Dah! Sijasikia kesi hizo hapa kwetuTambua hilo nikosa la jinai mkuu.
Unae mdukua akikushtaki unakwenda na maji.
Tupe darasa la kudukua piaZifuatazo ni hatua jinsi ya kuhakiki kama kuna mtu ana dukua mawasiliano yako ya WhatsApp kupitia kipengele cha Whatsapp web kwa wenye simu zenye OS ya Android.
Hatua ya 1.
Fungua whatsapp yako kisha upande wa juu kulia utaona vidoti vitatu (angalia mshale) gusa hapo itakuja menu.
![]()
Hatua ya 2
Katika menu itakayotokea hapo angalia neno whatsapp web kisha gusa hapo.
![]()
Hatua ya 3.
Angalia kama utapata majibu yafuatayo.
Jibu A
Kama whatsapp yako ikija hivi
![]()
Tambua upo safe hakuna mtu anadukua mawasiliano yako kwa njia hiyo ya whatsapp web.
Jibu B
Ukigusa lile neno whatsapp web ikafunguka hivi
![]()
Tambua kuna mtu anadukua mawaailiano yako ya whatsapp.
Kwa njia ya computer/laptop au kwa njia ya App ambazo zipo nyingi mno playstore.
Ili kujiondoa gusa hayo maneno ya blue hapo chini yanayo sema log out from all computers
Nawasilisha
Eid Mubarak
Una uhakika ndg?!...kwny ios whatsapp web ipo mm naitumia kwny ipad whatsap yangu ya kwny simu ndio hiyohiyo nmeidukua kwenye ipad ili niendelee kuchek msg zangu za whatsapp pale napokuwa mbali na simuNjia nadhani ni hiyo hiyo ila tu mdukuzi atakuwa na pc, maana iphone naamini hawana hizo app kwenye store yao.
mkuu kama ni wewe umefanya hivyo haina shida, ndio maana nimesema yawezekana mtu hajawahi kufanya hivyo kwamba ameungaisha whatsapp ya simu na pc ambalo ndio lengo.Una uhakika ndg?!...kwny ios whatsapp web ipo mm naitumia kwny ipad whatsap yangu ya kwny simu ndio hiyohiyo nmeidukua kwenye ipad ili niendelee kuchek msg zangu za whatsapp pale napokuwa mbali na simu
Simu yangu haishikwi na ina password ya hatare.Mdukuzi huwa ni mtu wako wa karibu anaeshika simu yako.
Na sisi tunaotumia iPhone?
Hahahaa.Acha kutuharibia wadukuzi
Ndio kazi etu mama inayotuweka hapa mjini usitubanie riziki hata sio vzuri ...asante mkuu,simu yangu haidukuliwi,wadukuaji sio mnidukue sasa😎