katoto kazuri
JF-Expert Member
- Feb 10, 2018
- 6,126
- 5,762
- Thread starter
- #21
Hahahaa weweeeSasa why quote kutoka kwa huyo joanah uilete kwa uzi wa katoto kazuri?tena yeye anahitaji kuolewa,sio kuoa
Hahahaa weweeeSasa why quote kutoka kwa huyo joanah uilete kwa uzi wa katoto kazuri?tena yeye anahitaji kuolewa,sio kuoa
Kwani hutaki mume??Hahahaa weweee
Sasa why quote kutoka kwa huyo joanah uilete kwa uzi wa katoto kazuri?tena yeye anahitaji kuolewa,sio kuoa
Acha kumsema mtu vibaya sio lazima nipate wanaume humu kutoa hili bango sio lazima nahitaji mtu humu.Sasa anayehitaji kuolewa ana maamuzi? Yeye hasubiri tu mpk zoezi likamilike ndo atamatishe. Otherwise jinsia yake ina mashaka.
Namtaka ndio tena seriousKwani hutaki mume??
Kwani mtu anayehitaji kuolewa hana maamuzi?kwanini?Sasa anayehitaji kuolewa ana maamuzi? Yeye hasubiri tu mpk zoezi likamilike ndo atamatishe. Otherwise jinsia yake ina mashaka.
Mwambie eti ndio haya maamuzi sasa naanza kuyaamua.Kwani mtu anayehitaji kuolewa hana maamuzi?kwanini?
Kuna uzi Zero IQ alisema anakupendaNamtaka ndio tena serious
Kwanini unampa pole?Sijauona kabisa dah pole zake
Kweli eh ila ndio hivyo katoto kazuri najitahidi sana niwe nimefunga chapter ya usingle lady niwe double .Wanaume wa humu ni slow learner sana. Kwahiyo muda wote wanajifanya hawajakuelewa?
[emoji106][emoji106][emoji106][emoji106][emoji106][emoji106]Kwanini unampa pole?
Humpendi ama?
Kwani mtu anayehitaji kuolewa hana maamuzi?kwanini?
Najua mtanisema sana ila ninaona nimefikia tamati sitaki tena ubachelor nichoka kuishi ado ado kama mtoto wa paka aliyepotea soon nitajitahidi niwe double .
Sijui nyie wenzangu.
Probability ni kitu cha ajabu sana hata ikiwa ni 0.00000000001% si sawa na 0. Hiyo 0.00000000001% yaweza finally kuwa 100%.Humu kutarajia kupata sijui asilimia 2%
Oh.....
Najua mtanisema sana ila ninaona nimefikia tamati sitaki tena ubachelor nichoka kuishi ado ado kama mtoto wa paka aliyepotea soon nitajitahidi niwe double .
Sijui nyie wenzangu.
Hahaaha haya bhana mmh hata niwaeleweshe hamtanielewa .Tuliyajua haya na wazee wa fursa tushakusikia .....ombi usiwe mzito kutoa namba huko pm