Maneno yako ni kweli kabisa, na I wish other guys had done enough investigation about the two. Wasisahau kwamba Israeli seeks no authority to fight any body" Tazama mfano mdogo Syria wako kwenye vita za ndani kaishambulia, Sudan and many others. This means that, if at all Israel had the capability of striking Iran and demolish it, then that would be their first priority coz none does not know that Iran is a major threat to the Jewish people.As long as Syria yupo Assad Israel hawezi kumshambulia Iran.Na kama akilazimishwa Tel Aviv itachakazwa na mabomu ya Hezbollah
As long as Syria yupo Assad Israel hawezi kumshambulia Iran.Na kama akilazimishwa Tel Aviv itachakazwa na mabomu ya Hezbollah
kumbe hujui kitukuhusu mashariki ya mbali
hezibolaa sio tishio hata kidogo kwa serikali ya Taifa la MUNGU.
Kila kukicha israel inaongeza mipaka hao wanaojiita hizibolaa kwa mgongo wa palestina wanabaki kulalamika tu.
Ni ajabu kusikia mwarabu analalamika,mwarabu akipata hasira yy anameza bomu anaenda kukatiza krb na jesh
siku hiz israel imeshabain mbinu zote hizo
Maneno yako ni kweli kabisa, na I wish other guys had done enough investigation about the two. Wasisahau kwamba Israeli seeks no authority to fight any body" Tazama mfano mdogo Syria wako kwenye vita za ndani kaishambulia, Sudan and many others. This means that, if at all Israel had the capability of striking Iran and demolish it, then that would be their first priority coz none does not know that Iran is a major threat to the Jewish people.
nuclear weapons ni great deterent ya kushambuliwa.Adiosamigo
Kwanini wasema Israel seeks no authority to fight any body? Just come with up concrete reasons. Na wadhani mataifa mengine hawajui kama Iran, Lebanon na Syria ni vitisho tosha kwa Israel? Mbona hawashambulii sasa?
Israel has No power to attack Iran, Even their Master US wameshawaambia kua hamuwezi zaidi mtatuingiza ktk vita bure kwani Fatilia kuhusu uchunguzi wa CIA au ata France walimwambia israel hivyo...Ikumbekwe Iran ana long range missiles capable of reaching Telaviv and many parts of Europe and these are missiles and not firecracks km za Hamas..Juzi km umesoma vyombo vya habari vya Israel wanalalamika kua now Iran is mounting Ghadir cruise missiles kwenye naval ships zake na eti hii na hatari
Lazima ujuwe wazi katika history za duniani hakuna nchi isyo fata haki kama Israel, hakuna nchi inayo jidai mwamba kama Israel, sa umwamba wake yeye kwa Palestin tu sio kwa kina Hazbullah na Iran, hata Syria haiwezi anaishambulia Syria kwa kuwa iko kwenye vita vya ndani kwa ndani, tena mashambulizi yake ni kiasi cha kurusha makombora ya ndege na kukimbia. Israel anajua wazi kuendelea kurusha mabom kila siku Syria, itabidi Syria alipe kisasi na hicho anakiogopa.Adiosamigo
Kwanini wasema Israel seeks no authority to fight any body? Just come with up concrete reasons. Na wadhani mataifa mengine hawajui kama Iran, Lebanon na Syria ni vitisho tosha kwa Israel? Mbona hawashambulii sasa?
iron dome iliyopo israel ni ile inayodungua short range missile pamoja na na homemade rocket za hamas ingawa rate ya udunguaji bado haijafika hata 70%.Hivi kwasasa hivi ukiwa na short au long range missiles unamtisha nani? Labda nchi za Africa lakini sio ulaya wala america coz wana anti ballistic missiles na makombora mengine kwaajili ya kutungulia makombora kabla hayajafika kwenye target respectively.
Mi nadhani tishio ni kuwa na long range missiles ambazo zinabeba nukes kitu ambacho Iran kwasasa hana. Kingine Israel hawezi kuishambulia Iran kama USA hayuko tayari maana kitendo cha Israel kuishambulia Iran kitaiamsha Russia ambaye ni rafik wa Iran na USA + NATO's members hawatakuwa tayari kuona Rassia akimobilize jeshi lake against Israel.
Kiufupi dunia haiko tayari kuona WWW 3 ikitokea na uwoga huu unaletwa na umilikaji wa Nyuklia bombs kambi mbili tofauti.
Mkuu inawezekana wewe ndo hujui zaidi yangu.
Hivi unadhani Israeli Defence Force(IDF) ilienda kufanya nini southern Lebanon mwaka 2006?
Kama Hezbollah is not an existential threat to Israel kwanini Southern Lebanon ilivamiwa?
Na kwa taarifa yako tu Israel ilishindwa ku neutralize Hezbollah threat katika ile vita mbaka wakaomba cease fire!!!
Usiandike mambo usiyofahamu mkuu
Hivi kwasasa hivi ukiwa na short au long range missiles unamtisha nani?
Ant ballistic missile sio 100% ku intercepts..na ikumbukwe tech inakua kila siku na once ballistic missiles zinapokua fired at the sametime kwa wingi hizo interceptors either Arrow, S-300,iron dome,sayad2,etc haziwez fua dafu na ikumbukwe kua hazina 100% za kutungua hostile missile...Na huwezi jua upande wa IRAN km hawana nuclear deterrent same as North Korea kwani wanashirikia kwa muda na kwa siri san
Not true..:A S 13:As long as Syria yupo Assad Israel hawezi kumshambulia Iran.Na kama akilazimishwa Tel Aviv itachakazwa na mabomu ya Hezbollah
Not true..:A S 13: