Tamaduni Music tatizo lao ni nini?

Hip hop halisi haipo kimaslah Ila IPO kufikisha ujumbe na kufundisha jamii jambo fulan bora. So nafikir ukitafakari hii comment utanielewa na utawaelewa na swali lako litakuwa limejibika
 
Hawa jamaa wapo vizuri sana kwa mtazamo wangu naona tatizo ni management na kukosa promo lkn wapo vzr sana na hapa bongo hiphop ya kwel ipo tamaduni music
 
Hip hop halisi haipo kimaslah Ila IPO kufikisha ujumbe na kufundisha jamii jambo fulan bora. So nafikir ukitafakari hii comment utanielewa na utawaelewa na swali lako litakuwa limejibika
Kwani Hip Hop halisi ikoje na isiyo halisi pia ikoje?
 
kwani ni nani alisema kila mtu akitoa ngoma kwamba ametoa ili imlipe?, hawa jamaa mm nawaelewa sana mziki wao ni zaidi ya darasa ukitaka kuamini hayo wasikilize kwenye wimbo wao wa AMKA MTANZANIA, ni hv wao wameamua kufanya muziki wa aina ile no matter inawawalp
Kama wameamua kufanya bila kujali mafao mbona huwa wanalalamika na kudai wanabaniwa kwenye tungo zao?
 
Kunachowafanya jamaa wakwame ni kung'ania misingi ambayo hawajui chimbuko lake.Muziki ni kazi pia ni biashara so sitegemei kuona mfanyabiashara anayelazimisha kuuza bidhaa kwa Wateja ambao wanahitaji bidhaa tofauti na ya kwake.We must accept changes cuz misingi inategemea na wakati.
 
tatizo tamaduni wanataka kujifanyaga wenyewe peke yao ndo wanafanya hihop hapa tz..nyimbo zao watakuwa wanasikilizia geto tuu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom