Tamati Katoto Kazuri ninaiweka

Tamati Katoto Kazuri ninaiweka

Baada yakukupa mpaka ukakimbia na boxer mkononi ndio unakuja huku na mbwembwe au sio wewe ulinitumia nauli nije nikutulize roho.
Baada ya kudata na picha zangu.
Ukaona hata nauli ya safari kubwa unaweza kulipa nije huko sasa .
Nimekuja huko ukaanza na makeke ila mwisho wake ukakimbia mapigoo.
[emoji16][emoji16][emoji16]
 
Hii taasisi ya ndoa kabla hujaingia huwezi jua changamoto zake, ukiingia ndio unajionea ambayo kabla hujawahi kuyafikiria yapo
Dah pole sana mam, matatizo yapo siku hazifanani hata vikombe vinagongana
 
Umewahi waza kuwa mpo sebuleni na mwenza wako lkn hakuna kumsemesha mwenzio....mpo kimya kila mtu anawaza yake
Niliwahi kuwa na mtu mmoja tukaishi wote kwa muda tu ila shida ni malaya.
Mnapigana mnasameana.
Ila mkipigana hata mnalala pamoja huku kila mtu amegeukia upande mwingine.
Asubuhi ububu unaendelea ila unajua shida nini mwanaume hawezi kaa bila k so atajikomba tu.
Au wewe uwe na mahitaji yako hujawahi pigana halafu mkae kama siku tatu y nne wewe unaanza kudai haki yako unakuta hakuna choice lazima uvue.
 
Ok, kumbe una eksipiriensi, kwa hiyo bila shaka utaingia kwenye ndoa ukijua unaenda kukutana na mambo/vituko gani....kila la kheri mkuu
Niliwahi kuwa na mtu mmoja tukaishi wote kwa muda tu ila shida ni malaya.
Mnapigana mnasameana.
Ila mkipigana hata mnalala pamoja huku kila mtu amegeukia upande mwingine.
Asubuhi ububu unaendelea ila unajua shida nini mwanaume hawezi kaa bila k so atajikomba tu.
Au wewe uwe na mahitaji yako hujawahi pigana halafu mkae kama siku tatu y nne wewe unaanza kudai haki yako unakuta hakuna choice lazima uvue.
 
Hii taasisi ya ndoa kabla hujaingia huwezi jua changamoto zake, ukiingia ndio unajionea ambayo kabla hujawahi kuyafikiria yapo
Yeah mie ni mdau sana wa hizo changamoto. Ndoa iko complex inahitaji mtu imara sana
 
Hahahahaaa mkuu sijasema mtu wng mbona unanilisha maneno.
Hapa jukwaani kila mtu ana uhuru wa kupost chochote anachojisikia, muhimu asivunje taratibu za jf.
Kuhusu matusi hakuna mtu ambae ataanza kukutukana tu bila ya kua na sababu, nikuombe tu usimuattack ukiona mada zake au michango yake haikufurahishi basi unatafuta thread nyngn, mkuu wewe ni mwanaume hivyo haipendezi kujibizana sana watoto wa kike.
Ndo maana nikakuita mtafuta K kwa kutafuta hisani. Hapa kuna watu wakepata wake na wengine michepuko. Hapa ni uwanja huru pia kwa kurekebishana. Sitaacha kumsaidia kumrekebisha ili wakati ukifika insha allah afanikishe. Nakutakia mafanikio mema jitahidi huenda ukapata unachosololea.
 
Back
Top Bottom