Tamati Katoto Kazuri ninaiweka

Tamati Katoto Kazuri ninaiweka

Hivi wewe unayevuka mpaka tofautisha ila kama wewe unaakili timamu.
1.tofatisha kusema nimefika tamati kuwa single ni kwamba tayari analengo fulani na ndio maana anasema kwa maana hataki nyenyenye.
2.Mtu akisema hivyo ujue ameona kuwa hatokuwa single tena kuna mahali atafanywa double.
3.kwani huyo aliyeandika wanawake hawapo Tz yeye ndio anaakili .
Acha hayo madharau naunafiki utakufikisha kibaya tena hujanikuta leo nimepinda na raha zangu.
Kwa hali uliyonayo, sitashangazwa na matusi yeyote na mapovu. Najua ilivyo misongo ya kukataliwa, inaharibu sana uwezo wa mtu kutulia kiakili.
 
Double double na baharia wetu Zero IQ itapendeza sana![emoji1][emoji1][emoji1]
Baada yakukupa mpaka ukakimbia na boxer mkononi ndio unakuja huku na mbwembwe au sio wewe ulinitumia nauli nije nikutulize roho.
Baada ya kudata na picha zangu.
Ukaona hata nauli ya safari kubwa unaweza kulipa nije huko sasa .
Nimekuja huko ukaanza na makeke ila mwisho wake ukakimbia mapigoo.
 
Kwa hali uliyonayo, sitashangazwa na matusi yeyote na mapovu. Najua ilivyo misongo ya kukataliwa, inaharibu sana uwezo wa mtu kutulia kiakili.
Shauri yako baki na nyegezi zako.
Huo mpango sina anyways na vitu vyakufanya.
 
Unatafuta k ya huruma? Pole Malaya ni Malaya tu
Hayo ni mawazo yako tu.
Mimi na katoto chocolate tunafahamiana kabla hata ya kujiunga jf.
Mnapenda kumchafua sana katoto kazuri lkn ni miongoni mwa mabinti wastaarabu na wanaojiheshimu sana.
 
Hayo ni mawazo yako tu.
Mimi na katoto chocolate tunafahamiana kabla hata ya kujiunga jf.
Mnapenda kumchafua sana katoto kazuri lkn ni miongoni mwa mabinti wastaarabu na wanaojiheshimu sana.
Waambie hao
 
Hayo ni mawazo yako tu.
Mimi na katoto chocolate tunafahamiana kabla hata ya kujiunga jf.
Mnapenda kumchafua sana katoto kazuri lkn ni miongoni mwa mabinti wastaarabu na wanaojiheshimu sana.
Kama kweli ni mtu wako mweleze aache kupost maandiko ya kiumalaya! Aidha mdhibiti aache matusi ya kichangu. Heshima ya mwanaume hupewa na mwanamke. Ukidate changu utaonekana nawe ni wa hovyo.
 
Kama kweli ni mtu wako mweleze aache kupost maandiko ya kiumalaya! Aidha mdhibiti aache matusi ya kichangu. Heshima ya mwanaume hupewa na mwanamke. Ukidate changu utaonekana nawe ni wa hovyo.

Hahahahaaa mkuu sijasema mtu wng mbona unanilisha maneno.
Hapa jukwaani kila mtu ana uhuru wa kupost chochote anachojisikia, muhimu asivunje taratibu za jf.
Kuhusu matusi hakuna mtu ambae ataanza kukutukana tu bila ya kua na sababu, nikuombe tu usimuattack ukiona mada zake au michango yake haikufurahishi basi unatafuta thread nyngn, mkuu wewe ni mwanaume hivyo haipendezi kujibizana sana watoto wa kike.
 
Back
Top Bottom