Tambua kama unadukuliwa WhatsApp yako

Tambua kama unadukuliwa WhatsApp yako

Zifuatazo ni hatua jinsi ya kuhakiki kama kuna mtu ana dukua mawasiliano yako ya WhatsApp kupitia kipengele cha Whatsapp web kwa wenye simu yako.
Kwakuwa kipengele hicho kiliwekwa kwaajili ya mtumiaji wa whatsapp aunganishe whatsapp account yake na pc, ili anapokuwa mbali na simu au pc aendelee kuwa connected.

Hatua ya 1.
Fungua whatsapp yako kisha upande wa juu kulia utaona vidoti vitatu (angalia mshale) gusa hapo itakuja menu.
52fc24f62d713b46299b039c0755b7c0.jpg

Hatua ya 2
Katika menu itakayotokea hapo angalia neno whatsapp web kisha gusa hapo.
8ee2ef6f2a9f66747612e441f271012e.jpg

Hatua ya 3.
Angalia kama utapata majibu yafuatayo.

Jibu A
Kama whatsapp yako ikija hivi
932bd7453800144874f3f575301b2309.jpg

Tambua upo safe hakuna mtu anadukua mawasiliano yako kwa njia hiyo ya whatsapp web kuputia App zilizo playstore.

Jibu B
Ukigusa lile neno whatsapp web ikafunguka hivi
6693875404337a2d71b34fcaa0077e93.jpg

Tambua kuna unauwezekano mtu anadukua mawaailiano yako ya whatsapp.
Kwa njia ya computer/laptop au kwa njia ya App ambazo zipo nyingi mno playstore.
Kama ni wewe mwenyewe uli unganisha kwa pc au hizo App hakuna shida.

Ila kama sio wewe
Ili kujiondoa gusa hayo maneno ya blue hapo chini yanayo sema log out from all computers

Nawasilisha.
Hii inaonesha last seen yake ya kutumia Whatsapp Web. Hata h ukiscan code kwenye screen ya pc. Ukaingia whatsapp web na baadaye ukatoka pasipo kulog out. Ukija kufungua kwenye simu yako itaonesha hivyo, maana Whatsapp web haifanyi kazi bila connection ya simu na simu lazima iwe na taarifa za kutumika huko.

Huwezi kutumia whatsapp web kama simu haipo karibu na Pc, pia simu unayotumia whatsapp ndiyo inatumika kuactivate Whatsapp web kupitia camera yako ambayo itascan code kwenye pc yako.
 
Sijakuelewa mkuu what's your point hapo.
Pia nikusaishe kama simu ipo mbali na data ipo on still utaweza ku access whatsapp web kwenye pc sio lazima simu iwe karibu.
 
Zifuatazo ni hatua jinsi ya kuhakiki kama kuna mtu ana dukua mawasiliano yako ya WhatsApp kupitia kipengele cha Whatsapp web kwa wenye simu yako.
Kwakuwa kipengele hicho kiliwekwa kwaajili ya mtumiaji wa whatsapp aunganishe whatsapp account yake na pc, ili anapokuwa mbali na simu au pc aendelee kuwa connected.

Hatua ya 1.
Fungua whatsapp yako kisha upande wa juu kulia utaona vidoti vitatu (angalia mshale) gusa hapo itakuja menu.
52fc24f62d713b46299b039c0755b7c0.jpg

Hatua ya 2
Katika menu itakayotokea hapo angalia neno whatsapp web kisha gusa hapo.
8ee2ef6f2a9f66747612e441f271012e.jpg

Hatua ya 3.
Angalia kama utapata majibu yafuatayo.

Jibu A
Kama whatsapp yako ikija hivi
932bd7453800144874f3f575301b2309.jpg

Tambua upo safe hakuna mtu anadukua mawasiliano yako kwa njia hiyo ya whatsapp web kuputia App zilizo playstore.

Jibu B
Ukigusa lile neno whatsapp web ikafunguka hivi
6693875404337a2d71b34fcaa0077e93.jpg

Tambua kuna unauwezekano mtu anadukua mawaailiano yako ya whatsapp.
Kwa njia ya computer/laptop au kwa njia ya App ambazo zipo nyingi mno playstore.
Kama ni wewe mwenyewe uli unganisha kwa pc au hizo App hakuna shida.

Ila kama sio wewe
Ili kujiondoa gusa hayo maneno ya blue hapo chini yanayo sema log out from all computers

Nawasilisha.

Asante sana Mkuu, nimelipenda somo lako
 
Mtu aliwahi kunidukua kisa niko connected na watu wengi kwenye maisha halafu ni wanaume hahaha. Aliomba tu msamaha maana ni miezi anasoma social and bussiness chat tu hakupata anachokitafuta.
 
Wahanga wa hili wengi ni wanawake...walio katika mahusiano.
 
Back
Top Bottom