Tamaduni huchochea tabia za watu. Unaposema kabila Fulani linawatu wenye tabia mbaya kama umalaya au roho mbaya. Jiulize; je tamaduni zao zinachochea

Robert Heriel Mtibeli

JF-Expert Member
Joined
Mar 24, 2018
Posts
34,054
Reaction score
79,399
Hamjambo!

Imekua desturi kumsikia MTU akisema Kabila Fulani Malaya Sana. Au kabila fulani wachawi Sana. Au kabila Fulani Wana roho mbaya.

Kabla ya kutoa hitimisho kuhusu tabia za watu wa jamii Fulani lazima ujiulize Maswali yafuatayo;

1. Je tabia asili yake ni ipi?
2. Je mambo gani huathiri tabia ya mtu au watu?
3. Je tamaduni, Mila na desturi zinamchango kiasi gani kwenye tabia za watu.

Tabia huwa za kuzaliwa(Silika) na tabia za kujifunza au kufundishwa(Hulka).
Silika(nature) haibadiliki kwani ni unique character inayobeba utambulisho wa kiumbe kumtofautisha na viumbe wengine.

Hulka( Nurture) hii hutokana na malezi, makuzi, muingiliano wa watu, mabadiliko ya teknolojia, wakati n.k.
Hulka mtu hujifunza au kufundishwa, hii hutofautisha Makundi ya viumbe katika Jamii moja.

Anhaa! Kwa hiyo Silika hutofautisha kiumbe cha jamii moja na kiumbe cha jamii nyingine. Kama Nyani na Simba.
Au Kuku na Bata.

Wakati Hulka hutofautisha makundi ya viumbe waliokatika Jamii Moja.
Mfano Simba wa Mikumi na Simba wa Manyara. Wote ni Simba lakini wanaweza kuwa na tabia (hulka) tofauti lakini Wanasilika Moja.

Au Simba jike na dume.
Kumaanisha jinsi inaweza athiri hulka ya kiumbe lakini haibadili silika yake.

Hulka ya watu wa Pwani inaweza kupishana na watu wa Bara.
Lakini Swali linakuja, je watu wote wa Pwani Duniani wanafanana tabia? Yaani ukimchukua Mzaramo wa Dsm ukamchukua na Mbrazil wa Ipanema au Copacabana watafanana tabia?
Jibu likaweza kuwa ndio au hapana.

Mazingira huathiri tabia (hulka) ya mtu lakini tamaduni huathiri zaidi.
Lakini Silika ndio kitovu kikuu cha tabia ya kiumbe.

Unaposema tabia ya kabila fulani ni Roho mbaya. Lazima uangalie Je utamaduni wap, Mila na desturi zao zikoje.

Elewa, Mila na desturi na tamaduni hutungwa na kuwekwa kwa kuzingatia nature (silika) ya kiumbe.
Elewa, ingawaje silika ya kiumbe huwa moja lakini Akili huweza kuwa tofauti, mazingira tofauti ambayo huwafanya makundi ya watu kutofautiana.
Tofauti ya vinasaba huchangia pia utofauti wa kihulka.

Unaposema kabila Fulani ni Malaya na linapenda ngono angalia, utamaduni na Mila zao je ukoje?

Kama kuna magonjwa ya zinaa, angalia kiwango cha uambukizaji.

Angalia kiwango cha migogoro ya kifamilia inayotokana na usaliti wa mapenzi.

Angalia ndoa za mitala.

Angalia Idadi ya single mothers wanaozaa kabla ya kuolewa.

Angalia kiwango cha watoto waliobambikizwa.

Angalia kiwango cha wanawake na wanaume wenye umri wa kuolewa au kuoa na hawajafanya hivyo.

Kama ni Roho Mbaya,
Angalia kiwango cha dhulma katika Jamii husika. Utapeli, kuonea mayatima na wajane.

Angalia kiwango cha dhulma za Mali, viwanja, mashamba.

Angalia kiwango cha wizi, ujambazi, mauaji.

Angalia kiwango cha Mila potofu, iwe zinazodhuru wanawake, watoto au watu wenye makundi Maalum.

Angalia uwajibikaji wa wanaume na wanawake. Kama mmoja anamnyonya mwingine kwa kiwango cha juu. Hapo roho mbaya ipo.
Mfano, Jamii ambayo mwanamke anataka kupewa tuu na kuhudumiwa tuu huku yeye kakaa tuu. Ni jamii yenye roho Mbaya. Utashuhudia unyanyasaji na ukatili kutoka katika jamii hizo.
Roho mbaya ni pamoja na utegemezi na kutegea. Kutowajibika.

Acha nipumzike sasa!

Robert Heriel
Taikon Master
Kwa Sasa Dar es salaam
 
Sawa sawa kabisaa hizi ndo mada zako,. Ulitumbukia kwenye siasa accidentally
 
Yatupasa kusoma na kujifunza kitu kinachoitwa Ujumi (Aesthetic) yaani falsafa ya uzuri au ubaya.

Kitu kinaweza kuwa kibaya kwa mtu mmoja na kitu hicho hicho kikawa kizuri kwa mtu mwingine kulingana na hisia za mtu kuhusu kitu fulani, faida anayoipata kutoka kwenye kitu hicho kwa mfano kwa jambazi bostola inaweza kuwa kitu kizuri kwani inamnufaisha katika matendo ya kihalifu.

Sababu nyingine ni idili za jamii. Katika baadhi ya jamii ni jambo zuri wanawake Madera pasipo na chupi ndani na kuyatingisha makalio yao kisawasawa wanapokuwa kwenye mdundiko bila kujali kama watoto wao wanaona ama la, katika jamii au makabila mengine hili jambo huchukuliwa kuwa ni kibaya kutokana na makubaliano walijiwekea.
 
Umenena vizuri Sana
 
Sometimes tabia za makabila huchangiwa na uoto asili,hali ya hewa na hata upatikanaji wa resources wanapotoka kwa mfano unaweza sema wapare ni wabahili na wachoyo ila ukienda makwao utagundua kuna ukame mkali so chochote mtu akikipata anakishikilia inakuwa asili yao tofauti na wanyakyusa.
 
Back
Top Bottom