Tamaduni Music tatizo lao ni nini?

Tamaduni its about reality,wanaimba wanachoamini wanaweza na kupenda,kwani baadhi ya mcs wameacha asiki zao ili wahit,hawa madogo hilo wamekataa,uzuri ni kwamba wanaishi kama family na kushirikiana kwa karibu

Hivi mkuu, mtu unapofanya biashara fulani then ukaona haina maslahi na wewe nini unachotakiwa kufanya mkuu...?.

Kuacha biashara usifanye...?, kuboresha biashara yako hiyo hiyo ili upate wateja...?, au kubadilisha na kujaribu biashara nyingine kuangalia upepo utaendaje mkuu...?.

Na pia, music watu hufanya ili mwisho iwe vipi ili iwaingizie kipato waweze kuishi maisha yao au wanatoa tu pesa ili wafanye mziki na kutotaka kuingiza chochote mkuu...?.

Tusaidiane katika hilo ili kuweza kuwapa ushauri vijana waweze kujua ni nini kifanyike ili waweze kufaidi matunda ya mziki (KAZI YAO KAMA WANAFANYA KAMA KAZI) ili nao wapige hatua.

Hebu tusaidiane kupeana mawazo katika hili mkuu.

SHUKRAN.
 
Ni kweli kabisa mkuu,ila kwa wale madogo nadhani kwao kubadilika sio rahisi,sababu kwa mfano alivyochange joh makin from ile hip hop ya Hao hadi hii ya saa hizi sio kila mtu ataweza,sidhani kama tamaduni wanaweza adopt hio hali ya kuchange na kucope na commercial,naamini hakuna anayependa umaskini,lazma wangechukua hatua
 
Joh noma sana, kachange na kaongeza mashabiki
 
Ni kweli kabisa mkuu,ila kwa wale madogo nadhani kwao kubadilika sio rahisi,sababu kwa mfano alivyochange joh makin from ile hip hop ya Hao hadi hii ya saa hizi sio kila mtu ataweza,sidhani kama tamaduni wanaweza adopt hio hali ya kuchange na kucope na commercial,naamini hakuna anayependa umaskini,lazma wangechukua hatua

Ndio mana kikaitwa KIPAAA G.

Kipaji kinahusisha creativity mkuu ni lazma utazame wateja wanataka bidhaa gani sokoni.

Ndio, hawawezi basi kubadilika lakini basi kwa nini wasijaribu japo kuchanganya ladha ili waweze kuendana na mziki wao wa kibongo mkuu.

Sisemi wafanye kama KIMBUNGA LAA HASHA. Ila kuna ladha flani wanaweza wakaweka ukijumuisha beats wanazotumia angalau waweke vionjo flani hivi isiwe ile ngumu kupitiliza ili kufurahisha MASELA TU wakati mwisho wa siku hao hao masela hautakuwa nao utakapokuwa huna kitu na hata support yao pia ni ndogo kufanya msanii apige hatua naongea hivi kwa experience mkuu.

Vuta mfano wa Jay Z na Nas utapata picha mkuu. Si kwamba sipendi wanachokifanya ila sipendi wanachokipata kutokana na kile wanachokifanya. Coz wanachokipata kutokana na kile wanachokifanya ni kidogo na hakiendani na mahadhi na kazi zinazofanywa kutokana na mikono yao mkuu.

By the way, kila mtu ana maamuzi ya kufanya anachotaka kufanya kwa sababu tumepewa UTASHI NA UPEO wa kufkiri, itakuwa sisi ni BINADAM WA AJABU SANA kama tutashindwa kutumia UTASHI NA UPEO HUU katika kutuletea maendeleo mkuu.

AHSANTE.
 
Seriously..... I do not know these guys.
 
Naungana na wewe asilimia 100 waboreshe midundo na mashairi,am sure watafanikiwa,lakini na support ya media muhimu,stereo alichukuliwa na AY na akatoa hadi video kali bt hakufanikiwa,karudi kule kule tamaduni na anafanya ngumu kama kawa,ila mawazo yako nimeyapokea na kuyaelewa
 
Ndio mana kikaitwa KIPAAA G.

Kipaji kinahusisha creativity mkuu ni lazma utazame wateja wanataka bidhaa gani sokoni.

Ndio, hawawezi basi kubadilika lakini basi kwa nini wasijaribu japo kuchanganya ladha ili waweze kuendana na mziki wao wa kibongo mkuu.

Sisemi wafanye kama KIMBUNGA LAA HASHA. Ila kuna ladha flani wanaweza wakaweka ukijumuisha beats wanazotumia angalau waweke vionjo flani hivi isiwe ile ngumu kupitiliza ili kufurahisha MASELA TU wakati mwisho wa siku hao hao masela hautakuwa nao utakapokuwa huna kitu na hata support yao pia ni ndogo kufanya msanii apige hatua naongea hivi kwa experience mkuu.

