Tamaa mbaya MKE KALIWA | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tamaa mbaya MKE KALIWA

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by pilau, Sep 26, 2012.

 1. p

  pilau JF-Expert Member

  #1
  Sep 26, 2012
  Joined: Aug 16, 2012
  Messages: 1,523
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  Tamaa mbaya ..... jamaa kaenda kwa mke wa rafiki yake
  JAMAA: Shem nimekutamani ile mbaya.........
  MKE; Hebu pisha uko, rafiki yako akijua? tena koma, na shika adabu yako!!
  JAMAA: Nitakupa million 1 Ukikubali
  MKE: basi njoo kesho mchana wakati mume wangu akiwa kazini' ...... Kesho yake jamaa akaja na Milioni 1 akamchakachua kisawasawa tena ki noma mke wa rafiki yake akamwachia Mlioni 1, .......Baadaye jioni mume karudi nyumbani na kumuuliza mkewe
  MUME: Hivi John kaleta hela yangu Milioni 1
  MKE: Huku akisita kwa sauti ya kigugumizi, akakubali "ndiyo"
  MUME: Ndo maana nampenda sana rafiki yangu ni mwaminifu maana asubuhi kanikopa milion 1 jioni karudisha ....
   
 2. EMEDNEY

  EMEDNEY Member

  #2
  Sep 26, 2012
  Joined: Sep 20, 2012
  Messages: 72
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 15
  Ha ha ha h ah ah doooh kazi ipo hapo!!
   
 3. Lady N

  Lady N JF-Expert Member

  #3
  Sep 26, 2012
  Joined: Nov 1, 2009
  Messages: 1,919
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  tamaa mbaya
   
 4. S

  Sheshejr JF-Expert Member

  #4
  Sep 26, 2012
  Joined: Jan 14, 2012
  Messages: 435
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Duh...! Hatari!
   
 5. a

  aduwilly JF-Expert Member

  #5
  Sep 26, 2012
  Joined: Mar 11, 2009
  Messages: 1,182
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Copying without acknowledgement is a sin
   
 6. lutayega

  lutayega JF-Expert Member

  #6
  Sep 26, 2012
  Joined: Feb 29, 2012
  Messages: 1,216
  Likes Received: 62
  Trophy Points: 145
  Tamaa mbele...........nyuma, inawezekana jamaa kamuachia na ukimwi
   
 7. toghocho

  toghocho JF-Expert Member

  #7
  Sep 27, 2012
  Joined: Mar 16, 2011
  Messages: 1,177
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  angesema hakuleta, liwalo na liwe
   
 8. brightrich

  brightrich Senior Member

  #8
  Sep 27, 2012
  Joined: Nov 19, 2010
  Messages: 138
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Ningesema hakuleta, kudadadadeki! Yaani hizi tamaa za pesa kweli zitawapeleka watu pabaya. Yaani huyo John ni balaa:nono:
   
 9. C

  Chassarsenal Member

  #9
  Sep 27, 2012
  Joined: Apr 14, 2012
  Messages: 91
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kudadadeki kaliwa uroda kwa hela ya mumewe.
   
 10. Money Stunna

  Money Stunna JF-Expert Member

  #10
  Sep 27, 2012
  Joined: Aug 9, 2011
  Messages: 13,105
  Likes Received: 284
  Trophy Points: 160
  jamaa n mnoma,dada zetu wamezidi tamaa sijui wana matatizo gani
   
Loading...