Mfwatiliaji
JF-Expert Member
- Oct 5, 2007
- 1,322
- 70
Makamanda wa CDM waliopo ni Mwenyekiti taifa-Mbowe,
Mbunge Arusha mjini -G. Lema,
Mbunge wa viti maalum-Grace Kiwelu na wengine wengi.
Maana hakuna KIJIJI TANZANIA HII AMBACHO HAWATAKANYAGA...
Na kisha kuondoka leoleo USIKU kurudi Dar...NI KAZI KUBWA JAMANI NA INATAKA MOYO.
Safi maana hapo mwamko wa wananchi utakuwa ni mkubwa sana hasa maana anazidi kukitangaza na kunadi sera za chama
Hakuna kazi wala gharama kama wananchi wameamua....wataalam wa mambo hayo wamo humu wa kutosha tu, cha muhimu ni kupanga mikakati vizuri...
pj, leo umefanya kazi nzuri sana nitakugonge li-thanks maana kwa sasa dowans wanafanya kazi yao..sikujua kama kuna tamasha makumira naamini ningekuwepo huko
wakuu Arusha tunawapongeza sana. Punde tutaomba mchango wa mawazo namna tutakavyofanya tamasha la historia la cdm hapa moro. litahusisha vyuo vya SUA, MZUMBE, ST. GASPER, KIGURUNYEMBE na MUSLIM UNIVERSITY OF MOROGORO.