Tambwe hiza, ahusisha migomo ya tanzania na chadema

Jamani mheshimuni sana Prof Lipumba, Maalim Seif Shariff Hamad na Haji Duni Haji kwa kazi waliokua wanafanya kulifanya hili njemba Richard Tambwe Hiza aonekane mtu maarufu na wa maana mbele ya jamii.

Naamini kwamba haikua kazi rahisi waheshimiwa hawa hadi wakawa wamemfikisha tambwe ngazi hizokumfanya mpaka awe hivo. Kwa taarifa za ndani sana tulizonazo Tambwe Hiza alionekana kufanya vizuri kwa kutumia talanta yake ya kujua sana kujieleza, LAKINI MPAKA PALE AMBAPO KAPIGWA TUISHENI YA NGUVU MAPEMA kidogo kabla ya kujitokeza mbele ya watu.

Sasa tangu ahamishiwe CCM na Katibu Mkuu, Mjomba wake Mzee Yusuff Maropes, Hiza siku hizi kaachwa tu peke yake kama kuku wa kienyeji kujitafutia chakusema huko huko viwanjani jambo ambalo mpaka sasa imemfanya awe anaadhirika sana kokote anakojitokeza kukisemea chochote CCM.

Masikini Tambwe!!!!!
 
Mkuu hapo unaposema 'taranta yake ya kujieleza' unaonaje ikisomeka hivi 'taranta yake ya kuropoka'. Nadhani itakuwa swaaaafi zaidi.
 
Hilo jina sio la kukipa kitu chochote lina laana kali kama sumu ya mamba.Pia msilitamke mnaweza kuambukizwa uzezeta.ukibatiza chuo tutapata taifa la kina juha na wehu
 
Hicho chuo labda kiitwe VIHIYO WAROPOKAJI.Sifa za kujiunga ni aliyefauru mtihani wa darasa la nne na kufeli darasa la saba.
 
Hiza anatuhuma ya kujibu na kuwathibitishia Watanzania Je alipohamia CCM kutoka CUF alilala na mama yake kama alivyo ahidi kuwa pindi atakapohama CUF na kurejea CCM labda alale na mama yake! Sasa sote tumeshuhudia akilamba matapishi yake na kurejea CCM sasa swali je ilimbidi alitimiza nadhiri yake alijiwekea na shetani wake?

Sijui ni uthibitisho gani kwa Watanzania walio Makini kuwa CCM ni janga la taifa kwani limejaza kila aina ya takataka kama wakina TAMBWE HIZA na sisi watanzania wote tuna onekana wa hovyo kabisa kama anavyosema Jenerali ulimwengu,

Kwa wakristo wanaelewa kuwa "kitendo cha kumtazama mwanamke na kumtamani, unakuwa tayari umezini nae moyoni", hivyo kwa masuala ya kiroho Hizza kutoa kauli nzito ya " siwezi kufanya kitendo cha kuondoka CUF kwenda CCM na nikifanya kitendo hicho ni sawa na kumlala mama yake (kuzini na mamaye)" Kauli nzito kama hiyo ni kuweka nadhiri. Na nadhiri ni lazima uitunze na kuirinda. Hivyo kwa kukiuka NADHIRI yake kiroho HIZZA amemlala mama yake, Maana tayari kafanya kitendo alilichosema akikifanya ni sawa na kuzini na mama yake. Hivyo kama mtu ana uwezo wa kuzini na mamaye kwa ajili ya maslahi yake unategemea mtu huyo ataweza kulinda maslahi ya nchi? Kwa HIZZA tumbo kwanza (nchi)utu,heshima,uungwana,uzalendo baadaye
 
Back
Top Bottom