TAMISEMI inakuwaje mtu kafaulu zaidi masomo ya Sayansi halafu ninyi mnampangia HGL, masomo yenye ufaulu hafifu?

Peramiho yetu

JF-Expert Member
May 25, 2018
5,304
14,913
Leo mmetoa selection za kidato Cha tano. Kuna jambo limenishangaza sana tena mno

Ipo hivi mdogo wangu amepangiwa tahasusi ya HGL huko mkoan lakn maajabu yapo hapa katika matokeo yake ya kidato Cha nne

Hesabu B
Physics B
Chemistry A
Biology A
Kiswahili C
Geography B
Civics C
English C
Agriculture A
History C

Na machaguo yake yalikuwa PCB PCM na CBA

Lakn maajabu kachaguliwa HGL tena tahasusi yenye ufaulu hafifu Zaid ukilinganisha na tahasusi alizojaza Tena mm ndyo nilliyejaza online

Kuna Jambo halipo sawa TAMISEMI
 
mimi pia bintiamgu kapangiwa HGL wakati kwenye selform hakujaza kombi yoyote ya art, sasa sijui kujaza selform kuna maana gani
 
Kuna jamaa nae anasema mdogo wake ana ONE tena ufaulu mkubwa niwamoso ya sayans amepangiwa chuo akasomee Nursing and midwifery,hali yakuwa wao walitarajia dogo kupangiwa kwenda Form Five
 
Leo mmetoa selection za kidato Cha tano. Kuna jambo limenishangaza sana tena mno

Ipo hivi mdogo wangu amepangiwa tahasusi ya HGL huko mkoan lakn maajabu yapo hapa katika matokeo yake ya kidato Cha nne

Hesabu B
Physics B
Chemistry A
Biology A
Kiswahili C
Geography B
Civics C
English C
Agriculture A
History C

Na machaguo yake yalikuwa PCB PCM na CBA

Lakn maajabu kachaguliwa HGL tena tahasusi yenye ufaulu hafifu Zaid ukilinganisha na tahasusi alizojaza Tena mm ndyo nilliyejaza online

Kuna Jambo halipo sawa TAMISEMI
Asante ndugu Kama na wewe umeliona hilo hata Mimi pia mdogo wangu ufaulu wake ulikua unamruhusu kwenda clinical officer kutokana na kuperform vzr Chemistry and Biology maana math aliscore F Lakin Cha ajabu et kapelekwa Accountancy TIA-Mbeya

Mmmh hii imenichanganya Sana
Wajuz wa izi Kaz tusaidiane
 
Leo mmetoa selection za kidato Cha tano. Kuna jambo limenishangaza sana tena mno

Ipo hivi mdogo wangu amepangiwa tahasusi ya HGL huko mkoan lakn maajabu yapo hapa katika matokeo yake ya kidato Cha nne

Hesabu B
Physics B
Chemistry A
Biology A
Kiswahili C
Geography B
Civics C
English C
Agriculture A
History C

Na machaguo yake yalikuwa PCB PCM na CBA

Lakn maajabu kachaguliwa HGL tena tahasusi yenye ufaulu hafifu Zaid ukilinganisha na tahasusi alizojaza Tena mm ndyo nilliyejaza online

Kuna Jambo halipo sawa TAMISEMI
Uchunguzi ufanyike kuanzia kwa aliyempangia hiyo combination huenda ana tatizo yeye binafsi na huenda wengi wamefanyiwa hivyo ila hawana pa kusemea
 
Leo mmetoa selection za kidato Cha tano. Kuna jambo limenishangaza sana tena mno

Ipo hivi mdogo wangu amepangiwa tahasusi ya HGL huko mkoan lakn maajabu yapo hapa katika matokeo yake ya kidato Cha nne

Hesabu B
Physics B
Chemistry A
Biology A
Kiswahili C
Geography B
Civics C
English C
Agriculture A
History C

Na machaguo yake yalikuwa PCB PCM na CBA

Lakn maajabu kachaguliwa HGL tena tahasusi yenye ufaulu hafifu Zaid ukilinganisha na tahasusi alizojaza Tena mm ndyo nilliyejaza online

Kuna Jambo halipo sawa TAMISEMI
Akalalamike atabadilishwa, hata wanaopanga ni binadamu
 
Wengi mnalaumu Tamisemi pasipo kujua. Selform (form zinazotumika kufanya selection) zinajazwa kabla ya matokeo kutoka na wanafunzi wenyewe so mwanafunzi anajaza pasipo kujua matokeo yake yatakuwaje. Anajaza kwa kuweka 1st priority, 2nd......
Kisha form hizo hujazwa tena online baada ya matokeo kutoka na afisa elimu wa halmashauri husika(japo wanaotumika hapa ni walimu/wakuu wa shule husika). Tamisemi hufanya selection kwa kubase kwanza na priority(jinsi alivyojaza mwombaji) na kisha kwa kuoanisha na matokeo.
So kosa kubwa lipo kwa wanafunzi wanaojaza kwenye fomu na wale wanaoingiza hizo taarifa kwenye mfumo
 
Leo mmetoa selection za kidato Cha tano. Kuna jambo limenishangaza sana tena mno

Ipo hivi mdogo wangu amepangiwa tahasusi ya HGL huko mkoan lakn maajabu yapo hapa katika matokeo yake ya kidato Cha nne

Hesabu B
Physics B
Chemistry A
Biology A
Kiswahili C
Geography B
Civics C
English C
Agriculture A
History C

Na machaguo yake yalikuwa PCB PCM na CBA

Lakn maajabu kachaguliwa HGL tena tahasusi yenye ufaulu hafifu Zaid ukilinganisha na tahasusi alizojaza Tena mm ndyo nilliyejaza online

Kuna Jambo halipo sawa TAMISEMI
HAWATAKI WANASAYANSI

Sent from my SM-J600F using JamiiForums mobile app
 
Na kwanini alisomea masomo yote wakati alikuwa yupo vizuri darasani,kwanini asingefanyia mtihani masomo ya sayansi tu au hakuwa anajiamini au shule yao imeiba mitihani kwahyo wakaona sayansi hatapaweza

Kama unajiamini unachukua kitu kimoja tu sio kufanyia yote haya ndo madhara yake sasa
 
Back
Top Bottom