Vuta mfano wa Jay Z na Nas utapata picha mkuu. Si kwamba sipendi wanachokifanya ila sipendi wanachokipata kutokana na kile wanachokifanya. Coz wanachokipata kutokana na kile wanachokifanya ni kidogo na hakiendani na mahadhi na kazi zinazofanywa kutokana na mikono yao mkuu.

By the way, kila mtu ana maamuzi ya kufanya anachotaka kufanya kwa sababu tumepewa UTASHI NA UPEO wa kufkiri, itakuwa sisi ni BINADAM WA AJABU SANA kama tutashindwa kutumia UTASHI NA UPEO HUU katika kutuletea maendeleo mkuu.

AHSANTE.
 
Miss beautful ulishaiskiza Mzee ?..ya uno ambayo haina chorus
mkuu inaitwa mlimbwende "minapenda uko simple, fresh/ dimple kwenye face/ ni zaiid ya mwanamitindo yako maringo na shape" by moko wa miujiza straight from tamadun muzik
 
Hivi mkuu, mtu unapofanya biashara fulani then ukaona haina maslahi na wewe nini unachotakiwa kufanya mkuu...?.

Kuacha biashara usifanye...?, kuboresha biashara yako hiyo hiyo ili upate wateja...?, au kubadilisha na kujaribu biashara nyingine kuangalia upepo utaendaje mkuu...?.

Na pia, music watu hufanya ili mwisho iwe vipi ili iwaingizie kipato waweze kuishi maisha yao au wanatoa tu pesa ili wafanye mziki na kutotaka kuingiza chochote mkuu...?.

Tusaidiane katika hilo ili kuweza kuwapa ushauri vijana waweze kujua ni nini kifanyike ili waweze kufaidi matunda ya mziki (KAZI YAO KAMA WANAFANYA KAMA KAZI) ili nao wapige hatua.

Hebu tusaidiane kupeana mawazo katika hili mkuu.

SHUKRAN.
kwani ni nani alisema kila mtu akitoa ngoma kwamba ametoa ili imlipe?, hawa jamaa mm nawaelewa sana mziki wao ni zaidi ya darasa ukitaka kuamini hayo wasikilize kwenye wimbo wao wa AMKA MTANZANIA, ni hv wao wameamua kufanya muziki wa aina ile no matter inawawalp
 
Kwani mtu akikosea ukimchana ndo hutakiwi kuingea nae?...cha msingi umewaambia ukweli media ndo uti wa mgongo wa shughuli zao Mzee me nawapongeza kwa kuwa na uthubutu wa kuwasema haswa wanapozingua na hiyo ndo hip-hop...no beef wanawaelekeza wanapoteleza japo maneno wanayotumia ni makali.
zima by nash mc
 
"wanadata mapaparazi na mabishoo/ napataje doo, na sitangazwi kwenye mashow/ wanaulizana nayapata wap mafao/ kumbe ukitoa rap mi nina HARAKATI kibao" by p the mc
 
Ndio mana kikaitwa KIPAAA G.

Kipaji kinahusisha creativity mkuu ni lazma utazame wateja wanataka bidhaa gani sokoni.

Ndio, hawawezi basi kubadilika lakini basi kwa nini wasijaribu japo kuchanganya ladha ili waweze kuendana na mziki wao wa kibongo mkuu.

Sisemi wafanye kama KIMBUNGA LAA HASHA. Ila kuna ladha flani wanaweza wakaweka ukijumuisha beats wanazotumia angalau waweke vionjo flani hivi isiwe ile ngumu kupitiliza ili kufurahisha MASELA TU wakati mwisho wa siku hao hao masela hautakuwa nao utakapokuwa huna kitu na hata support yao pia ni ndogo kufanya msanii apige hatua naongea hivi kwa experience mkuu.

Vuta mfano wa Jay Z na Nas utapata picha mkuu. Si kwamba sipendi wanachokifanya ila sipendi wanachokipata kutokana na kile wanachokifanya. Coz wanachokipata kutokana na kile wanachokifanya ni kidogo na hakiendani na mahadhi na kazi zinazofanywa kutokana na mikono yao mkuu.

unataka wabane pua au unatakaje? what's ur point?
 
ila hawa jamaa wanaongoza sana kwenda kwa Madiba..mhh na shoo za huko hatuzionii..au ndo wanafanya yale mambo yetu nini
 
umenkumbusha mstari mmoja wa sterio anakwambia "sterio madiba, sterio mandela/ sihitaji police nalindwa na sapoti ya masela" by the way nash mc ndo anapenda sana kwnda sauzi nafkir ni kwaajiri ya show zaidi hlo la ngada sina hakika nalo ila kwa hawa wasanii we2 wa kibongo LOLOTE LAWEZEKANA!!!.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom