Elungata
JF-Expert Member
- Jan 28, 2011
- 40,343
- 33,503
we mtu ujitahidi kusoma history,wakati waarabu wanaichukua jerusalem na kukalia kwa maelfu ya miakd ulikuwa wapi?,ni mpaka pale waingereza walipoingia pale kimagirini ndo wakaweza kuwapa wayahudi eneo pale middle east.kILIO CHA MATAIFA ya kiarabu siku zote ni kuikomboa jerusalem na kuhakikisha mpalestina naitwaa ardhi yote ya Israel. Baada ya kujaribu vita tano mwaka 1967 mataifa yote ya kiarabu yaliungana na kuivamia Israel. Walipigwa vibaya sana na kunyang'anywa ardhi yao nyeti kama milima ya goran na jangwa la sinai. Sasa kama kuna mwamba huko mashariki ya kati inatakiwa avae jezi za kivita na kutia mguu kuivamia Israel halafu dunia ikae kimyaa aone cha moto. Kila mara mwarabu huwa mchokozi na Israel akimliza dun ia huingilia kati m,warabu aokolewe.
Acheni mawaidha ya kitoto hakuna mwamba huko mashariki ya kati kumtisha Israel. Kama yupo basi ukweli ni kuwa ni mowga au akaikoe jerusalem na msikiti wa AL aqsa.
Pale al aqsa ndo palikua hekalu la wayahudi,sasa kama wanajiamini hao jamaa si wavunje huo msikiti?