nipe maujanja mkuuHahah achana Nayo utakufa bure na presha
Hujasikia kwa sababu asilimia mia ya wadukuzi na wadukuliwa ni wapenzi walio katika hatua mchecheto ,mmoja anahisi anamegewa sasa akidukuliwa anafikiria msala wa kubambwa hafikirii kuwa mwenza wake kafanya jinaiDah! Sijasikia kesi hizo hapa kwetu
Nielekeze puliiiziTeh teh hii imeshapitwa na wakati....
Kuna ile njia nyingine ya kutumia Mac address.
Mkuu umenena vyemaaa.Hujasikia kwa sababu asilimia mia ya wadukuzi na wadukuliwa ni wapenzi walio katika hatua mchecheto ,mmoja anahisi anamegewa sasa akidukuliwa anafikiria msala wa kubambwa hafikirii kuwa mwenza wake kafanya jinai
Mkuu unatafuta urafiki na TCRA...
Wizi mtupu.
Ungeeleza ukweli kama ulivyo sio unakuja na conclusion za ajabu utasema unafundisha wajinga.
Hiyo screen inaonyesha kua whatsapp inatumika kwenye computer, haimaanishi mtu anadukua, inamaanisha mtu alisetup kuruhusu atumie whatsapp kwenye computer basi, yaweza kua owner mwenyewe mwenye hiyo account kaamua kusetup kwenye laptop yake mwenyewe.
Kama ni mtu mwingine kasetup kwenye desktop yake, then njia pekee ya kudukua akifungua whatsapp desktop, inaleta notification kua Whatsapp web is active, kama sio wewe uliyefungua whatsapp web then labda hapo ndo kuna mtu anadukua ila si kwa ulichotaja hapo juu.
Be clear and specific sio unakaa kutisha watanzania, kumbuka the majority wanachukua maneno kama yalivyo hawajiongezi, wataanza kupanic bure tu kumbe ni wao wenyewe walioset whatsapp web.
Mkuu usiwe mbishi alicho kisema ni sahihi.. Ingia playstore download app ya weblite kisha scan barcode ya simu unayotaka kudukua.. Japokuwa unatumia App ila maneno utakayopewa ni kama mtu anatumia computer...
Hivyo sio lazima kwamba muhusika kaamua kutumia whatsapp yake kwenye computer
Em soma nilichoandika alafu urudi tena.
Alichosema si sahihi, inaelekeana na ukweli ila ni uongo. Ukitumia whatsapp web wewe mwenyewe bado itaonekana kama alivyoonyesha hapo chini, hiyo haimaanishi kuna mtu anadukua mawasiliano yako, inamaasha tu kua unatumia whatsapp kwenye computer.
Em jaribu kuelewa vizuri nilichosema, sio kila kitu mnakaa mnadhani mnaibiwa.
Kabla ya kuja kuandika ulicho andika mkuu nenda playstore tafuta whatsweb zitakuja App zaidi 20 ambazo zinafanya kazi sawa na hiyo whatsapp web ya kwenye pc.Wizi mtupu.
Ungeeleza ukweli kama ulivyo sio unakuja na conclusion za ajabu utasema unafundisha wajinga.
Hiyo screen inaonyesha kua whatsapp inatumika kwenye computer, haimaanishi mtu anadukua, inamaanisha mtu alisetup kuruhusu atumie whatsapp kwenye computer basi, yaweza kua owner mwenyewe mwenye hiyo account kaamua kusetup kwenye laptop yake mwenyewe.
Kama ni mtu mwingine kasetup kwenye desktop yake, then njia pekee ya kudukua akifungua whatsapp desktop, inaleta notification kua Whatsapp web is active, kama sio wewe uliyefungua whatsapp web then labda hapo ndo kuna mtu anadukua ila si kwa ulichotaja hapo juu.
Be clear and specific sio unakaa kutisha watanzania, kumbuka the majority wanachukua maneno kama yalivyo hawajiongezi, wataanza kupanic bure tu kumbe ni wao wenyewe walioset whatsapp web.
Mkuu wapo watu humu hujiona wanajua, kumbe hamna kitu.Mkuu usiwe mbishi alicho kisema ni sahihi.. Ingia playstore download app ya weblite kisha scan barcode ya simu unayotaka kudukua.. Japokuwa unatumia App ila maneno utakayopewa ni kama mtu anatumia computer...
Hivyo sio lazima kwamba muhusika kaamua kutumia whatsapp yake kwenye computer
Je nikitaka kujua km whatsapp yngu ishawahi kudukuliwa then ikaachiwa? NifanyejeZifuatazo ni hatua jinsi ya kuhakiki kama kuna mtu ana dukua mawasiliano yako ya WhatsApp kupitia kipengele cha Whatsapp web kwa wenye simu yako.
Kwakuwa kipengele hicho kiliwekwa kwaajili ya mtumiaji wa whatsapp aunganishe whatsapp account yake na kifaa kingine mfano pc, ili anapokuwa mbali na simu au pc aendelee kuwa connected.
Hatua ya 1.
Fungua whatsapp yako kisha upande wa juu kulia utaona vidoti vitatu (angalia mshale) gusa hapo itakuja menu.
Hatua ya 2
Katika menu itakayotokea hapo angalia neno whatsapp web kisha gusa hapo.
Hatua ya 3.
Angalia kama utapata majibu yafuatayo.
Jibu A
Kama whatsapp yako ikija hivi
Tambua upo safe hakuna mtu anadukua mawasiliano yako kwa njia hiyo ya whatsapp web.
Jibu B
Ukigusa lile neno whatsapp web ikafunguka hivi
Tambua kuna mtu anadukua mawaailiano yako ya whatsapp.
Kwa njia ya computer/laptop au kwa njia ya App ambazo zipo nyingi mno playstore.
Ili kujiondoa gusa hayo maneno ya blue hapo chini yanayo sema log out from all computers
Nawasilisha.
Kwa njia hiyo niliyo eleza kama aki log out alie kuwa anadukua, hutoweza kujua.Je nikitaka kujua km whatsapp yngu ishawahi kudukuliwa then ikaachiwa? Nifanyeje
Yani nakusudia km ishawah kudakuliwa cku za nyuma huez kujua tena?Kwa njia hiyo niliyo eleza kama aki log out alie kuwa anadukua, hutoweza kujua.
Ila kama haja log out basi kwako utaona kama nilivyo onesha hapo juu.