Jack Daniel
JF-Expert Member
- Sep 23, 2021
- 5,043
- 19,994
CCM inahusika vipi hapoSasa kama nchi inatawaliwa na ccm unategemea nini hapo??
CCM inahusika vipi hapoSasa kama nchi inatawaliwa na ccm unategemea nini hapo??
Laki tatu akiingia nayo sheli ana uhakika wa full tank la vieiti lakeNdo hayo hayo, kujipatia fedha zaidi. Huwezi amini mimi nilipiga dili la hela na mzee mmoja mkubwa sana, halafu akanirusha laki tatu. Yaani laki tatu, mtu anaendesha v8 anakurusha laki tatu!
Naam,watu wengi hufikiria mtu akiwa na pesa nyingi ndiyo akupe tu,kazi ya laki tatu unataka upewe Milioni tatuLaki tatu akiingia nayo sheli ana uhakika wa full tank la vieiti lake
Huyo adhabu yake anatakiwa ahasiwe na kupigwa trees tenaPole sana , Hali itakua mbaya Zaid miaka ijayo...si unaona hata machawa wa ccm unafikiri kwanini ni machawa ..wengine wako tayar hata kufirwa ili wapare pesa ..
Kuna mmoja alifirwa ili apate elfu 90 tu.
Ndo hayo hayo. Kwahiyo shida ni mtu apate hela hata kwa kumkanyaga mwenzake? Kumdhulumu mwenzake. Hiyo itampa furaha kweli?Laki tatu akiingia nayo sheli ana uhakika wa full tank la vieiti lake
Sio kwamba nilitaka anipe tu. Ilikuwa ni haki yangu, lakini mzee akaamua kupotezea. Kunizika!Naam,watu wengi hufikiria mtu akiwa na pesa nyingi ndiyo akupe tu,kazi ya laki tatu unataka upewe Milioni tatu
Wakamata mapesa mengimengi walio wengi ni dhuluma, na mbaya zaidi huwadhulumu wenye kipato cha chini na huwa hawawazi wala nini, wanaona poa tuNdo hayo hayo. Kwahiyo shida ni mtu apate hela hata kwa kumkanyaga mwenzake? Kumdhulumu mwenzake. Hiyo itampa furaha kweli?