ze-dudu
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 18,696
- 24,743
Na pm umefunga
Hahaaha haya bhana mmh hata niwaeleweshe hamtanielewa .
Hahaaha haya bhana mmh hata niwaeleweshe hamtanielewa .
nashangaa na ushamba wangu binamu....Binamu siyo kwa mguno huo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
anakushinda wewe?Hahahhaha yani napendaga tu unavyojiachiaaa[emoji23][emoji23][emoji23]
nashangaa na ushamba wangu binamu....
aisee... yaani nazeeka na ushamba wanguPolee sana hii ndo jf
anakushinda wewe?
aisee... yaani nazeeka na ushamba wangu
Humu kutarajia kupata sijui asilimia 2%
Hadi nimerudi kutoka "Banninghum" bado upo "single-file" mheshimiwa mbunge?Najua mtanisema sana ila ninaona nimefikia tamati sitaki tena ubachelor nichoka kuishi ado ado kama mtoto wa paka aliyepotea soon nitajitahidi niwe double .
Sijui nyie wenzangu.
Achanganyikiwe mara mbili?Maamuzi mazuri,jipigie makofi.Ukiishi mwenyewe mwenyewe unaweza kuhisi kuchanganikiwa
Wengine tunataka kutoka wewe unata kuingia. Kila la kheri
kweli......Anashinda tabia huyuu katoto
Kuchoka tu baba[emoji19]kwaito bado sijachezaKwanini utoke sasa kwenye kisiwa cha huba, ama hukucheza kwaito kwa mbwembe mama
Mmh, huridhishwi au michosho inakujajeKuchoka tu baba[emoji19]kwaito bado sijacheza
Naridhishwa ila kuna muda mnazingua. Na mapenzi ni zaidi ya kuridhishana.Mmh, huridhishwi au michosho inakujaje
Dah pole sana mam, matatizo yapo siku hazifanani hata vikombe vinagonganaNaridhishwa ila kuna muda mnazingua. Na mapenzi ni zaidi ya kuridhishana.
Hivi wewe unayevuka mpaka tofautisha ila kama wewe unaakili timamu.Achanganyikiwe mara mbili?
Huyu si nio yule aliyemaliza mwaka hajatongozwa kichwa kikamruka akavamia jukwaa na kuandika mada kuwa Tanzania hakuna wanaume?
Ahsante[emoji4]Dah pole sana mam, matatizo yapo siku hazifanani hata vikombe vinagongana