Mkuu pengine wewe umetumia picha kueka hisia zako...hii kauli kutoka kwa prince Alwaleed bin talal unaionaje inayotoka kwenye ulimi tena bila kulazimishwa wala kuwekewa mtutu wa bunduki ?Je ukichanganya hiyo picha na hii kauli nani atakwa anajipendekeza?Naposema marekani anajipendekeza kwa saudia maanake ni kama hivi.
![]()
Mkuu sina tatizo na wa-Iran japo nafahamu wana tatizo la kudumu na waSaudi.mhh,naona huwapendi sana wairan sijui kwanini,lakini kumbuka hawa wapersia chini ya king cyrus(mfalme koresh),walipovamia jerusalem kipindi inakaliwa na wababel ambao walikua wamefukuza wayahudi wote toka jerusalem na kulivunja hekalu la solomon,ni huyu huyu koreshi aliruhusu wayahudi kurudi jerusalem na akawasaidia kujengwa kwa hekalu lao na pia kuwaruhusu waabudu.
Iran ya leo ina jamii ya kiyahudi na wanaishi na kuabudi dini yao bila shida kiasi cha kugoma kurudi israel hata baada ya israel kuwapa offer ya dola 10,000 kwa kila iranian jew atakaekubali kurudi israel.
Iran upo uhuru wa kuabudu hata kwa wakristo,kuna makanisa pia,sasa chuki yako inatokea wapi asee?.
Je wajua kuwa saudia makanisa marufuku?
Obama ni kama rais wa Dunia, makao makuu ya benki kuu na utawala wa dunia(UN) viko nchini kwake. dunia iko concern na uchaguzi wa marekani ambao unaaminika kuwa US ni baba wa demokrasia duniani.Ama kama article inavyosema.
Obama to Make Diplomatic Rescue Visit to Saudi Arabia | The Jewish Press
Mkuu inawezekana wewe ndo hujui zaidi yangu.
Hivi unadhani Israeli Defence Force(IDF) ilienda kufanya nini southern Lebanon mwaka 2006?
Kama Hezbollah is not an existential threat to Israel kwanini Southern Lebanon ilivamiwa?
Na kwa taarifa yako tu Israel ilishindwa ku neutralize Hezbollah threat katika ile vita mbaka wakaomba cease fire!!!
Usiandike mambo usiyofahamu mkuu
kwanza unajua kwa nini ilikuwa ni vita ya siku sita?? Unajua makosa ya waarabu yalikuwa nini? Mpk wa kafeli??Not true..:A S 13:
kwa jinsi waarabu na waislamu wote duniani wanavyoichukia Israel wangeshaishambulia siku nyingi sana. Wanaichukia kama mtume Muhammad alivyowachukia waIsrael.
Ukweli ni kuwa Waislamu na waarabu wote wa mashariki ya kati wanajua fika kuwa wao bado junior sana kwa Israel , na ikitokea wameishambulia itawagharimu sana. History is the best teacher..kama ilivyowahi kuwakuta katika vita ya siku sita. Hawawezi kuthubutu wanaishia tu kulalamika kuwa Israel inawaua wapalestina kila siku.nk.
kwanza unajua kwa nini ilikuwa ni vita ya siku sita?? Unajua makosa ya waarabu yalikuwa nini? Mpk wa kafeli??
Kuhusu waislm wa mashariki na dunia nzima kuichukia israel upo sahihi coz wana haki hiyo ya kuichukia kama kweli unafuatilia historia vizuri coz wamewanyanganya ardhi kwa nguvu wapalestina lakini sio kwamba waarabu wanashindwa kumdungua muisrael tatizo ni kwamba wao wenyewe hawana mshikamano na umoja,kuwait alikubali anga yake itumiwe wakati iraq anavamiwa na marekani mwaka 2003,pili saudia ana uhusiano mzuri sana na marekani na nchi nyingi za kiarabu zipo against na marekani unategemea nini hapo jana iraq anaishtumu saudia kwa kusaidia vikundi vya waasi syria na kufanya vita isiishe,misri ndo alikuwa msuluhishaji mzuri sana wa middle east crisi whenever happens sasa hivi yeyey mwenyewe hayupo economically wala politicaly stable so hana muda mwingi wa kuyaangalia mambo ya nchi nyengene na kuslolve ya middle east yuko busy na kustabalize nchi yake mambo yote yanapelekea waarabu wasiwe na umoja wa kumchapa israel. Na muisrael hawezi kukubali waarabu wawe kitu kimoja lazima afanye hilla na juzi kama unafuatilia vya kutosha habari za kimataifa utaona muisrael amejitoa kwenye mazunguzo ya amani na palestina just kwa sababu hamas na kikundi cha fatah (vilikuwa rival group) vimeungana so hiyo inaonyesha fika kabisa kwamba muisrael hataki kuona waarabu wana kuwa kitu kimoja na kupata nguvu,anafanya like divide and attack. Dhidi ya waarabu
Mkuu nakubaliana na wewe, pia umesema kuwa Egypt ndio msuluhishaji mzuri, pia kuna taarifa za kiuchambuzi nilizowahi kusikia BBC zinasema pia haohao Egypt ndio taifa peke lililokuwa na uwezo wa kuwaunganisha waarabu wote, dhidi ya Israel na US walipojua wakaamua kuwashika na kuwapatanisha na Israel. Na hii ikapelekea kuwatenga na mgogoro(Na hope unakumbuka mkasa wa Anwar Sadat). Na baada ya ushawishi wa Egypt kufa hakuna mwarabu anayeweza kuungana na mwenzake dhidi ya Israel.
