Tambwe Hizza amshambulia Mwanakijiji

unajitahidi kidogo,tell me weight yako in kgs now!naona unajitahidi walau............

Babu niko fit. 205lbs ambayo kwa kilo ni kama kilo 90 na kitu kama sijakosea. Ila ni all muscle. Hakuna minyama ya uzembe hapa.
 
i guess huyo "Dubya" Hizza is trying to cry with wananchi maana si unajua it's more healing than crying alone, thinking atapata sympathy.
 
Babu niko fit. 205lbs ambayo kwa kilo ni kama kilo 90 na kitu kama sijakosea. Ila ni all muscle. Hakuna minyama ya uzembe hapa.
hahahah!nakuaminia.mimi nina kama 94 sasa.ni mtu wa gym sana na kikapu pia nimecheza sana wakati nasoma o-level!i'm a super tall,na misuli kibao.anyways pamoja sana kaka!mimi nimeshapasha na awadh-tamimo bondia huyu,pamoja na japhet kaseba kwenye centre fulani hapa dar!

tutaongea basi!............
 
hahahah!nakuaminia.mimi nina kama 94 sasa.ni mtu wa gym sana na kikapu pia nimecheza sana wakati nasoma o-level!i'm a super tall,na misuli kibao.anyways pamoja sana kaka!mimi nimeshapasha na awadh-tamimo bondia huyu,pamoja na japhet kaseba kwenye centre fulani hapa dar!

tutaongea basi!............

Nakumbuka enzi hizo nilikuwa napasha na mabaunsa wa clouds akina Martin, Koba, Nyaki, Steve na wengineo. Sijui wako wapi hawa jamaa siku hizi...

Umeshawahi kwenda kwenye ile gym pale Imalaseco? Iko juu ya ile supermaket....basi pale nilikuwa napashia pashia kidogo nilipokuwa mjini
 
MWANAKIJIJI
this is a clear call kwamba ushow up ili wakubambe. Ila dont do that by any sake maana hawa jamaa watakuja na kila falsafa wakuone tu sura yako.

Unajua hawa ccm wako feki sana inabidi kufunga na kuomba mafisadi wote watolewe ktk chama
 
Unajua mambo ya fitness Tanzania hayako kama yalivyo Nyamwezi aisee. Bush alikuwa anapiga chuma mwenzenu. Hata Obama naye anapasha vile vile.

Kwa ujumla wabongo wengi mambo ya fitness yamewakalia kushoto. Wakikuona mtu unapiga chuma wanaanza kukuita eti baunsa. Hawajui hata nini maana ya neno "bouncer". Ovyo kabisa.

Mkuu hapa Dar ukiwa mnene kama Mkapa we una afya nzuri au ukiwa chinene kama father Mc basi wewe ndio una afya. Ukiwa hujanenepa kama Mh Kigoda basi wewe huna afya.
Ukiwa na watoto 20 Zuma like wewe ndio dume hasa, ukiwa na mmoja huna maana.
Escalator yetu pale airport ecalation yake kwanza ni aibu tupu, ingekuwa kwa wenzetu pale ni miguu tu. Lakini ovyoo kabisa. NDIVYO TULIVYO INATISHA.

Naoan mheshimiwa Hiza ana afya sana.
 
MWANAKIJIJI
this is a clear call kwamba ushow up ili wakubambe. Ila dont do that by any sake maana hawa jamaa watakuja na kila falsafa wakuone tu sura yako.

Unajua hawa ccm wako feki sana inabidi kufunga na kuomba mafisadi wote watolewe ktk chama


Nani kakwambia hawamjui? zama za kukimbiana utafikiri magaidi zishaitwa na wakati na wenyewe wanalijua hilo

sasa hivi wanamove on to philosophical discussions na wasi wasi wangu ni kuwa je wataweza kuhimili hiyo midossier atakayo wamwagia?

sikuzote kama hujajikamilisha wee ingia mitini tuuu
 
Hata kuweka AC kwenye Arrivals pale uwanja wa ndege wameshindwa! Utadhani uko kwenye warehouse!

sasa si bora ya hiyo mwana, kuna siku nilikuwa nasafiri nikakuta umeme umekatika halafu foleni ilikuwa ndefu kweli kweli..yana kama warehouse kweli ujue maana mpk nafika counter ilikuwa hatari kweli kweli
 
Dubya yuko fiti, Obama naye yuko fiti si unaona mara kwa mara anashoot hoops na marines. Bongo ukiwa na mtumbo kama fuko la rambo si ndio unaonekana una mapesa.

Nasikia Bush alikuwa ana push two 45lb. plates on each side which equals 225 lbs.! That's impressive for his age. Kikwete hata 45lbs moja kila upande nina shaka kama anaweza hata kuitoa kwenye bench

Wakuu Eqlypz na Nyani Ngabu
Muungwana picha ziliwekwa hapa kifua tumbo vyote nyang'anyang'a akatetewa bullet proof ati hapa hapa JF
 
Hiza Tambwe ni mwanasiasa njaa, na mtu wa hatari sana. Nina imani kuwa akipewa pesa za kutosha na mtu au kikundi chochote na kuambiwa aitukane CCM, atafanya hivyo.
 
.

Muosha uoshwa.

Mwana kijiji amekuwa akiwashambulia sana wana jf kwa majina tofauti humu ndani.

wacha na yeye achafuliwe.

Umejuaje?

Wewe una majina mangapi hapa JF?

Kama ni kweli wote hapa ni Nyani wa Mikumi; tunaona mi ya wenzetu mi yetu hatuyioni, kuchekana mikundu yetu kunatusaidia nini?
 
Last edited:
Wansema kila mbuzi hupata mlo kwa urefu wa kamba aliyofungwa. Huyu Hiza alipewa kibano na CCM kama alichopata akina Ulimwengu na Lamwai. Huyu specifically alibanwa kwenye biashara zake, sasa akaona asifilisike akabwaga manyanga ya siasa za upinzani kama Lamwai. Maana viji-costa vyake vya Mwenge-Posta vyote wangeviscrap, hapo ndo uamini kuwa CCM ni mafioso.
 
Mwanakijiji ana mambo mengi muhimu ya kuifanyia nchi hii, kupoteza muda kujibizana na mtu punguani kama Tambwe Hiza will be a disservice to this poor nation. Wanaposema MM anahatarisha amani ya nchi yetu kwani yeye ndio yuko huko Tarime wanakouawa watu kila siku; ni MM anaefanya maisha ya watanzania kuendelea kuwa magumu kila kukicha? Ni uongozi wa CCM uliokuwa mbovu kuwalinda mafisadi ndio wanaohatarisha amani ya nchi yetu na si " CHECHE" ya MM; inayowafanyia kazi iliyotakiwa kufanywa na serikali ya CCm ya kuwaelimisha wananchi!! Mnaompiga vita MM mlaaniwe na Mshindwe kwa nguvu za MOLA!!!!
 
unajua JK akiingia humu hucheka sana

mnajua namna ya kukoga nyoyo za watu


GT umejuaje kuwa Jk akiingia humu hucheka sana, maana yake na wewe uko Ikulu siku hizi au ndio katika solidality ya ui..........???? Kama ndio unakwenda kujikomba huko do us one favour ya kumwambia kuwa kama anaipenda nchi yake ajiuzuru mtu mwingine aongoze nchi kwani yeye kashindwa!!
 
Asilimia kubwa ya vijana walio CCM hawapo kwa maslahi ya chama wala taifa, wapo pale kwa mahitaji binafsi. Kwahi simshangai sana huyu mtu.
 
Nasikia huyu jamaa ni kihiyo kweli. alikutwa temeke akiwa baa na laptop anawaonyesha walevi wenzake nyimbo na vikorokoro vingine
 
.

Muosha uoshwa.

Mwana kijiji amekuwa akiwashambulia sana wana jf kwa majina tofauti humu ndani.

wacha na yeye achafuliwe.

Ndiyo kijana wa mwakalinga na jua hili mmelijadili katika kambi yenu. hebu tupe majina tofauti ya mwanakijiji nasi tuyajue. Du mwakalinga nimekubali ni mkali. Njisi alivyogudua kuwa Masa na shalom ni mtu mmoja na yuko texas na hili la majina ya mwanakijiji nvua kofia.
 
Back
Top Bottom