Huyu jamaa kipindi akiwa upinzani aliwahi kusema kama atarudi chama tawala basi amlale mama yake.
Sasa amerudi chama tawala na tgena ni naibu kitengo cha umbea(propaganda)
hapa tumuulize ndg yetu tambwe,vipi ametekeleza ile ahadi yake?maana amerudi tayari chama tawala.
My take:tambwe ni wa kupuuzwa tena kwa hali ya juu kabisa

Naunga mkono hoja 100%. nilimsikia mwenyewe kwa masikio yangu na kwa macho yangu wakati akitoa ahadi hiyo, ladba tu ili kuiweka vizuri hii thread, ni kumuuliza Tambwe, je ameshampiga mpini mama yake? na kwa kuweka kumbukumbu sawa alidiriki kusema kwamba wanaorudi ccm wote ni wendawazimu, kwa hiyo huna haja ya kumshangaa kwani yeye alishatoa tafsiri kwamba ukirudi ccm wewe ni kichaa period.
Kweli huyu kasomeshwa na kufuzu mambo ya propaganda, hata aibu hana. Mfano, wakati wa Kampeni Mhe. aliwaahidi wanafunzi wa elimu ya juu huko Dodoma kuwa matatizo yao ya mikopo yatakuwa historia mara watakapomchagua. Leo tunashuhudia UDOM wamegoma kisa mikopo .., machoni kwa mtaalam Tambwe Hiza mgomo huu umesababishwa na CDM. Nadhani wampeleke shule tena akajifunze propaganda ndani ya kizazi cha dot.com itamsaidia sana kuliko kuamua kufanya watu wajinga ..Tambwe hiza kiongozi wa propaganda CCM, akihojiwa na chanel ten, amesema CDM , ndio kinausika na migomo yote ya hapa nchini inayotokea, kwa habari zaidi fatilia chanel ten sasa hivi
Huyu jamaa kipindi akiwa upinzani aliwahi kusema kama atarudi chama tawala basi amlale mama yake.
Sasa amerudi chama tawala na tgena ni naibu kitengo cha umbea(propaganda)
hapa tumuulize ndg yetu tambwe,vipi ametekeleza ile ahadi yake?maana amerudi tayari chama tawala.
My take:tambwe ni wa kupuuzwa tena kwa hali ya juu kabisa
Huyu jamaa ni mnafiki sana , anafanana na sheikh Khalifa imamu wa msikiti wa Kwamtoro! Wote hawa nawafahamu bila shida kuwa walikuwa wapiga debe wazuri sana kipindi CUF ipo juu kisiasa lakini walipoona CUF inapoteza uelekeo basi waliamua kurudi CCM bila kujali walisema nini. Ukiangalia sheikh Khalifa ametulia kwa sababu JK ni muislam na alimpigia sana kampeni misikitini hususani kipindi cha 2005 kuliko 2010 sasa sijajua kama alivyoahidiwa hakutekelezewa au ndiyo kaamua kuachana na siasa. Kifupi Tambwe Hiza na sheikh Khalifa wote ni waganga njaa tu lakini utofauti wao unakuja kuwa sheikh Khallifa ni mweledi zaidi na ana soni kwa sababu ya kumjua Mungu.Naunga mkono hoja 100%. nilimsikia mwenyewe kwa masikio yangu na kwa macho yangu wakati akitoa ahadi hiyo, ladba tu ili kuiweka vizuri hii thread, ni kumuuliza Tambwe, je ameshampiga mpini mama yake? na kwa kuweka kumbukumbu sawa alidiriki kusema kwamba wanaorudi ccm wote ni wendawazimu, kwa hiyo huna haja ya kumshangaa kwani yeye alishatoa tafsiri kwamba ukirudi ccm wewe ni kichaa period.