ila pia mgogoro huu Japo umeitaja US na Israel pia huwezi kuiondoa urusi kwenye equation hata vita ya siku sita 1967 alihusika kuizuia. Urusi imekuwa ikiwawezesha waarabu wapigane na Israel. Ni sawa na kusema kulikuwa na Proxy war baina ya Urusi na US.
kama iliyokuwepo afghanistan, Korea, Vietnam
Madai haya nimewahi kuyasikia hata kwenye muungano wa Tanganyika na zanzibar kuwa lengo ni Western kuwazuia zanzibar wasijiunge na Ukomunists. Na sio hoja zetu nyepesi za kuunda umoja.Kama inavyojulikana na wengi.
teh teh hapo kwenye red sababu zipo nyingi na nyingine kuu ni for security reason zanzibar pako vizuri sna kwa security purpose ya dar es salaam,by saying so muisrael anachofanya akishirikiana na mmrekani in one way or another ni kushusha nguvu za waarabu/kuwaweaken ili wasiwe na nguvu na mwisho wa siku aje awwatawale sidhani kama kuna siku muisrale mwenyewe anaeza kuishambulia irran au nchi nyingine ya iarabu yenye nguvu peke yake kama asipopata go ahead ya mmrekani ataishia kutunisha misuli kwa makundi ya hamas,taliban,hezbollah na mengineyo ila kupigana nchi kwa nchoo ni swala lingine thats y all the time huwa anaomba support ya mmarekani
As long as Syria yupo Assad Israel hawezi kumshambulia Iran.Na kama akilazimishwa Tel Aviv itachakazwa na mabomu ya Hezbollah
Israel has No power to attack Iran, Even their Master US wameshawaambia kua hamuwezi zaidi mtatuingiza ktk vita bure kwani Fatilia kuhusu uchunguzi wa CIA au ata France walimwambia israel hivyo...Ikumbekwe Iran ana long range missiles capable of reaching Telaviv and many parts of Europe and these are missiles and not firecracks km za Hamas..Juzi km umesoma vyombo vya habari vya Israel wanalalamika kua now Iran is mounting Ghadir cruise missiles kwenye naval ships zake na eti hii na hatari
We mtoto wa kichaga! Acha unafiki wako.
Unamjua mtume Muhammad wewe!?
Unasema alikuwa anawachukia Waisraeli! Una habari kuwa mmoja kati ya wake zake alikuwa MUISRAELI!?
Huna adabu wala nidhamu ya kujadili!
Tabia zako na chama cha wachaga vinafanana! Kazi ni kuzua uongo tu! Kama hao wayahudi!
Na nyie mnaojifanya wayahudi kiroho ndio wazushi wakubwa!
Kwenda kapate elimu kwanza ndipo uje u comment hapa! Sio jitoto kubwaa kuandika uongo!
Huoni aibu wewe! Au uongo ni moja ya mila za wa kishumundu!
Bla bla bla!
Hina lolote ulijualo zaidi ya kuangalia hizo channel za kiyahudi na kutuletea hapa!
Wayahudi mpaka leo ni TEGEMEZI kwa wamarekani.!
Hawana uwezo wa kujiendeshea maisha yao bila kulamba makalio ya wamarekani!
Tofauti na hao waarabu ambao hawategemei msaada wa taifa llt!
Wamarekanj ni watu wa kujipendekeza kwa matajiri na ndio maana unaona wamejaa kwenye nchi za waarabu!
Na km ulikuwa huna elimu leo ndio ufahamu kuwa Saudi arabia royal family na israeli ni chanda na pete! Ndio sababu unaona hakuna la maana waarabu wamefanya mpaka sasa kuuondoa huo utawala dhalimu wa kiyahudi!
Leo hii ile familia ya kifalme ya saudia ikitoka madarakani basi wayahudi wape siku chache tu utawaka moto mkali sana pale tel aviv!
