Ni kweli, A-Level Azania walikuwa vibonde. Lakini O-Level ni vizuri umekubali Tambaza walikuwa wanateswa.
Kulikuwa na pointi saba Azania kila mwaka, Abdil Rashid, Frank Minja, Omary Mtiga... just being objective
Yani mmekaa mnaanza kusifia ule ugangwe wa kipuuzi wa kufanya fujo? Duh!! kweli waafrika ndivyo tulivyo.
GT kasoma wapi? anasema yeye mtoto wa mjini shule zoote za town hayumo....IST miaka yoote niliosoma pale sikuwahi kuona shekhe yeyote
SteveD
Kuna mwalimu anaitwa Kweka, unamjua na bado yupo Tambaza?nilihudhuria twishen zake!
Halafu, bora kuliwekwa ukuta kati yenu(Tambaza) na Muhimbili primary mana mlikuwa wachokozi na uwanja wetu wa basketbal/netbal/futbal.
Dar, kuna mwalimu mmoja pale Muhimbile P.Sch. alikuwa mashuhuri sana kwa elimu, ni mwanaume, naomba unikumbushie jina pls...
Zile shule zilitakiwa ziwe pamoja... shared pitches and everything. Hata majengo yake yanafanana!! Wakina John Kisomo iliwabidi watumie viwanja vile Belinda... lasivyo Vijana Basketball club isingekuwa na stars kama wale enzi zile.... lol. viwanja tulitakiwa ku-share vile my dear.
Dar, kuna mwalimu mmoja pale Muhimbile P.Sch. alikuwa mashuhuri sana kwa elimu, ni mwanaume, naomba unikumbushie jina pls...
Zile shule zilitakiwa ziwe pamoja... shared pitches and everything. Hata majengo yake yanafanana!! Wakina John Kisomo iliwabidi watumie viwanja vile Belinda... lasivyo Vijana Basketball club isingekuwa na stars kama wale enzi zile.... lol. viwanja tulitakiwa ku-share vile my dear.
Kama shule yenye wanafunzi iliyokuwa ikiongoza kwa wanafunzi wenye nicknames ni ile.
Mara ya kwanza niliposoma comments zake nilifikiri ni mtu wa Kinondoni Muslim, lakini kila nilipoendelea yawezakana kabisa mazee yule alisoma ile shule ya Almuntanzir pale Upanga... sijui kama spelling nimepatia. Ni shule fulani hivi wanafunzi wake walikuwa hawawezi kukatisha barabara pale UN road bila msaada kutoka kwa traffic police kutoka Salander bridge. Wanafunzi wa kike walikuwa wanavaa full cover, dizaini dizaini zile mtu unaweza kukutana nazo ukiwa Kabul.
KadaMpinzani naye nahisi alisoma shule hiyo... ngoja aje hapa a-substantiate... lol
hahahhahahaah Yo Yo nilikuwa PCB ,unachikesha unaposema ulikuwa unatuona machizi tu, coz viceversa is true. Yo Yo weee unaonekana mtoto wa mama sana wale akina ' ze u know war am sayin? or kudo kudo this kudo that............., mtu kama wewe ukija TAMS lazima tukutimuee pale wagumu tuuu mambo ya kuimba nyimbo za RKelly na MJ hakuna pale watu wanaimba nyimbo Bob Marley , Alpha Blond , Lucky Dube na wengineo.......hahhaha najua utanimind kichizibibie ilikuweje ukasoma combination ngumu namna hio? PCB CBG unaonekana shori wa HKL HGK KLF hivi........
ila tambaza walikuwa machizi tu.....kujifanya magangwe gangwe usela wao ulizidi...kuna kijamaa kimoja eti alikuwa anajiita killer one......ukimuuliza kaua wangapi hata mbu hajaua.....
...kuna moja ya mashindano flani hivi ilikuwa mechi kati Tams na Pugu tukaenda kuchezea kwao Pugu , tuliwafunga mpira wa kikapu na wa miguuuu eee bwanaeeee tulimwagiwa UPUPU wacha tukimbizane tukimbilie gari(Costa) tuliokuja nalo ....
wee hebu tupishe hapa! we're talkin bout stuffs done when we were teenagers...too ashamed au hukupitia hiyo stage?? kama wewe ulipokuwa form two ulikuwa na miaka 22 tayari, huo mzigo usitake kututwisha sisi. kama wewe shule yenu was a bunch of mommy's boy woosies then u can talk about that too, kama mlikuwa mnafungwa bib na kunyweshwa maziwa mkiwa form three basi wewe ongelea hilo, labda kuna wengine wapo wanaoshare experience kama hiyo. if you're too shy to recount ya stuffs on this thread, feel free to start a new one. Btw, if you don't mind, shule gani vile tena ulisoma secondary?!
Tambaza ilikuwa na best teachers na wanafunzi wake walikuwa top performers. Hili halina ubishi. Kuna mwalimu gani tena mwingine alikuwa top Dar na Bongo kwa geography ukiachilia mama Msuya? Nitajie....!! Practicle gani nyingine ya chemistry na biology Bongo ilikuwa top class ukiondoa iliyofanyika kwenye laboratories za Tambaza? (Physics sawa, hatukujaliwa sana, some of us had to go kwa mwalimu Mkichwe pale Jangwani). But as Tambaza stands, kila leo tulikuwa tunaona wanafunzi kutoka Shabaan Roberts, Aghakhan Mzizima, watoto kutoka boarding schools kila walipofunga walikuwa lazima wajiandikishe tuition pale. n.k.. wakimiminika kwenye corridors za ATC, what another encounter could better elaborate the academic performance of Tambaza??!