Tambua kama unadukuliwa WhatsApp yako

Tambua kama unadukuliwa WhatsApp yako

Daaa afadhali hata, kuna mpuuzi mmoja aliwahi kunidukua ili anifuatilie bila mi kujua, lkn hakunipata ng'oo
 
Zifuatazo ni hatua jinsi ya kuhakiki kama kuna mtu ana dukua mawasiliano yako ya WhatsApp kupitia kipengele cha Whatsapp web kwa wenye simu zenye OS ya Android.

Hatua ya 1.
Fungua whatsapp yako kisha upande wa juu kulia utaona vidoti vitatu (angalia mshale) gusa hapo itakuja menu.
52fc24f62d713b46299b039c0755b7c0.jpg

Hatua ya 2
Katika menu itakayotokea hapo angalia neno whatsapp web kisha gusa hapo.
8ee2ef6f2a9f66747612e441f271012e.jpg

Hatua ya 3.
Angalia kama utapata majibu yafuatayo.

Jibu A
Kama whatsapp yako ikija hivi
932bd7453800144874f3f575301b2309.jpg

Tambua upo safe hakuna mtu anadukua mawasiliano yako kwa njia hiyo ya whatsapp web.

Jibu B
Ukigusa lile neno whatsapp web ikafunguka hivi
6693875404337a2d71b34fcaa0077e93.jpg

Tambua kuna mtu anadukua mawaailiano yako ya whatsapp.
Kwa njia ya computer/laptop au kwa njia ya App ambazo zipo nyingi mno playstore.

Ili kujiondoa gusa hayo maneno ya blue hapo chini yanayo sema log out from all computers

Nawasilisha
Eid Mubarak
mkuu asante kwa idea hii vipina wale wadukuzi wa calls na msg za kawaida ikoje?
 
mkuu asante kwa idea hii vipina wale wadukuzi wa calls na msg za kawaida ikoje?
Inategemea na app anayotumia huyo anae dukua mawasiliano yako,
Ila ukihisi hivyo fanya hivi piga *1234* kisha piga kama hiyo app imo katika simu yako utagundua, kama atakuwa amebadili hiyo code basi
Nenda setting ya simu kisha app management angalia downloaded app zako ukiona kuna app hukuwahi idawnload au app yenye jina WI-FI (iwe kwenye dawnloaded app) sio all app anza kutilia mashaka.
Ikiwezekana uninstall. Angalizo iwe kwenye downloaded app.
 
asante mkuu
 
Back
Top Bottom