Kasome yale yalio ya kweli, sio kuangalia fox news halafu kuja kupakuwa hapa uongo wa wayahudi!
kumbe hujui kitukuhusu mashariki ya mbali
hezibolaa sio tishio hata kidogo kwa serikali ya Taifa la MUNGU.
Kila kukicha israel inaongeza mipaka hao wanaojiita hizibolaa kwa mgongo wa palestina wanabaki kulalamika tu.
Ni ajabu kusikia mwarabu analalamika,mwarabu akipata hasira yy anameza bomu anaenda kukatiza krb na jesh
siku hiz israel imeshabain mbinu zote hizo
Saudi Arabia wanalindwa sana na US na UK...hata Israel akipewa silaha nao hupewa ili kubalance...Russia na China huwaua waislam kia kukicha kwa raha zao..ila islam is a coward religion ..si unajua cowrds wanavyoua ili kutishia wengine,ila nao wakitishwa vyema huuufyata...huwa wanchezea democrasia ya Kimang`aribu iliyobase ktk judeo christian civilization.wao wanatafsiri ustaarabu kuwa ni udhaifu....wazungu wanawajua hawa hawa wajing a kila siku huwapa ubunifu mpya ili hela yao iwe na kazi, mara zote wakibaki na hela ya ziada wanawaza ugaidi tuu....israel is far superior to all muslims...hata iran anachofanya kimecheleweshwa na Israel kwa kuingiza ipurities na computer viruses waliowarudisha nyuma.
Mkuu binafsi ninamtazamo tofauti: kuwa ugomvi halisi uliopo mashariki ya kati sio kati ya Israel na Palestine bali ni kati ya US na westerners allies kwa upande mmoja Versus Russia and China kwa upande wa pili.
Uwanja wa vita umewekwa middle East. yaani ni sawa na kusema Proxy war inayoendelea kati ya US na Russia haijaisha.
Hao waarabu unaoamini kuwa wanaweza kuipiga Israel ni kwakuwa wanasaidiwa na Russia na China, hivyo na bahati mbaya technolojia ya Russia bado junior sana ukiliganishana US. Na hili limewafanya Russia kujaribu kuusapoti mpango wa kinyuklia wa Iran. US waliwahi kuwatumia Mujahidin kule afghanistan na pia kuwatumia Taliban kabla hawajatofautiana, na walifanikiwa kuizamisha Urusi. Na Russia imedhamiria kujenga urafiki na maadui wa Marekan kitu ambacho china amekuwa akikifanya several times.Na US inajenga urafiki na maadui wa China na Russia vilevile.
kinachowapa Jeuri waarabu ni kuamini kuwa Mungu yupo upande wao na atawashindia vita kinatokana na sapoti za haya mataifa makubwa. kwani wao hawana hata viwanda vya maana vya kutengeneza silaha zozote za maan,na zaidi ya zile wanazonunua. Saud arabia(Suni) wako na US na Russia wako na Iran(Shia).Na hayo mataifa hayana asili ya Uislamu ila yanajua kuwatumia kutokana na imani zao na misimamo yao. Hivi sasa waasi wa Syria wamepewa silaha za maana na US.waasi walibya walisaidwa vilevile. Waarabu walipopewa wazo la kuziunganisha ISrael na palesitine kuwa nchi moja na Gadafi, huku wakijua kabisa mipaka ya wapalestina ipo ndani ya Israel na wapalestina wanafanya kazi nchini israel. walikataa na hili la wao kukataa utakuta ni kutokana na wafadhili wao wa silaha hawakutaka na sio waarabu binafsi,.
Waarabu huwezi kuwalinganisha na nchi za korea ya kaskazini wala Japan.
US iliwahi kuikasirikia Israel pale Israel ilipoingia mkataba na China wa kuiuzia silaha na ndege za kivita, marekani aliingilia kati na kulipa fidia kubwa kwa China ili kuvunja mkataba kwani hakutaka technolojia yake iwafikie wachina.
Here is the link:
Russia and the Iranâ€"Israel proxy conflict - Wikipedia, the free encyclopedia
Palestineâ€"Russia relations - Wikipedia, the free encyclopedia
US kwa kiasi kikubwa inaundwa na Jews, ndio maana Israel kwakiasi kikubwa wanavijinasaba na US.
List of international terror groups assembled by Russia
Russian list of international terrorism published in the official daily Rossiyskaya Gazeta on July 28, 2006 contained seventeen terror groups. It included al-Qaeda, Taliban,Lashkar-e-Tayyaba and Egypt's banned Muslim Brotherhood, as well as groups linked to separatist militants in Chechnya and Islamic radicals in Central Asia but omitted both Hamas and Hezbollah. Yury Sapunov, the top official of Russian Federal Security Service in charge of fighting international terrorism, said that the list "Includes only those organizations which represent the greatest threat to the security of our country."[SUP][[/SUP]