apakak
JF-Expert Member
- Dec 2, 2012
- 896
- 662
Mkuu unaweza kuelezea kwa umakini zaidiMkubwa Tel Aviv hawawezi wote,sio Hamas wala Hezbollah!! Waulize PLO
Mkuu unaweza kuelezea kwa umakini zaidiMkubwa Tel Aviv hawawezi wote,sio Hamas wala Hezbollah!! Waulize PLO
Wakuu hivi hizi nchi mbona hazishambuliani? Lakini kila baada ya muda fulani utasikia wameanza vita vya media.Tatizo nini zinaogopana au kuna some thing behind the scene?
Israel wanatumia strategies nyingi kupambana