Tambwe hiza, ahusisha migomo ya tanzania na chadema

Huyu jamaa kipindi akiwa upinzani aliwahi kusema kama atarudi chama tawala basi amlale mama yake.
Sasa amerudi chama tawala na tgena ni naibu kitengo cha umbea(propaganda)
hapa tumuulize ndg yetu tambwe,vipi ametekeleza ile ahadi yake?maana amerudi tayari chama tawala.
My take:tambwe ni wa kupuuzwa tena kwa hali ya juu kabisa

Naunga mkono hoja 100%. nilimsikia mwenyewe kwa masikio yangu na kwa macho yangu wakati akitoa ahadi hiyo, ladba tu ili kuiweka vizuri hii thread, ni kumuuliza Tambwe, je ameshampiga mpini mama yake? na kwa kuweka kumbukumbu sawa alidiriki kusema kwamba wanaorudi ccm wote ni wendawazimu, kwa hiyo huna haja ya kumshangaa kwani yeye alishatoa tafsiri kwamba ukirudi ccm wewe ni kichaa period.
 
Basi kesha mlala!
 
Hivi hapa wakuu tunaweza kupata audio ya matamshi yake? au hata magazeti yalowahi ripoti matamshi haya ya laaana at least tuweze kumfunga mdomo.
 
Tambwe hiza kiongozi wa propaganda CCM, akihojiwa na chanel ten, amesema CDM , ndio kinausika na migomo yote ya hapa nchini inayotokea, kwa habari zaidi fatilia chanel ten sasa hivi
Kweli huyu kasomeshwa na kufuzu mambo ya propaganda, hata aibu hana. Mfano, wakati wa Kampeni Mhe. aliwaahidi wanafunzi wa elimu ya juu huko Dodoma kuwa matatizo yao ya mikopo yatakuwa historia mara watakapomchagua. Leo tunashuhudia UDOM wamegoma kisa mikopo .., machoni kwa mtaalam Tambwe Hiza mgomo huu umesababishwa na CDM. Nadhani wampeleke shule tena akajifunze propaganda ndani ya kizazi cha dot.com itamsaidia sana kuliko kuamua kufanya watu wajinga ..
 
Huyu jamaa kipindi akiwa upinzani aliwahi kusema kama atarudi chama tawala basi amlale mama yake.
Sasa amerudi chama tawala na tgena ni naibu kitengo cha umbea(propaganda)
hapa tumuulize ndg yetu tambwe,vipi ametekeleza ile ahadi yake?maana amerudi tayari chama tawala.
My take:tambwe ni wa kupuuzwa tena kwa hali ya juu kabisa

Huyu jamaha akili yake inamtosha mwenyewe na hasa ni ya kujua kuvaa nguo tu ili asitembee uchi,na si ya kufanya mambo mengine ya maana,Tambwe elimu yake ni ndogo sana,he s just a std seven,ndio maana upeo wake ni kama wa kuku vile,alafu anataka kuchangia hoja kisomi,aende akanywe kahawa kwenye vijiwe vyake!
 
Duh! Amlale mama yake! Ukirudi CCM ni mwendawazimu! Mi nafikiri huyo Hiza ni mwendawazimu hata kabla hajarudi CCM. Pengine sasa ni mwendawazimu square!
 
haaaaa TABWE kilaza kweli nilimsikiliza MLIMANI TV walikuwa na Mtatiro (naibu katibu mkuu wa CUF), Tmbwe hawezi hata kujieleza PUMBAA KIBAO alizidiwa pakubwa sana kujieleza na MTATIRO, ilikuwa ni kama mtatiro yupo CDM anavyojieleza, Nilimkubali saana Mtatiro kweli CUF walicheza karata nzuri sana pale. Ila hawa ndugu zangu ccm sijui wanacheza karata gani? Yaani jamaaa Pumba kabisa yule. Alisema vyama vipya vifutwe sijui alimaanisha nini au ndo kuchanganyikiwa kwa ccm.
 
Naunga mkono hoja 100%. nilimsikia mwenyewe kwa masikio yangu na kwa macho yangu wakati akitoa ahadi hiyo, ladba tu ili kuiweka vizuri hii thread, ni kumuuliza Tambwe, je ameshampiga mpini mama yake? na kwa kuweka kumbukumbu sawa alidiriki kusema kwamba wanaorudi ccm wote ni wendawazimu, kwa hiyo huna haja ya kumshangaa kwani yeye alishatoa tafsiri kwamba ukirudi ccm wewe ni kichaa period.
Huyu jamaa ni mnafiki sana , anafanana na sheikh Khalifa imamu wa msikiti wa Kwamtoro! Wote hawa nawafahamu bila shida kuwa walikuwa wapiga debe wazuri sana kipindi CUF ipo juu kisiasa lakini walipoona CUF inapoteza uelekeo basi waliamua kurudi CCM bila kujali walisema nini. Ukiangalia sheikh Khalifa ametulia kwa sababu JK ni muislam na alimpigia sana kampeni misikitini hususani kipindi cha 2005 kuliko 2010 sasa sijajua kama alivyoahidiwa hakutekelezewa au ndiyo kaamua kuachana na siasa. Kifupi Tambwe Hiza na sheikh Khalifa wote ni waganga njaa tu lakini utofauti wao unakuja kuwa sheikh Khallifa ni mweledi zaidi na ana soni kwa sababu ya kumjua Mungu.
 
Naunga mkono hoja 100%. nilimsikia mwenyewe kwa masikio yangu na kwa macho yangu wakati akitoa ahadi hiyo, ladba tu ili kuiweka vizuri hii thread, ni kumuuliza Tambwe, je ameshampiga mpini mama yake? na kwa kuweka kumbukumbu sawa alidiriki kusema kwamba wanaorudi ccm wote ni wendawazimu, kwa hiyo huna haja ya kumshangaa kwani yeye alishatoa tafsiri kwamba ukirudi ccm wewe ni kichaa period.

Alishajitetea ati mama yake ni marehemu....what a nicampoon
 
Mara nyingi hasa Jumamosi humkosi Sigara club-Chang`ombe akipombeka Pombe kali. Mambo yake huwezi kuamini kama ni Mwanasiasa tana mwenye cheo cha Katibu mwenezi. Ana pumba sana hata kwenye mazungumzo ya kaida kabisa. Sijui ana Elimu ya kiwango gani kiumbe huyu!!!!
 
Kwani Tambwe Hiza ni Mwanaume au Mwanamke? Naomba kuuliza tu! maana ana vijitabia Vya kishogashoga! kama ni mwanaume, amebahatika kupata watoto? na kama ni watoto wake kuna haja ya kuwathibitisha kwa Mkemia Mkuu katika vipimo vya DNA! maana anaweza kuwa amesahidiwa na wanaume halisi kupata watoto!
 
Naunga mkono hoja 100%. nilimsikia mwenyewe kwa masikio yangu na kwa macho yangu wakati akitoa ahadi hiyo, ladba tu ili kuiweka vizuri hii thread, ni kumuuliza Tambwe, je ameshampiga mpini mama yake? na kwa kuweka kumbukumbu sawa alidiriki kusema kwamba wanaorudi ccm wote ni wendawazimu, kwa hiyo huna haja ya kumshangaa kwani yeye alishatoa tafsiri kwamba ukirudi ccm wewe ni kichaa period.

Kwahiyo ......ni kichaa aliyemlala Mama yake mzazi...
 
Huyu jamaa kipindi akiwa upinzani aliwahi kusema kama atarudi chama tawala basi amlale mama yake.
Sasa amerudi chama tawala na tgena ni naibu kitengo cha umbea(propaganda)
hapa tumuulize ndg yetu tambwe,vipi ametekeleza ile ahadi yake?maana amerudi tayari chama tawala.
My take:tambwe ni wa kupuuzwa tena kwa hali ya juu kabisa

kauli zingine zaweza kutolewa na walevi tu, au alikuwa amelewa alipotoa kauli kama hiyo? masikini tambwe kamkufuru mungu na mama yake kwa sababu ya kutafuta nafasi ya kisiasa. anahitaji msamaha wa mama yake na hekima ya Mungu
 
Maweeee!!!!...Itakua tayari ashamlala mama yake maana ukichanganya na ushirikina uliopo ccm hilo ni possible na wala sishangai!!
 
Back
Top Bottom