha kwamba alisoma GS pamoja na vyeti vyake huku akiwaomba wamrudishie ajira yake
Naam!Kwa level ya chuo haiitwi GS inaitwa DS
Sio JafoWaanikeni na ujinga wao, mpk kwa ndalichako
MusomaAlikuwa Halmashauri Gani
Sasa ndo wamemstishia Ajira kapewa barua wanasema barua imetoka TAMISEMI etiNaam!